Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Pope sio Mungu,huo ni mtizamo wake na wala sio wa Kanisa Katoliki.Kanisa Katoliki ni kubwa na lina nguvu kuliko Papa.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Shida yenu hata mkisoma kilichoandikwa hamkielewi. Hizo nyaraka zinatoa 'clarifications' kuepuka 'misinterpretations' na kilichosemwa na papa. Sasa wewe unakuja na namba 666. Sasa namba 666 hapa ni nani, si ni wewe unayepotosha kilichoandikwa kwenye hizo nyaraka?
Kuelewa kilichoandikwa kwenye hiyo document mpaka uwe na akili timamu. Otherwise, ni mipasho ya kihuni huni tu kama huu wa kwako.Papa ameshawapa baraka wakatoliki kushikana makalio. Kazi kwenu sasa
Yaani wewe bado umelala usingizini maana hata hujui kilichoongelewa kwenye hiyo document iliyotoka. Kwa kifupi document inasema hivi: 1) Tangu zamani Kanisa Katoliki linatambua na litaendelea kufanya hivyo kwamba ndoa halali ni ya "mume mmoja na mke mmoja" waliokubaliana kwa uhuru wao kuishi pamoja. Hakuna ndoa nyingine inayotambulika nje ya hii. 2) Watu ambao wana ndoa ambazo siyo halali (irregular marriage) au ambao wanaishi pamoja kama mashoga, kama moyoni mwao wametambua kwamba wanahitaji kubadilika na kuishi maisha ambayo Mungu anataka wayaishi, hawa wakiomba baraka kama ilivyo kwa waumini wengine wanaohitaji, wanaweza kupata baraka kwa lengo la kuomba neema ya Mungu iendelee kuwaangaza na kuwavuta waondokane katika hali yao hiyo, lakini isije ikawa kwa mantiki ya kuhalalisha hali zao (soma document hiyo Nos 31-41). Kama hutaweza kuelewa, uliza ueleweshwe na kama hutaki kuelewa to hell with you!Namba 666 ni Papa na kanisa lake Katoliki wanaobariki ndoa za jinsia moja
Huna hata unachokijua weyeee, hebu kaa kimya.Pope sio Mungu,huo ni mtizamo wake na wala sio wa Kanisa Katoliki.Kanisa Katoliki ni kubwa na lina nguvu kuliko Papa.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Ila dume aliyetangaza hivyo je? [emoji23][emoji23][emoji23]Inastaajabisha kuona kidume kinaandika hivi. Pathetic.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ukiwachukia wao wanapungukiwa nn? Unateseka ukiwa wapiii??Kashoga hako.... Hakuna kidume hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mda nawachukia sn mashoga ... Akil hawana
Bora usemee wee.Kanisa ni kama unavyoona serikali na pope ndio kama rais wa kanisa (institution) tamko la rais ni tamko la nchi, same applied to tamko la pope ni tamko la kanisa full stop.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Roma locuta, Causa Finita Est.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sahivi usipotaka kwenda, acha tyuuh. Huna cha kupunguza wala kuongeza ktk kanisa.Siku nitakapoona parokiani kwetu jinsia moja inafungishwa pingu za maisha, ndio utakuwa mwisho wa kwenda kanisani. MILELE.
Wee huna akili kabisaa, toka lini Rais anapingwa ktk jambo lake?Sio kweli, papa hatoi amri hutangaza kilichojadiliwa na kukubaliwa ukiona kitu kina bishaniwa basi hayo yalikuwa ni maoni yake binafsi na sio makubaliano
Alichukuliwa Rio De Janeiro, [emoji1054]Huyo papa ndio nani? Sijui walimwokotea wapi huyu papa ambaye hajitambui.
Hebu wajaribu tuoneee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pope kwa kanisa ni mtu wa kupita tu wakitaka kumchomoa hachukui round na hatakuwa wakwanza kuondolewa madarakani
Tenaa mnooo, [emoji23][emoji23][emoji23]Hapo naona umefurahi kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio tuwe wengi, tufunge ndoa halali ya kidini.Unaombea papa akamatie hapo hapo muwe wengi [emoji3]
Marekani tayari wamesha ji bless.Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi kutoa baraka kwa wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja ?
Baraza la maaskofu wa Malawi limetupilia mbali kabisa ombi la Papa Francis kuruhusu makasisi kuwapa baraka wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja, Maaskofu hao wameweka msimamo wao hawatatoa baraka ya aina yoyote.
View attachment 2848629
Nao Baraza la maaskofu nchini Zambia wanaona anachofanya Papa sio sahihi na wamemwekea maandiko kabosa kwamba haawewezi kutoa baraka za aina yoyote za kitakatifu.
View attachment 2848630
View attachment 2848631
Kenya nao the same
View attachment 2848632
View attachment 2848633
I love you too😘[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sahivi usipotaka kwenda, acha tyuuh. Huna cha kupunguza wala kuongeza ktk kanisa.
Tutolee uchuro wako hapa
Ina maana jambo hili Papa amejiamulia yeye mwenyewe binafsi bila kwanza kuwashirikisha wenzake? Hivi Utaratibu wa Ufanyaji wa Maamuzi ukoje huko Vatican??Hakuna Vikao vya Mashauriano???Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi kutoa baraka kwa wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja ?
Baraza la maaskofu wa Malawi limetupilia mbali kabisa ombi la Papa Francis kuruhusu makasisi kuwapa baraka wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja, Maaskofu hao wameweka msimamo wao hawatatoa baraka ya aina yoyote.
View attachment 2848629
Nao Baraza la maaskofu nchini Zambia wanaona anachofanya Papa sio sahihi na wamemwekea maandiko kabosa kwamba haawewezi kutoa baraka za aina yoyote za kitakatifu.
View attachment 2848630
View attachment 2848631
Kenya nao the same
View attachment 2848632
View attachment 2848633
[emoji23][emoji23][emoji23] kwemaa?I love you too[emoji8]
Salamaaa...[emoji23][emoji23][emoji23] kwemaa?