Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

Maandamano yajayo hatushoboki na JWTZ. Wao ndo wataamua watuue au waungane nasi

Tumeshuhudia walioingia barabarani wapo walio uwawa na wapo waliobaki salama vile vile kwa walio amua kubaki nyumbani kama ndugu yangu Sheikh Sharif Majini waliuwawa na wapo waliobaki salama. Hapo uamuzi ni wako sasa. Uamue kubaki nyumbani ama kuingia bara barani hakuna aliye salama.
Welcome to the catch 22
Ndio maana lazima TATHMINI ifanyike ili matokeo yawe tofauti.
 
Safari hii tahakikisha napata bunduki
Yaani tamuwinda pongo yeyote atakayepita engo yangu nimuue nichukue bunduki
#kitaeleweka
 
This time hii ngoma itakua nzito sana sana....trust me. Kila mtu atatoka akiwa kamili
Hata vitani kuna muda wa maombolezo na muda wa kutibu wenye majeraha.

Saaa watu hawajukikani wako wapi, hao.askari wa vita mpya watapatikaa wapi??

Au ndio JESHI LA NYUMBU.

Screenshot_20251108_094645_Instagram.jpg
 
Hamjaganya hata tathimini mnazungumzia maandamnao, ambayo niyoe hamtakuwepo.

Au ni ya ONLINE.

Lazima tathmini iwepo, waliokufa wazikqe kwa heshima, waliopotea wapatikane, waliojeruhiwa wapate nafuu na wengime hata dawa hawana.

Nyie mnabweka tu kama hakijatokea kitu.

Tofauti yenu na Samia ni ipi sasa??
Online tena? Si mlisema Keybord warriors sijui 29/10 wataandamana online kiko wapi?
Kitu kitachoitwa maandamano Tanganyika kwa sasa huwezi doubt uwepo wake ila unachotakiwa kujiuliza ni njia ipi itumike watu wafikishe malalamiko yao bila kuharibu utaratibu Gen z wamechoka na stori angalia mazishi yanavyofanyika huko mitaani ni kama hawaogopi kifo tena.
 
Ukikaa kokote bado hauko salama.. ukiandamana unaweza kuuwawa na hata ukikaa nyumbani watakufata uuwawe... Daaah...😀 Sasa unabaki unawaza ufe ukijipambania au ukae ufe pia ukiwa umekaa...
 
Dec 9 ni maandamano makubwa ya Amani.

Haya maandamano yataendelea Hadi siku Tutakaposimamisha Uongozi tulouweka sisi Wananchi.


Mbinu zao za kipuuzi kuwakamata Wapinzani wa CHADEMA , haziturudishi nyuma Wananchi .


Safari hii mpaka watuue Wote, Waue kiasi kwamba akosekane wa kusimama Kudai Haki.

Kuweni Tayari Vijana !!

Mungu anasema, Ukiipenda Nafsi yako utaipoteza, Ukiitoa Nafasi yako Kwa ajili yake Utaokoka.

Mungu ni wa HAKI, Ukiipenda Haki umempenda Mungu, Ukifa kwa kupigania Haki, umekufa Kwa ajili ya Mungu
How are you going to tackle internet shutdown??

They have guns how are you going to face them?

What is it that you need to be changed?

Detail every thing,else this will be a wretched bangle! All the best comrades.
 
Back
Top Bottom