Safari hii hakuna hata sisimizi atakayekufa. Polisi akishuti tu anawahiwa kwa risasi tano na wajeda. Safari hii wajeda wanataka kujisafishaTafuteni njia nyingine, Njia ya maandamano Haito zaa Matunda sanasana mtaongeza idadi ya vifo na majeruhi.
Hakuna anaye watisha ila mtapigwa Risasi hakika.
Epuka vifo na majeruhi ya kujitakia.
Uzuri msiba hauna mwenyewe. Na nyinyi pia muda wa kugalauka ukifika, mtagalauka sana tu. Na wakati huo huo kuna watu upande wa pili, na wenyewe watakuwa wanafanya sherehe.Wazazi wenu watalia sana.
Watagalauka sana.
Ni hayo tu.
Kabla hujaandamana vuta picha ya mama yako atakavyolia na kuzimia mara 10 kwa siku moja
Uo sio uoga, uo ni uhalisia na ni hakika Risasi zipo na zitatumika.Pumbavu.
Huu uoga wako unauza bei kubwa ssna.
Hakuna wa kutaka kujisafisha, mtachezea Risasi mpaka mshangae.Safari hii hakuna hata sisimizi atakayekufa. Polisi akishuti tu anawahiwa kwa risasi tano na wajeda. Safari hii wajeda wanataka kujisafisha
Tulipofikia vifo havikwepeki, maandamano ndio njia pekee. Na uzuri tunajua serekali hii haina uhalali wa umma. Kama ni vifo vipo hata bila maandamano, ama hujui watu wanatekwa? Tupo tayafi kufa, ili nyie mtakaobaki muishi kwa kuheshimiana.Tafuteni njia nyingine, Njia ya maandamano Haito zaa Matunda sanasana mtaongeza idadi ya vifo na majeruhi.
Hakuna anaye watisha ila mtapigwa Risasi hakika.
Epuka vifo na majeruhi ya kujitakia.
wewe ulikuwa unatumia mihemkoToeni vitisho sanaaa
Toeni matangazo
Tumieni Propagandaaa
Masheikh na Uhuni wa Dini ulioshindwa.
Mapolisi wazunguke Kila Kona na Wanajeshi
Kagueni vitambulisho
Tangazeni hali ya Hatari
Oyaaa ,tumeshawaacha mbali sanaaaa , ,Sisi ni Watanzania wenye Akili nyingi, tuloamua Ku exercise Uwezo wetu wa Akili Kwa kiwango Cha juu sana .
Hamuwezi kuua watu wetu namna hiyo, mkawaua, mkawazika, mkachoma moto Miili, ALFU BADO MUENDELEE KUTUTAWALA YAAN MZUNGUKE NA MAGARI YA KIFAHARI, NA MALI, NYINYI NA WATOTO WÉTU?? HAIWEZEKANI !!
Tarehe 9 Dec ni Maandamano makubwa ya kuwatoa MADARAKANI.
Mtashi kama Digidigi ,yake maisha ya utawala , ya Kuteka watu alafu bado mkawa mnazunguka vifua mbele, HAYATOKUWEPI TENA.
Tunalala nanyinyi Kiulalo ulalo
calculate ur MOVE MKUUTulipofikia vifo havikwepeki, maandamano ndio njia pekee. Na uzuri tunajua serekali hii haina uhalali wa umma. Kama ni vifo vipo hata bila maandamano, ama hujui watu wanatekwa? Tupo tayafi kufa, ili nyie mtakaobaki muishi kwa kuheshimiana.
Than what I do?calculate ur MOVE MKUU