Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
D9 lazima samuya alale na viatu ...tutakuwepoToeni vitisho sanaaa
Toeni matangazo
Tumieni Propagandaaa
Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa.
Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi
Kagueni vitambulisho
Tangazeni hali ya Hatari
Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu wa Akili Kwa kiwango Cha juu sana .
Hamuwezi kuua watu wetu namna hiyo, mkawaua, mkawazika, mkachoma moto Miili, ALFU BADO MUENDELEE KUTUTAWALA YAAN MZUNGUKE NA MAGARI YA KIFAHARI, NA MALI, NYINYI NA WATOTO WÉTU?? HAIWEZEKANI !!
Tarehe 9 Dec ni Maandamano makubwa ya kuwatoa MADARAKANI.
Mtashi kama Digidigi ,yake maisha ya utawala , ya Kuteka watu alafu bado mkawa mnazunguka vifua mbele, HAYATOKUWEPI TENA.
Tunalala nanyinyi Kiulalo ulalo
Pumbavu.Tafuteni njia nyingine, Njia ya maandamano Haito zaa Matunda sanasana mtaongeza idadi ya vifo na majeruhi.
Hakuna anaye watisha ila mtapigwa Risasi hakika.
Epuka vifo na majeruhi ya kujitakia.
technically Ba mdogo shikamooNimeona maandamano makubwa halafu ndege za kivita zinapia juu
Sio poa yajayo
Hahahaha hahahahahaha sawa ,D9 sio mbaliTafuteni njia nyingine, Njia ya maandamano Haito zaa Matunda sanasana mtaongeza idadi ya vifo na majeruhi.
Hakuna anaye watisha ila mtapigwa Risasi hakika.
Epuka vifo na majeruhi ya kujitakia.
Pole9d utajikuta peke yako road, watu tunashindana kuhemea vyakula masokoni ili tujichimbie ndani hata wakipiga lock down mwezi mzima bila kutoka nje!
Akina Nyerere wangekuwa kama wewe. Leo ungekuwa mtumwa unauzwa tu kama bidhaa nyingine9d utajikuta peke yako road, watu tunashindana kuhemea vyakula masokoni ili tujichimbie ndani hata wakipiga lock down mwezi mzima bila kutoka nje!
Aisee wana Kila kituo wanataka kitambulisho cha nidaNimeingia Arusha muda huu nimekutana na ukaguzi wa kutosha maeneo ya Monduli huku! Sasa sijui ndiyo nini!
Dogo soma history vizuri, nyerere hakumwaga damu kupata uhuru, alienda kupiga magoti kwa unyenyekevu akapewa uhuru, bila tone la damu!Akina Nyerere wangekuwa kama wewe. Leo ungekuwa mtumwa unauzwa tu kama bidhaa nyingine
Mnahangaika sana...sisi watanganyika hatuandamani ng'ooo!!Toeni vitisho sanaaa
Toeni matangazo
Tumieni Propagandaaa
Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa.
Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi
Kagueni vitambulisho
Tangazeni hali ya Hatari
Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu wa Akili Kwa kiwango Cha juu sana .
Hamuwezi kuua watu wetu namna hiyo, mkawaua, mkawazika, mkachoma moto Miili, ALFU BADO MUENDELEE KUTUTAWALA YAAN MZUNGUKE NA MAGARI YA KIFAHARI, NA MALI, NYINYI NA WATOTO WÉTU?? HAIWEZEKANI !!
Tarehe 9 Dec ni Maandamano makubwa ya kuwatoa MADARAKANI.
Mtashi kama Digidigi ,yake maisha ya utawala , ya Kuteka watu alafu bado mkawa mnazunguka vifua mbele, HAYATOKUWEPI TENA.
Tunalala nanyinyi Kiulalo ulalo
Barabaran hakuingilik aiseeTafuteni njia nyingine, Njia ya maandamano Haito zaa Matunda sanasana mtaongeza idadi ya vifo na majeruhi.
Hakuna anaye watisha ila mtapigwa Risasi hakika.
Epuka vifo na majeruhi ya kujitakia.