Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi kutoa baraka kwa wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja ?

Baraza la maaskofu wa Malawi limetupilia mbali kabisa ombi la Papa Francis kuruhusu makasisi kuwapa baraka wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja, Maaskofu hao wameweka msimamo wao hawatatoa baraka ya aina yoyote.

M.jpeg

Nao Baraza la maaskofu nchini Zambia wanaona anachofanya Papa sio sahihi na wamemwekea maandiko kabosa kwamba haawewezi kutoa baraka za aina yoyote za kitakatifu.

Z1.jpeg
Z2.jpeg

Kenya nao the same

K1.jpeg
K2.jpeg
 
Ukiona ufalme umeanza kujifitini tafsiri yake ufalme huo umeanguka.

Ko saivi kwenu ni kama Kambale tuu kila samaki anandevu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


Dinyaneni mkubwa keshasema
 
Pope sio Mungu,huo ni mtizamo wake na wala sio wa Kanisa Katoliki.Kanisa Katoliki ni kubwa na lina nguvu kuliko Papa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Kanisa ni kama unavyoona serikali na pope ndio kama rais wa kanisa (institution) tamko la rais ni tamko la nchi, same applied to tamko la pope ni tamko la kanisa full stop.
 
Pope sio Mungu,huo ni mtizamo wake na wala sio wa Kanisa Katoliki.Kanisa Katoliki ni kubwa na lina nguvu kuliko Papa.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Sio Kweli

Sauti ya Papa ni Sauti ya Mungu katika Kanisa Katoliki, labda kama wewe si Mkatoliki au hujui

Agizo la Papa huwa halipingwi na hata Selection ya Papa haipingwi kirahisi

Cha muhimu ni kuandika Waraka wa kutokubaliana na hayo maagizo kwasababu za msingi, na hata kuwa tayari kufutwa uaskofu au upadri kwaajili hiyo
 
Siku nitakapoona parokiani kwetu jinsia moja inafungishwa pingu za maisha, ndio utakuwa mwisho wa kwenda kanisani. MILELE.
Sasa amini usiamini si muda mrefu zinafungwa.

Maana anawazoesha mapadre ili waone ni hali ya kwaida apate kutangaza wakiwa wamesha zoea kubariki mashonga.

Dunia imefika mwisho. Aibu!
 
Back
Top Bottom