Gazeti la Kiongozi linalomilikiwa na Baraza la Maaskofu Katoliki limeripoti kuwa maaskofu hao wanaunga mkononi uharakishwaji wa bomba la mafuta.Sijaona Maaskofu wa Kanisa Katoliki wanaingiaje hapa kwenye mada yako
Wasipopitisha mafuta watapitisha gesi.
Elezea kidogo imetengenezwa na nani na lini,maana ni juzi tu hapa kuna documentary moja niliiona inaelezea ku-repair ozone layer depletion is almost impossible...tena wakaonesha na baadhi ya nchi mfano India anga lake limejaa moshi mfano wa ukungu hadi watu hawaonani....vipi leo chap hivyo?Swala la Ozone layer depletion siyo issue tena! Imetengenezwa. Imetengemaa kwa sasa.
😂😂😂Unajikuta upo nje ya mda ni kwamba hujui kitu hata hyo technology unayofautilia unaparazia yaani huijui kiundani...Kaangalie mataifa makubwa wameweka mwaka gani ndo ukomo wa kutumia magari ya mafuta..Hivi wewe unafuatilia EV and battery technology pamoja na maendeleo ya kuhamia kwenye renewable energy yanayofanywa na nchi zilizoendelea, au unafuatilia vilabu ya soka Ulaya siku nzima.
Ozone layer ipo juu angani kwenye Stratosphere, hapa tulipo sisi na ulipopasema kwamba India kuna ukungu watu hawaonani, ni sehemu inaitwa Troposphere. Uchafuzi wa troposphere, ni nadra kuingia kwenye stratosphere.Elezea kidogo imetengenezwa na nani na lini,maana ni juzi tu hapa kuna documentary moja niliiona inaelezea ku-repair ozone layer depletion is almost impossible...tena wakaonesha na baadhi ya nchi mfano India anga lake limejaa moshi mfano wa ukungu hadi watu hawaonani....vipi leo chap hivyo?
Umeielewa ripoti ya IEA niliyokuwekea? IEA report inatoa taarifa za kiulimwengu jinsi uwekezaji na matumizi ya nishati yalivyo.Hivi wewe unafuatilia EV and battery technology pamoja na maendeleo ya kuhamia kwenye renewable energy yanayofanywa na nchi zilizoendelea, au unafuatilia vilabu ya soka Ulaya siku nzima.
Endelea kuelezea kwamba ozone layer inaadhiriwa na nini.? maana moshi wa viwandani umekataa zaidi unaelezea matabaka yaliopo kwenye uso wa duniaOzone layer ipo juu angani kwenye Stratosphere, hapa tulipo sisi na ulipopasema kwamba India kuna ukungu watu hawaonani, ni sehemu inaitwa Troposphere. Uchafuzi wa troposphere, ni nadra kuingia kwenye stratosphere.
Sasa katika stratosphere kwenye OZONE LAYER - oxygen molecules zina react na UV RADIATION na kuendelea kujengeka na kutengeneza Ozone (O3/mara O2) na Oxygen. Yaani mwisho ile hole inazidi kupungua.
Mkuu, fafanua zaidi hapa kuhusu ozone layer kutengemaa.. kwamba hatupo kwenye hatari tena dhidi ya global warming? hii habari nzuri sana.Swala la Ozone layer depletion siyo issue tena! Imetengenezwa. Imetengemaa kwa sasa.
[emoji1787]Mafuta yatatumika hadi mwaka 3000
nakazia hapaEndelea kuelezea kwamba ozone layer inaadhiriwa na nini.? maana moshi wa viwandani umekataa zaidi unaelezea matabaka yaliopo kwenye uso wa dunia
Hivi wewe upo sawasawa kweli? Matumizi ya mafuta hayataisha hata siku moja, Wewe unajifanya mwana mazingira wakati hujui unachofanyaNinaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.
Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.
Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.
Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!
Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Maaskofu wako sahihiUkweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.
Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.
Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Battery yeyote inahitaji replacement iwe ya simu ,ya gari nkUkiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Hakika uongo ukirudiwa mara nyingi huonekana ukweli. Hivi umewahi kujiuliza hizo nchi zinazopigia kelele hilo Bomba la mafuta mbona wao ndiyo wanaoongoza kwa kusafirisha mafuta na gas kwa njia hiyo hiyo?Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.
Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.
Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.
Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!
Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Wazungu wamemlisha ujinga mleta mada hadi hajielewiHakika uongo ukirudiwa mara nyingi huonekana ukweli. Hivi umewahi kujiuliza hizo nchi zinazopigia kelele hilo Bomba la mafuta mbona wao ndiyo wanaoongoza kwa kusafirisha mafuta na gas kwa njia hiyo hiyo?
Yaani ni kama wao kutuambia viwanda vinaongeza joto Duniani lakini wao kila siku wanaongoza kutengeneza viwanda na haitoshi wanashindana kutengeza WMD's kwaajili ya kumwangamiza huyo huyo Binadamu ambaye wanajifanya wanamlinda dhidi ya uharibifu wa Mazingira.
Amka Mkuu hakuna anayependa Africa iinuke na kujitegemea kwakuwa ndiyo soko kuu la bidhaa zao na huduma
Wanotegemewa kutupigania Africa wameshanunuliwa na wasaliti. Tuna safari ndefu kulikomboa Bara hili dhidi ya mirija ya unyonyaji kutoka Mataifa ya ughaibuniWazungu wamemlisha ujinga mleta mada hadi hajielewi
Hawezi hata kuwahoji swali kama hilo
Kalishwa uzungu hadi kuongea anapinda mdomo akiongea kizungu ili ufanane na wazungu
Wanaharakati ngozi nyeusi wasiojielewa wanatuangusha mno