Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Sasa unapingana na Biblia sasa sio mimi? Kwani Biblia imesema wale mabinti wametembea na baba yao kwa ajili gani? Kwamba walimtamani au? Lengo la wao kutembea na baba yao ni nini? Mada umeileta mwenyewe halafu unajikanyaga sasa. Bro naona huna jipya .

Kama unasema Biblia inadanganya hii sasa ni mada mpya kabisa fungua thread tuje tuitetee ila uwe tayari maana pia Quran itakuwa under attack and we are prepared.

I will stop here now.
 
Kama hizo ni maana za uchochoroni basi sawa. Ndo maana nakwambia ndugu yangu wewe upeo wako unashida.
Wewe ndio upeo wako unashida ukiona kabila linawekwa hadi kwenye Makabrashs ya kumbukumbu basi jua lipo. Unalazimisha Utaifa tu.

Ukija tanzania na ukawataka Wahaya utawakuta.
Kwasababu Utaenda kagera utawapata. Kwahiyo wahaya ni watu wa kagera na ni Watanzania.

Wamoabu wako Jordani, na wanapatikans katika Maeneo yao hapo Jordan.

Alafu nyinyi mnasema eti laana Mbona wapo huko na ukute wana Maendeleo kushinda wewe. Wana elimu kushinda wewe.

Hapa mshashindwa Mada,
Tumewaumbua kuhusu Moabu.

Tumetoa ushahidi wa Sheria ya Ndoa hapa Tanzania na USA Mewanamke akiwa na Miaka 14 anaweza olewa. Ila USA wameenda Mbali zaidi wameshusha hadi miaka 12 na 13 kwa baadhi ya States.

Hakuna uthibitisho sahihi kisayansi mwanamke akiwa na Miaka 18 ndio anapaswa kuolewa, Huo ni utashi tu wa Sayansi kidogo na utashi wa Wanasiasa tu. Kuna nchi Binti anafaa kuolewa akiwa na Miaka 21 huo ndio utashi wao(hiyo nchi ipo ukiitaka nakutajia). Binti wa miaka 12, 13, 14 hadi 17 wanaweza wakawa na Akili, Maarifa na kujitambua kuliko huyo wa miaka 18.

Mmefeli kujibu andiko linalohusu upumbavu wa Mungu kuutaja kwamba una hekima kuliko Wanadamu. Ina maana sisi waumini tuseme Mungu wetu ni Mpumbavu bana ila upumbavu wake una hekima kuliko sisi, si ndivyo mnavyotaka.

Yani kumfananisha tu Mungu na upumbavu hiyo ni Kufuru tayari.

Kumtaja Mungu mdhaifu hiyo ni kufuru tayari.

Kutetea Andiko la Lutu kuwala Bintiye ndani yaBible ni Kufuru. Uwezo wa Bintize Lutu kuolewa na watu wa jamii yao upo. Watu wa jamii yako hswawezi kuisha hata iweje.

Kwa kifupi Mmepuyanga.
 
Ukishindwa Mada kimbia ksma hivyo. Mimi niko hapa kuwafunza tu na wengine waje wakitaka
 
Nakuletea vyanzo vingine unavikataa unataka tukomae na hiyohiyo hadithi unayoitaka wewe.

Sasa unaulizwa Maswali kulingana na unachokitaka unagoma kujibu wewe unajitambua kweli.
 
Acha kupuyanga wewe,

URoman Catholic umeanzia huko Roma, Italy. Tena Catholic maana yake ni ‘popote pale'. Kwahiyo ukisema “Mimi ni MRoman Catholic" maana yake unasema “mimi ni raia wa Roma popote pale"

Mjerumani alivyoona kule Roma kuna Roman Catholic na yeye akaanzisha ya kwake inaitwa Protestant

Anglikana imeanzia Uingereza. Yani uingereza alivyoona Roma ana Dini ya Roman Catholic na Mjerumani ana dini inaitwa Protestant, kwa hiyo Muingereza akasema msinitanie mimi na mimi naanzisha ya kwangu. Ndio akaanzisha Anglikana.

Huko Marekani walivyoona kote yani Italy, Germany na England kuns Dini kote. Basi huko Marekani wakaanzisha Dini ya Usabato. Usabato umeanzia Marekani tena umeanzishwa na Mwanamke anaitwa Hellen. Tena umeanzishwa miaka ya juzi juzi tu hapo.

Baada ya hapo ndio yamekuja Makapi ya hizi Dini zingine.

Sasa wenzako wazungu ndio wameanzisha na wanajua zaidi yako. Wewe umepokea tu. Hawa wazungu kuwatolea mfano ni sahihi.

Usirukeruke hapa hao wazubgu wanatumia Biblia kama wewe na wanaenda kanisani kama wewe.
 
Nakuletea vyanzo vingine unavikataa unataka tukomae na hiyohiyo hadithi unayoitaka wewe.

Sasa unaulizwa Maswali kulingana na unachokitaka unagoma kujibu wewe unajitambua kweli.
Unaipinga sahih bhukar 😂😂😂 unaanza kuelewa
 
Bado hujajibu swali, baada ya Yesu kufufuka zile Dhambi alizobeba Yesu kwa ajili yenu zilienda wapi? Au zilienda kwa nani?
 
Si unsona ushaunbuka anamalizia kuwa ba Umbo kubwa? Weight

Sasa jiulize alibalehe au hakubalehe
 
Child molester ni child molester ata awe nani , nenda kajichanganye useme unamuiga pedophile Muhammad uone kitakachokukuta
Alafu nakupa hii ukibisha, ukirudi kwenye ile Hadithi uendelee kujibu Maswali yangu.

In reality, however, she wasn’t six, nine, or ten. She was much older.

I’ll use the much detailed biography of her sister, Asmāʾ, to show you.

Asmāʾ was born 27 years before hijrā.

Tāhḏhib ʾal-Asmā, volume 2, page 329.

Abd ʾal-Raḥmān bin Aʾbi l-Zannād said: “Asmāʾ was 10 years older than Aisha.”

Siyār Aʾlam al-Nubalāʾ, volume 2, page 289.

ʾal-Bidāyah wan Nihāyah, volume 8, page(s) 371-381.

This means that Aisha was 17 years old in the year of hijrā,

according to their chroniclers (and historians), Aisha got married in the second year of hijrā, which would make her 19 years old at that time.
 
Si unsona ushaunbuka anamalizia kuwa ba Umbo kubwa? Weight

Sasa jiulize alibalehe au hakubalehe
Hakuvinja ungo , alipelekwa ni mtoto wa miaka 6, kalikiwa kadogo mama yake akawa anamlisha ili ka nenepe
 
Ungesema mapema wewe ni shia , shia mnastory za hajabu kuliko ata sunni
Ndio maana umemkataa bukhari

Ila kumtetea pedophile muhammad hutaweza
 
Tunapo muita Muhammad ni pedophile maana yake alikuwa na ukichaa

Pedophile - a psychiatric disorder in which an adult has sexual fantasies about or engages in sexual acts with a child
Wewe acha Ukichaa na Uchizi, Mtume Muhammad alioa kihalali, na Bi Aisha alikuwa ndani ya Muda sahihi wa kupaswa kuolewa.

Chizi ni wewe ambaye unamuita Yesu ni Mungu, wakati kwenye Maandiko kibao yesu anathibitisha kwanba kuna Mungu ila yeye ni nabii na ni Binadamu. Yesu Mwenyewe alimuomba Mungu.

MATHAYO 27:46
Mathayo 27:46 (Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?)

MARKO 15:24
Marko 15:34 ( Na saa tisa Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Maana yake, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?)

YOHANA 20:17
Yohana 20:17 ( Yesu akamwambia. Usinishike; kwa maana sijapaa kwenda kwa Baba. Lakini enenda kwa ndugu zangu ukawaambie, Ninapaa kwenda kwa Baba yangu naye ni Baba yenu, kwa Mungu wangu naye ni Mungu wenu.)

Aya zote hizo Yesu anathibitisha kuwa kuna yeye Yasu Nabii na Kuna Mungu wa Mbinguni. Isipokuwa Mwenyezi Mungu alionyesha uwezo wake tu wa Yesu kuzaliwa bila Baba.
 
Unaipinga sahih bhukar [emoji23][emoji23][emoji23] unaanza kuelewa
Nakwambia hivi alikuwa kwenye Umri Sahihi wa kuolewa na visaidizi nimekupa.

Tujibuni Maswali yetu Mpaka sasa hayana Majibu. Hamjatoa Majibu kabisa mnstapatapa tu.
 
Hakuvinja ungo , alipelekwa ni mtoto wa miaka 6, kalikiwa kadogo mama yake akawa anamlisha ili ka nenepe
Wapi pameandikwa “hakuvunja Ungo” nionyeshe
 
Ungesema mapema wewe ni shia , shia mnastory za hajabu kuliko ata sunni
Ndio maana umemkataa bukhari

Ila kumtetea pedophile muhammad hutaweza
Umeisha wewe huna hoja, lala ukiamka ujibu Naswali yetu
 
Ungesema mapema wewe ni shia , shia mnastory za hajabu kuliko ata sunni
Ndio maana umemkataa bukhari

Ila kumtetea pedophile muhammad hutaweza
Mimi nskujibu kotekote unspotaka wewe
 
Wapi pameandikwa “hakuvunja Ungo” nionyeshe
Pedophile Muhammad alitakiwa kuwa onesha ni vibaya kuoa mtoto ila yeye alikuwa anasifia kabisa

Kuna Hadith alikuwa jamaa kafiwa Muhammad akamwambia aoe mtoto ,jamaa akamtolea uvivu akamwambia sasa nikioa mtoto nani atawatunza watoto wangu na yeye ai atacheza nao 😂😂😂

Ndio umeona Hadith Aisha yupo kwa Muhammad anacheza na midoli
 
Dhambi zinaleta mauti na ndio maana alikufa msalabani kitu ambacho Shetani anapambana kuwaaminisha watu kuwa hakufa so wasimwamini wasiokolewe.
Bado hujajibu swali. Baada ya Yesu kufufuka zile Dhambi alizobeba kwa ajili yenu zilienda wapi? Au zilienda kwa nani?

Maana Mimi navyojua Yesu ana dhambi zenu na ataenda Motoni.

Sasa nataka kujua, Yesu kashafufuka ili Yesu asiende Motoni, Dhambi mlizompa zimeenda wapi? au kwa nani?
 
Wapi pameandikwa “hakuvunja Ungo” nionyeshe
Mtoto ni mtoto TU , alafu Muhammad alijifanya kupiga vita midoli uku mke mtoto wake anachezea

Aisha aliripoti kwamba alikuwa akicheza na mwanasesere mbele ya Muhammad na wakati watoto wenzake walipo muona mtume waliondoka (nyumbani) kwa sababu walihisi aibu kwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu. na Mtume wa Mwenyezi Mungu akawaruhusu waendelee kucheza nae. Sahih al-Bukhari 6130
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…