Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Israel akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaaDJ walete
Wakwe Kutoka KigomaDJ walete
Acha Tuone Duniani Bila Fujo Wengine HawapendiIsrael akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Israel kila kukicha analeta habari oh mara hivi mara hivi sa mbona wao wanasaidiwa na Europe na US pamoja na Warabu, mbona Iran kapiga Israel na US alikuwa anampa warning asiguse . Iran wanaume Israel hawezi gusa Iran, anajua wazi hapo ndio taifa fake la mungu wa kikristo litapotezwa.Chombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.
Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Kwa taarifa yako Israel ndio anaitaka hii vita kuliko iranIsrael akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa
Ukiwa mnyonge utaonewa sana Bora kupigana tuAcha Tuone Duniani Bila Fujo Wengine Hawapendi
Sawa Israel keshapigwa .Iran anasubiri ajibu halafu atamuonesha nani mwanaume.Kwa taarifa yako Israel ndio anaitaka hii vita kuliko iran
Hakuna anaependa vita ila ukiwa mnyonge watu watakukalia mpaka kichwani na hautaongea kitu yeyote.Kuna watu mnapenda vita sio poa
Anaitak lakin sio apigane yeye bali usa ndo apigane.. mpkaka sasa hivi minzani imelalia kwakeKwa taarifa yako Israel ndio anaitaka hii vita kuliko iran
Inafahamika Marekani yupo bega kwa bega na Israel. Ila washirika Wana hati hati hawataki kuburuzwa na marekani kupigana vita isiyo wahusu. Waziri wa mambo ya nje wa Iran amemaliza ziara yake katika eneo lote lenye Kambi za kijeshi za marekani hapo mashariki ya kati na wameahidi kuwa hawatakubali kutumika na marekani kuishambulia Iran. Iran ametoa ONYO yeyote atakaeruhusu ardhi yake au anga lake kutumika basi atakua halali yake kupigwa na Iran. Ngoja tuone mwisho wa hii picha.Labda marekani na washirika wake walale usingizi wa pono waiache israel ipambane peke yake na majahili hayo yanayoisaidia iran zana za kivita
T14 ArmataChombo cha habari Maariv kutoka Israel kinaripoti kuwa tayari Iran imepokea silaha za kisasa ikiwemo ndege vita Chapa SU 35 kutoka Russia na air defense system S-400 , Hali kadhalika Iran imepokea kutoka China Laser Anti -drone system. Habari hii pia imeripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari nje ya Israeli.
Haya ni maandalizi kamili ya majibu yatakayotokana na Israel kujibu shambulio la Oktoba 1.
View attachment 3130743View attachment 3130745View attachment 3130746View attachment 3130747
Bro ukisoma vitabu vya Dini na vile vya historia unakuta maisha yalikuwa ni mwendo wa vita tu. Inaonyesha ni program iliyowekwa tangu Adam na Hawa walivyoharibu pale aden.Kuna watu mnapenda vita sio poa
Hahahahaahah 😃 ndio magaidi mnavojifariji eh??Israel akijaribu kuipiga Iran amekwisha. Huu ni mtego ambao Iran anautamani sanaa