Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi kutoa baraka kwa wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja ?
Baraza la maaskofu wa Malawi limetupilia mbali kabisa ombi la Papa Francis kuruhusu makasisi kuwapa baraka wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja, Maaskofu hao wameweka msimamo wao hawatatoa baraka ya aina yoyote.
View attachment 2848629
Nao Baraza la maaskofu nchini Zambia wanaona anachofanya Papa sio sahihi na wamemwekea maandiko kabosa kwamba haawewezi kutoa baraka za aina yoyote za kitakatifu.
View attachment 2848630
View attachment 2848631
Kenya nao the same
View attachment 2848632
View attachment 2848633
Sent using Jamii Forums mobile app