Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

 
Polisi walishindwa kuzuia ndio maana fujo ziliendelea licha na baada ya kuzuia kwa nguvu kubwa ya kuua
Huko kwenye vyombo vya usalama kulikuwa na uasi mdogo.
Polisi wanateka wanajeshi na wanajeshi wanaenda kukamata watu wa TISS na hao waliokuwa wanaua watu mtaani inatumika nguvu na maelekezo kutoka juu waachiwe
IGP walishindwa kujua njia za kuchukua na ikabidi kuweka curfew nchi nzima ambayo kimamlaka anayepaswa kutoa ni CDF aliye juu yake kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa (NDC) ili jeshi liendeee siyo IGP ambaye hakuwa na Plan B ya kuzuia maandamano zaidi ya kuua. POlisi wana mandate za kuweka curfew kwenye zone au mikoa michache na si nchi nzima
Hao makamanda wa Polisi wakiongozwa na Muliro na IGP walijificha kambi ya Lugalo na familia zao wakilindwa na JW
Lawama zinaenda kwa Balozi wa Rwanda na wakenya kuwa ni wachochezi licha ya kuwepo kwao kwenye uapisho
CDF na makamanda wengine walikuwa tayari kuchukua nchi ila mgawanyiko upo kwa CoS mzenji na ndiye mtawala wa Jeshi
Reshuffle kubwa itakuja kuwaweka pembeni hawa waliopo kutafuta scapegoats na kutaka kutuliza munkari wa kisiasa
WaTz wasahaulifu tutapitishwa na issue za kijinga hapo kati tutasahau na kuendelea na maisha kama ilivyo kwa sasa
Watanzania tumebadilika sana haya mambo yako kwenye mioyo yetu
 
Watanzania tumebadilika sana haya mambo yako kwenye mioyo yetu
Kesho itaitishwa tamasha la muziki kuchangia waathirika wa maandamano na wasanii wote wa Bongo fleva au mechi ya hisani SImba na Yanga na watu hao wanaowatukana leo watajaa, hapa tayari watu wamesharudi kwenye default settings
 
GT

Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo.

Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole.

JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo katiba na rasilimali za nchi hii tuwaepuka kabisa tulinde nchi yetu wenye dhidi ya mafisadi
SAFARI HII POLISI 10 TU WANASIMAMISHA DAR NZIMA JARIBUNI YAANI NI MKIANZA TU HAKUNA BOMU LA MACHOZI NI RISASI ZA KICHWA TU
 
kitendo cha nyinyi kuanza kuamini etiJeshi lingekusaidieni ni uthibitisho wa utaahira wenu, Yani jeshi la CCM likakusaidieni nyinyi CHadema?
 
Hawana makosa walipokonywa silaha na wachache kupewa bunduki huku zikiwa na rusas tano au 7 mbaya zaid na wao waliuliwa kama tegeta walipigwa pamoja na raia njugu nyingi
 
Vizazi vya Gen Z Havikuvumbua Mapinduzi Barani Afrika Jana Pekee. Wamekuwa Wakichoma Mali na Kuibua Mapinduzi kwa Miaka 75

Wimbi la sasa la maandamano ya vijana wa Gen Z barani Afrika, kutoka Kenya hadi Madagascar, Morocco hadi Tunisia, bila shaka litakuwa na athari kubwa. Wengi wameelezea maandamano haya kama “mambo mapya.” Hii ni upotoshaji, na inawazuia kuthamini historia yao. Ukweli ni kwamba mapinduzi ya Gen Z barani Afrika ni sehemu ya mnyororo wa kihistoria unaoendelea kwa angalau miaka 75.


Harakati za Vijana dhidi ya Ukoloni (1940–1960)
• Ghana (1949, Accra): Chama cha Vijana cha CPP chini ya Kwame Nkrumah kilihamasisha wanafunzi, wafundi wa mafunzo, na wafanyakazi wadogo katika mgomo na vikwazo vilivyosaidia haraka uhuru wa Ghana mwaka 1957.
• Kenya (1952–1960, Mkoa wa Kati): Uasi wa Mau Mau, ulioendeshwa hasa na vijana wa Kikuyu na baadhi ya wengine kutoka sehemu nyingine za nchi, pamoja na wanajeshi waliomaliza muda wa kijeshi, uliupinga utawala wa Kiingereza kwa kutumia mbinu za vita vya gurrilla.
• Afrika Kusini (1944, Johannesburg): Chama cha Vijana cha ANC, kilichoanzishwa na Nelson Mandela, Walter Sisulu, na Oliver Tambo, kilichochea upinzani mkubwa dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi (apartheid).
• Algeria (1954–1962): Fronti ya Ukombozi wa Taifa (FLN) ilichukua wapiganaji wake wa mwanzo kutoka kwa vijana waliopata elimu mijini, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Algiers, na milisha ya vijijini.


Ulinganifu wa Wanafunzi Baada ya Uhuru (1970–1980)
• Nigeria (1978, Lagos & Ibadan): Mapinduzi ya “Ali Must Go” yaliyoongozwa na Umoja wa Kitaifa wa Wanafunzi wa Nigeria yaliibuka dhidi ya ongezeko la ada za vyuo; polisi walipiga risasi katika Chuo Kikuu cha Lagos na Chuo Kikuu cha Ahmadu Bello.
• Sudan (1985, Chuo Kikuu cha Khartoum): Maandamano ya wanafunzi yaliyochangia kuondolewa kwa serikali ya Jaafar Nimeiri baada ya miaka 16 madarakani.
• Kenya (1982–1988, Chuo Kikuu cha Nairobi): Harakati za wanafunzi kama SONU zilipinga utawala wa chama kimoja na kizuizi cha uhuru; viongozi kama Titus Adungosi walifungwa gerezani.
• Afrika Kusini (1976, Soweto): Wanafunzi wa shule waliongoza Mapinduzi ya Soweto dhidi ya elimu kwa lugha ya Kifaransa (Afrikaans); mamia waliuawa, hali iliyoleta msukumo mkubwa wa kimataifa kupinga ubaguzi wa rangi.
• Zimbabwe (1988, Chuo Kikuu cha Zimbabwe): Wanafunzi walifanya maandamano dhidi ya ufisadi wa serikali ya Robert Mugabe, na kiongozi wa wanafunzi Arthur Mutambara kufungwa.


Mapinduzi ya Kijamii na Demokrasia (1990s)
• Benin (1989–1990, Cotonou): Wanafunzi wa vyuo vikuu walisababisha mgomo wa kitaifa uliomlazimisha Mathieu Kérékou kukubali mkutano wa kitaifa na uchaguzi wa vyama vingi.
• Zambia (1990, Lusaka): Mapinduzi ya vijana na maandamano ya wanafunzi dhidi ya ongezeko la bei ya chakula yaliwazidi viongozi wa Kenneth Kaunda kurejesha mfumo wa vyama vingi.
• Mali (1991, Bamako): Wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo waliongoza maandamano yaliyopelekea kuangushwa kwa Rais Moussa Traoré.


Harakati za Vijana Katika Enzi ya Kidigitali (2010–2020s)
• Tunisia (2010–2011, Sidi Bouzid): Mapinduzi ya Jasmine, yaliyoanza na kisa cha Mohamed Bouazizi wa miaka 26 kujitia moto, yaliyoangusha Ben Ali na kuamsha Vuli la Kiarabu (Arab Spring).
• Senegal (2011, Dakar): Y’en a Marre (“Tumekasirika”), lililoundwa na wasanii wa rap na waandishi wa habari, liliwahamasisha vijana kuzuia bidii ya Abdoulaye Wade kuwania muhula wa tatu.
• Burkina Faso (2014, Ouagadougou): Le Balai Citoyen (“Kijiko cha Raia”), kilichoongozwa na wasanii Smockey na Sams’K le Jah, kilichangia kuondolewa kwa Blaise Compaoré.
• Nigeria (2020, Lagos & Abuja): Mapinduzi ya #EndSARS, yakiendeshwa na Gen Z mtandaoni, yaliomba marekebisho ya polisi na uwajibikaji mkubwa zaidi.
• Sudan (2018–2019, Khartoum): Wanafunzi wa vyuo na vijana waliongoza maandamano ya wingi yaliyoangusha Omar al-Bashir baada ya miaka 30 madarakani.


Harakati za Kisasa za Gen Z (2020s)
• Kenya (2023–2025, Nairobi, Mombasa): Maandamano yaliyoendeshwa na vijana kuhusu kodi na ufisadi — yaliandaliwa mtandaoni kupitia TikTok na X — yaliwasukuma viongozi kuondoa sheria za kifisadi zisizopendwa.
• Morocco (2024, Casablanca & Rabat): Wanafunzi na vijana walipinga kuhusu ukosefu wa ajira na usawa; walichanganya shabiki wa michezo na uhamasishaji mtandaoni.
• Madagascar (2024, Antananarivo): Wanafunzi wa vyuo na vijana wa mijini walifanya maandamano dhidi ya udanganyifu wa uchaguzi na bei za chakula; yalipelekea kuondolewa kwa rais Andry Rajoelina

Kutoka kwa mapinduzi ya anti- colonialism miaka ya 1940 hadi maandamano ya kizazi cha kidigitali, vijana barani Afrika wamekuwa wakipigania mabadiliko ya kisiasa na mara nyingi kufanikisha mabadiliko hayo. Gen Z inaweza kuwa na zana mpya (simu za mkononi na memes), lakini wanatembea katika njia iliyopandwa na vizazi vya wanafunzi waliopigania haki, wanaotarajia mabadiliko, na mapigania haki kabla yao.
Inazidi kuwa wazi kwamba kudhibiti Vizazi vya Gen Z sio rahisi. Badala ya kutumia nguvu, tunapaswa kutumia hekima, mazungumzo, sera na sheria nzuri, pamoja na mikakati kuelewa na kuishi nao kwa amani. Baada ya yote, hofu haipo katika DNA yao. Mbinu nyingine hazitafanya kazi.
 
Polisi walishindwa kuzuia ndio maana fujo ziliendelea licha na baada ya kuzuia kwa nguvu kubwa ya kuua
Huko kwenye vyombo vya usalama kulikuwa na uasi mdogo.
Polisi wanateka wanajeshi na wanajeshi wanaenda kukamata watu wa TISS na hao waliokuwa wanaua watu mtaani inatumika nguvu na maelekezo kutoka juu waachiwe
IGP walishindwa kujua njia za kuchukua na ikabidi kuweka curfew nchi nzima ambayo kimamlaka anayepaswa kutoa ni CDF aliye juu yake kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa Taifa (NDC) ili jeshi liendeee siyo IGP ambaye hakuwa na Plan B ya kuzuia maandamano zaidi ya kuua. POlisi wana mandate za kuweka curfew kwenye zone au mikoa michache na si nchi nzima
Hao makamanda wa Polisi wakiongozwa na Muliro na IGP walijificha kambi ya Lugalo na familia zao wakilindwa na JW
Lawama zinaenda kwa Balozi wa Rwanda na wakenya kuwa ni wachochezi licha ya kuwepo kwao kwenye uapisho
CDF na makamanda wengine walikuwa tayari kuchukua nchi ila mgawanyiko upo kwa CoS mzenji na ndiye mtawala wa Jeshi
Reshuffle kubwa itakuja kuwaweka pembeni hawa waliopo kutafuta scapegoats na kutaka kutuliza munkari wa kisiasa
WaTz wasahaulifu tutapitishwa na issue za kijinga hapo kati tutasahau na kuendelea na maisha kama ilivyo kwa sasa
Wasahaulifu Ila safari hii hawakusahau ahadi yao ya kuandamana na kukinukisha. Au siyo?
 
GT

Tulijipa matumaini hewa kwamba tuna JW inayodhamin̈I maisha yetu kumbe ni wahuni wachumia tumbo.

Amini nawaambia hawa jamaa walisaidia police kutuua 100%, JW walipiga san̈a risasi hasa nyakati za usiku mchana wanajifanya wapole.

JW na Police lao ni moja kulinda.mafisadi ya CCM na wala siyo katiba na rasilimali za nchi hii tuwaepuka kabisa tulinde nchi yetu wenye dhidi ya mafisadi
Hawa jamaa ni Mbwa tusiwaamini hata kidogo,.
 
huna akili hakuna Jeshi la kushinda Nguvu ya Umma ndo mwisho
Yaani Dar nzima bunduki 100 tu zinatosha kuwapumzisha ndani , labda kama hujui vita ndugu RSF huko darfur wanajinja watu buku 100 na cruiser 2 tu
 
Akili zako zina match na kiatu ulichovaa kwenye avatar yako 😹
Uzuri ni kwamba, hata usipotoka kwenda maandamano watakuja nyumbani kwako wakupige shana tu. Sasa wewe utachagua: ufie chumbani au ufie uwanja wa mapambano ukidai haki na uwajibiki…
 
Back
Top Bottom