Maasai hawana habari za Yesu wala Mohamad ila wamenyooka kwenye misingi yao na maadili mazuri

Maasai hawana habari za Yesu wala Mohamad ila wamenyooka kwenye misingi yao na maadili mazuri

Kwa hiyo unaona mila yao ya kuchomeka Mkuki nje halafu unazama kulala na mke wa mtu ni sawa?. Kwa kifupi Yesu ni wa kila mtu rafiki,ingawa mtu ana haki ya kumpokea au kumkataa kwa sababu zake binafsi. Tatizo ni kwamba hujamjua Yesu personally. Unaishi ukisikia habari zake Tu.
kwahiyo wewe jamaa unamjua Yesu "Pesonali" ulikutana wapi na sisi tukakutane nae Pesonali?hahaha
 
Back
Top Bottom