Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

Shida yenu hata mkisoma kilichoandikwa hamkielewi. Hizo nyaraka zinatoa 'clarifications' kuepuka 'misinterpretations' na kilichosemwa na papa. Sasa wewe unakuja na namba 666. Sasa namba 666 hapa ni nani, si ni wewe unayepotosha kilichoandikwa kwenye hizo nyaraka?

Papa ameshawapa baraka wakatoliki kushikana makalio. Kazi kwenu sasa
 
Papa ameshawapa baraka wakatoliki kushikana makalio. Kazi kwenu sasa
Kuelewa kilichoandikwa kwenye hiyo document mpaka uwe na akili timamu. Otherwise, ni mipasho ya kihuni huni tu kama huu wa kwako.
 
Namba 666 ni Papa na kanisa lake Katoliki wanaobariki ndoa za jinsia moja
Yaani wewe bado umelala usingizini maana hata hujui kilichoongelewa kwenye hiyo document iliyotoka. Kwa kifupi document inasema hivi: 1) Tangu zamani Kanisa Katoliki linatambua na litaendelea kufanya hivyo kwamba ndoa halali ni ya "mume mmoja na mke mmoja" waliokubaliana kwa uhuru wao kuishi pamoja. Hakuna ndoa nyingine inayotambulika nje ya hii. 2) Watu ambao wana ndoa ambazo siyo halali (irregular marriage) au ambao wanaishi pamoja kama mashoga, kama moyoni mwao wametambua kwamba wanahitaji kubadilika na kuishi maisha ambayo Mungu anataka wayaishi, hawa wakiomba baraka kama ilivyo kwa waumini wengine wanaohitaji, wanaweza kupata baraka kwa lengo la kuomba neema ya Mungu iendelee kuwaangaza na kuwavuta waondokane katika hali yao hiyo, lakini isije ikawa kwa mantiki ya kuhalalisha hali zao (soma document hiyo Nos 31-41). Kama hutaweza kuelewa, uliza ueleweshwe na kama hutaki kuelewa to hell with you!
 
Kashoga hako.... Hakuna kidume hapo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mda nawachukia sn mashoga ... Akil hawana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko ukiwachukia wao wanapungukiwa nn? Unateseka ukiwa wapiii??
 
Kanisa ni kama unavyoona serikali na pope ndio kama rais wa kanisa (institution) tamko la rais ni tamko la nchi, same applied to tamko la pope ni tamko la kanisa full stop.
Bora usemee wee.
 
Siku nitakapoona parokiani kwetu jinsia moja inafungishwa pingu za maisha, ndio utakuwa mwisho wa kwenda kanisani. MILELE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sahivi usipotaka kwenda, acha tyuuh. Huna cha kupunguza wala kuongeza ktk kanisa.
Tutolee uchuro wako hapa
 
Sio kweli, papa hatoi amri hutangaza kilichojadiliwa na kukubaliwa ukiona kitu kina bishaniwa basi hayo yalikuwa ni maoni yake binafsi na sio makubaliano
Wee huna akili kabisaa, toka lini Rais anapingwa ktk jambo lake?
Pope huwa anatoa maagizo, kuwa muelewa mngoni koko wee.
 
Pope kwa kanisa ni mtu wa kupita tu wakitaka kumchomoa hachukui round na hatakuwa wakwanza kuondolewa madarakani
Hebu wajaribu tuoneee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi kutoa baraka kwa wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja ?

Baraza la maaskofu wa Malawi limetupilia mbali kabisa ombi la Papa Francis kuruhusu makasisi kuwapa baraka wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja, Maaskofu hao wameweka msimamo wao hawatatoa baraka ya aina yoyote.

View attachment 2848629

Nao Baraza la maaskofu nchini Zambia wanaona anachofanya Papa sio sahihi na wamemwekea maandiko kabosa kwamba haawewezi kutoa baraka za aina yoyote za kitakatifu.

View attachment 2848630
View attachment 2848631

Kenya nao the same

View attachment 2848632
View attachment 2848633
Marekani tayari wamesha ji bless.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata sahivi usipotaka kwenda, acha tyuuh. Huna cha kupunguza wala kuongeza ktk kanisa.
Tutolee uchuro wako hapa
I love you too😘
 
Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi kutoa baraka kwa wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja ?

Baraza la maaskofu wa Malawi limetupilia mbali kabisa ombi la Papa Francis kuruhusu makasisi kuwapa baraka wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja, Maaskofu hao wameweka msimamo wao hawatatoa baraka ya aina yoyote.

View attachment 2848629

Nao Baraza la maaskofu nchini Zambia wanaona anachofanya Papa sio sahihi na wamemwekea maandiko kabosa kwamba haawewezi kutoa baraka za aina yoyote za kitakatifu.

View attachment 2848630
View attachment 2848631

Kenya nao the same

View attachment 2848632
View attachment 2848633
Ina maana jambo hili Papa amejiamulia yeye mwenyewe binafsi bila kwanza kuwashirikisha wenzake? Hivi Utaratibu wa Ufanyaji wa Maamuzi ukoje huko Vatican??Hakuna Vikao vya Mashauriano???
 
Back
Top Bottom