Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanapelekeshwa! Tatizo hawajui ajenda za kanisa Catholic ni ipi..... Hawa hawana nguvu yoyote Ile..... Faza kashasema wewe ni nani?
 
Sasa waseme nini wakuambie kua kufirana ni dhambi ama nini hukijui unataka uambiwe.

Mambo mengine ni kuachana nayo tu
 
Kanisa ni kama unavyoona serikali na pope ndio kama rais wa kanisa (institution) tamko la rais ni tamko la nchi, same applied to tamko la pope ni tamko la kanisa full stop.

Sio kweli
 

Be serious, sauti ya Mungu kwenye ushoga?
 
Kuna shoga akapinga mambo ya kishoga?
 
Huyu ndio atakuwa Papa wa mwisho. Ana mambo ya kikuda.
 
Wa Tanzania watakula wapi? 🤣🤣
 
hakuna waraka wa papa aliouandika kuunga mkono ushoga
 
Hao wako kwenye nchi zinazojielewa ila hapa bongolala usitegemee lolote zaidi ya blahblah zakudanganya waumini wakati jambo liko wazi.nimesikia ufafanuzi wa Ruwaichi kwenye globu moja uko youtube sidhani kama ata yeye anaelewa alichokua anakitetea.Ni kujikanyagakanyaga tu bora ata angekaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…