Toeni vitisho sanaaa
Toeni matangazo
Tumieni Propagandaaa
Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa.
Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi
Kagueni vitambulisho
Tangazeni hali ya Hatari
Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu wa Akili Kwa kiwango Cha juu sana .
Hamuwezi kuua watu wetu namna hiyo, mkawaua, mkawazika, mkachoma moto Miili, ALFU BADO MUENDELEE KUTUTAWALA YAAN MZUNGUKE NA MAGARI YA KIFAHARI, NA MALI, NYINYI NA WATOTO WÉTU?? HAIWEZEKANI !!
Tarehe 9 Dec ni Maandamano makubwa ya kuwatoa MADARAKANI.
Mtashi kama Digidigi ,yake maisha ya utawala , ya Kuteka watu alafu bado mkawa mnazunguka vifua mbele, HAYATOKUWEPI TENA.
Tunalala nanyinyi Kiulalo ulalo