Vipi Mbona vita hawajamaliza na mkishamaliza watu mnaenda kutawala wakina nani?Yaani Dar nzima bunduki 100 tu zinatosha kuwapumzisha ndani , labda kama hujui vita ndugu RSF huko darfur wanajinja watu buku 100 na cruiser 2 tu
Poleni kwa kuteseka
Sio rahisi kama unavyodhani na pia serikali yako pengn inafkilia hvo hvoKesho itaitishwa tamasha la muziki kuchangia waathirika wa maandamano na wasanii wote wa Bongo fleva au mechi ya hisani SImba na Yanga na watu hao wanaowatukana leo watajaa, hapa tayari watu wamesharudi kwenye default settings
Bila kuchoka.Dec 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
Haya maandamano yataendelea Hadi siku Tutakaposimamisha Uongozi tulouweka sisi Wananchi.
Mbinu zao za kipuuzi kuwakamata Wapinzani wa CHADEMA , haziturudishi nyuma Wananchi .
Safari hii mpaka watuue Wote, Waue kiasi kwamba akosekane wa kusimama Kudai Haki.
Kuweni Tayari Vijana !!
Mungu anasema, Ukiipenda Nafsi yako utaipoteza, Ukiitoa Nafasi yako Kwa ajili yake Utaokoka.
Mungu ni wa HAKI, Ukiipenda Haki umempenda Mungu, Ukifa kwa kupigania Haki, umekufa Kwa ajili ya Mungu
Hamjaganya hata tathimini mnazungumzia maandamnao, ambayo niyoe hamtakuwepo.Dec 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
Haya maandamano yataendelea Hadi siku Tutakaposimamisha Uongozi tulouweka sisi Wananchi.
Mbinu zao za kipuuzi kuwakamata Wapinzani wa CHADEMA , haziturudishi nyuma Wananchi .
Safari hii mpaka watuue Wote, Waue kiasi kwamba akosekane wa kusimama Kudai Haki.
Kuweni Tayari Vijana !!
Mungu anasema, Ukiipenda Nafsi yako utaipoteza, Ukiitoa Nafasi yako Kwa ajili yake Utaokoka.
Mungu ni wa HAKI, Ukiipenda Haki umempenda Mungu, Ukifa kwa kupigania Haki, umekufa Kwa ajili ya Mungu
Unazungumzia tathmini kwa watu waliozikwa kwenye makaburi ya halaiki?? Unaweza ukafanya tathmini na bado polisi wakaamua tu kuja nyumbani kwako muda wowote na kukufyatulia risasi pasipo kujali rejea wale walio uwawa majumbani mwao, so mwisho wa siku hiyo tathmini haina maana yoyote, kama tumekubaliana tunatoka tarehe 9 Dec tutoke tu, wabaya wetu tunawajua na wao wanatujua pia tukutane groundHamjaganya hata tathimini mnazungumzia maandamnao, ambayo niyoe hamtakuwepo.
Au ni ya ONLINE.
Lazima tathmini iwepo, waliokufa wazikqe kwa heshima, waliopotea wapatikane, waliojeruhiwa wapate nafuu na wengime hata dawa hawana.
Nyie mnabweka tu kama hakijatokea kitu.
Tofauti yenu na Samia ni ipi sasa??
Tofauti yetu na Samia utaiona tu.Hamjaganya hata tathimini mnazungumzia maandamnao, ambayo niyoe hamtakuwepo.
Au ni ya ONLINE.
Lazima tathmini iwepo, waliokufa wazikqe kwa heshima, waliopotea wapatikane, waliojeruhiwa wapate nafuu na wengime hata dawa hawana.
Nyie mnabweka tu kama hakijatokea kitu.
Tofauti yenu na Samia ni ipi sasa??
Tofauti naiona, wengine wamezikwa na wengine wanajiuguza wewe uko humu JF kama zezeta.Tofauti yetu na Samia utaiona tu.
Sahihi.Unazungumzia tathmini kwa watu waliozikwa kwenye makaburi ya halaiki?? Unaweza ukafanya tathmini na bado polisi wakaamua tu kuja nyumbani kwako muda wowote na kukufyatulia risasi pasipo kujali rejea wale walio uwawa majumbani mwao, so mwisho wa siku hiyo tathmini haina maana yoyote, kama tumekubaliana tunatoka tarehe 9 Dec tutoke tu, wabaya wetu tunawajua na wao wanatujua pia tukutane ground
Tumeshuhudia walioingia barabarani wapo walio uwawa na wapo waliobaki salama vile vile kwa walio amua kubaki nyumbani kama ndugu yangu Sheikh Sharif Majini waliuwawa na wapo waliobaki salama. Hapo uamuzi ni wako sasa. Uamue kubaki nyumbani ama kuingia bara barani hakuna aliye salama.Sahihi.
Kwahiyo sasa mnachukulia kama vile hakikutokea kitu???
Hakuna cha zaidi kinachopaswa kufanywa??
Kama polisi wananfuata watu nyumbani, hao wa barabarani mmepanga nini??
Hamjali kitu, kwasababu nyie hamtakuwa barabarani.
Hatuhitaji negative energy, tuacheTofauti naiona, wengine wamezikwa na wengine wanajiuguza wewe uko humu JF kama zezeta.
Hii mbinu inatumika sana upande wa magaidi kushawishi watu kujiunga na mkundi haramuMungu anasema, Ukiipenda Nafsi yako utaipoteza, Ukiitoa Nafasi yako Kwa ajili yake Utaokoka.
Mungu ni wa HAKI, Ukiipenda Haki umempenda Mungu, Ukifa kwa kupigania Haki, umekufa Kwa ajili ya Mungu
KWA HESHIMA BABU✊Dec 9 ni maandamano makubwa ya Amani.