Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

Sio Kweli

Sauti ya Papa ni Sauti ya Mungu katika Kanisa Katoliki, labda kama wewe si Mkatoliki au hujui

Agizo la Papa huwa halipingwi na hata Selection ya Papa haipingwi kirahisi

Cha muhimu ni kuandika Waraka wa kutokubaliana na hayo maagizo kwasababu za msingi, na hata kuwa tayari kufutwa uaskofu au upadri kwaajili hiyo
Ingemuwa ya mungu kama unavyodai.
Unapata wapi uhalali wa kuandika waraka wa kumpinga?
Hata hivyo nimekuelewa kwamba unamzungumzia mungu na sii Mungu.
Kuna miungu wengi na hata shetani ni mungu wa dunia hii na tumeagizwa na Mungu kumpinga shetani nae atatukimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahuni wamempelekea Papa Tege bovu kalivaa walishindwa kwa Infatino na World Cup yake tuu hao jamaa wana nguvu za hatari huyu Papa angejikita kwenye vita hizi asingezungumzia hayo mambo nilimuona mara kadhaa akitaka kugusia hata kabla ya kombe la Dunia...walitaka kuwatumia CR 7 na Messi walipogoma walipotoa majibu ya kifamilia hawakuyapenda kabisa...haya Mataifa Makubwa yanaharibu Dunia..
 
Sio Kweli

Sauti ya Papa ni Sauti ya Mungu katika Kanisa Katoliki, labda kama wewe si Mkatoliki au hujui

Agizo la Papa huwa halipingwi na hata Selection ya Papa haipingwi kirahisi

Cha muhimu ni kuandika Waraka wa kutokubaliana na hayo maagizo kwasababu za msingi, na hata kuwa tayari kufutwa uaskofu au upadri kwaajili hiyo
Kama sauti ya Papa ni sauti ya Mungu, unamaana kupinga waraka au matamshi aliyotoa Papa ni kumpinga Mungu
 
Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi kutoa baraka kwa wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja ?

Baraza la maaskofu wa Malawi limetupilia mbali kabisa ombi la Papa Francis kuruhusu makasisi kuwapa baraka wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja, Maaskofu hao wameweka msimamo wao hawatatoa baraka ya aina yoyote.

View attachment 2848629

Nao Baraza la maaskofu nchini Zambia wanaona anachofanya Papa sio sahihi na wamemwekea maandiko kabosa kwamba haawewezi kutoa baraka za aina yoyote za kitakatifu.

View attachment 2848630
View attachment 2848631

Kenya nao the same

View attachment 2848632
View attachment 2848633
Nadhani shida yako ya kuelewa ni lugha. Hivi unakielewa Kiingereza vizuri? Na hicho kilichoandikwa kimezama. Kilichofanywa kwa nchi mbalimbali, hasa za Afrika ni kila maaskofu kutoa clarification ya kilichommanishwa na "misinterpretation" ya kilichomaanishwa. Kwa hiyo, siyo kweli kwamba Malawi, Zambia na Kenya wamepinga na unauliza kwa nini Tanzania hawatoa waraka kupinga. Hata hujui kinachoendelea. Shida yako wewe ni kwamba unachanganya vitu viwili hapa. Unachanganya maoni ya BBC kuhusu "same-sex blessings". Mwanzoni BBC walikuja na hoja kwamba Papa Francis ameruhusu ushoga Kanisa Katoliki na papa ameandika kwa kirefu kwamba Kanisa Katoliki miaka yote linatambua "ndoa halali ni ya mume na mke mmoja ambayo wameifunga kwa ridhaa yao na kwa kufuata utaratibu uliowekwa wa kufanya ndoa kuwa halali". Walipoona hilo hawawezi kuona namna ya kulipotosha, wamekuja na hoja ya "same-sex blessings" na bahati nzuri hata mimi niliposoma walivyoiweka BBC ilinishtua, ikabidi niende CNA na pia Vatican website ambako nilikuta document iliyokuwa na maswali aliyoulizwa papa na majibu aliyotoa na katika hiyo documents hakuna hata sehemu inayosema Kanisa Katoliki kuanzia sasa litawabariki "same-sex couples". Sasa na wewe uko kwenye huo wa upande wa kutokata kutafuta ukweli bali kuchapisha uwongo. Kama hujui Kiingereza sema hujui, lakini usiseme hizo vyaraka zinampinga papa kwa kukubali kubariki same-sex couples. Usitulishe matango pori tafadhali. Tafuta mtu anayejua vizuri Kiingereza akufafanulie kama umeshindwa kuelewa walichokiandika.
 
TIMEWEISHA WAAMBIA UKWELI WOTE KUHUSU HILO KANISQ KAHABA.

ASOMAYE NA AFAHAMU, SINA DENI KWA MUNGU.

Tulikuwa tunakuambieni kuwa yule mnyama 666 ni Papa na kanisa lake Katoliki mkawa mnapinga

Muacheni mnyama 666 afanye kazi yake ya kumtumikia shetani
Shida yenu hata mkisoma kilichoandikwa hamkielewi. Hizo nyaraka zinatoa 'clarifications' kuepuka 'misinterpretations' na kilichosemwa na papa. Sasa wewe unakuja na namba 666. Sasa namba 666 hapa ni nani, si ni wewe unayepotosha kilichoandikwa kwenye hizo nyaraka?
 
Nadhani shida yako ya kuelewa ni lugha. Hivi unakielewa Kiingereza vizuri? Na hicho kilichoandikwa kimezama. Kilichofanywa kwa nchi mbalimbali, hasa za Afrika ni kila maaskofu kutoa clarification ya kilichommanishwa na "misinterpretation" ya kilichomaanishwa. Kwa hiyo, siyo kweli kwamba Malawi, Zambia na Kenya wamepinga na unauliza kwa nini Tanzania hawatoa waraka kupinga. Hata hujui kinachoendelea. Shida yako wewe ni kwamba unachanganya vitu viwili hapa. Unachanganya maoni ya BBC kuhusu "same-sex blessings". Mwanzoni BBC walikuja na hoja kwamba Papa Francis ameruhusu ushoga Kanisa Katoliki na papa ameandika kwa kirefu kwamba Kanisa Katoliki miaka yote linatambua "ndoa halali ni ya mume na mke mmoja ambayo wameifunga kwa ridhaa yao na kwa kufuata utaratibu uliowekwa wa kufanya ndoa kuwa halali". Walipoona hilo hawawezi kuona namna ya kulipotosha, wamekuja na hoja ya "same-sex blessings" na bahati nzuri hata mimi niliposoma walivyoiweka BBC ilinishtua, ikabidi niende CNA na pia Vatican website ambako nilikuta document iliyokuwa na maswali aliyoulizwa papa na majibu aliyotoa na katika hiyo documents hakuna hata sehemu inayosema Kanisa Katoliki kuanzia sasa litawabariki "same-sex couples". Sasa na wewe uko kwenye huo wa upande wa kutokata kutafuta ukweli bali kuchapisha uwongo. Kama hujui Kiingereza sema hujui, lakini usiseme hizo vyaraka zinampinga papa kwa kukubali kubariki same-sex couples. Usitulishe matango pori tafadhali. Tafuta mtu anayejua vizuri Kiingereza akufafanulie kama umeshindwa kuelewa walichokiandika.
Huwezi kulitetea kanisa katoliki.Utatetea mangapi ndugu.Ubaya wewe hujui mission ya kanisa katoliki.Hapo ni mwanzo tu.Papa anajua mission ya kanisa,lkn kina wewe hamjui.Ndiyo maana mnaumia sana mnapoyaona haya.Yaani kwa akili yako unadhani BBC wana chuki sana na kanisa katoliki!BBC ni waingereza.Uingereza ni nchi za kimagharibi.Na nchi za kimagharibi zote mission zao ni moja.Angalia mzozo wa ukrain, Gaza,ISS,BOKO HARAM,M23 WA DRC,AL-SHABAB.Wana mtazamo mmoja.Wanaweza wakatofautiana kidoogo mdomoni,Lkn kwenye kufanyia kazi wako pamoja.Habari ikitoka BBC,DW,CNN,SKY NEWS,FRANCE INTERNATIONAL,ujue huo ni ujumbe wa umoja wa nchi za kimagharibi na Vatcan ikiwemo.Sasa hapo ni mwanzo tu.Bado kuna mengi yatawekwa hadharani na kanisa katoliki.Ubaki kuchagua mwenyewe kuendelea kuangamia nalo au kutafuta usalama kwa kanisa la MUNGU lenye kufuata sheria za MUNGU na ushuhuda(ufunuo 14:12).Mungu anawaambia tokeni kwake huyo wala msishiriki dhambi zake(ufunuo 18:4).
 
Silitetei Kanisa Katoliki, ninachokisema ni kwamba hakuna tija kuleta habari za uwongo na kulilisha Kanisa Katoliki eti kwa sababu siwezi kulitetea. That's bullshit! Sema jambo la kweli utaeleweka na siyo useme uwongo halafu ufikiri watu watakaa kimya. Lazima tuwe tunasema mambo tunayoweza kuyathibitisha na siyo kujisemea tu kwa vile tunaweza kuandika paragraphs kadhaa na kuzipost Jamiforums.
 
Waafrika wajinga sana wanajifanya wamamjua mungu kuliko hata wazungu wenyewe aliyewaletea dini pumbavu.
 
Shida yenu hata mkisoma kilichoandikwa hamkielewi. Hizo nyaraka zinatoa 'clarifications' kuepuka 'misinterpretations' na kilichosemwa na papa. Sasa wewe unakuja na namba 666. Sasa namba 666 hapa ni nani, si ni wewe unayepotosha kilichoandikwa kwenye hizo nyaraka?
Namba 666 ni Papa na kanisa lake Katoliki wanaobariki ndoa za jinsia moja
 
Back
Top Bottom