Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kama hapakaliki ni nyumbani.Once nyumbani. Ni nyumbani
Wanarudije mkuu? Siulizi nauli la hasha. Nauliza Wanarudi kwa mkakati(Strategies) gani? Kusoma Italia sio yard stick kwamba utapata ajira hapa nchini. Je, wanarudi kujiunga kwenye foleni ya majina Ajira portal au..?Warudi makwao...
Kanisani mapadre wanaoenda kusoma huko wanabaguliwa. Siyo Italy tu hata Marekani kuna watu wameshtukia kwa sasa ni mwendo wa kutafuta mtaji na kurudi bongo la sivyo utaishi kwa sifa eti niko Ulaya kumbe mtumwaKuna ubaguzi wa rangi sana pia
Dah ! Uzi umeshaingia virusi. 🏃♂️ 🏃♂️Kabda wanakuja kuwarithirisha kazi zao za kishoga labda
Litake radhi Kanisa wewe!Kabda wanakuja kuwarithirisha kazi zao za kishoga labda
Kwani kuna mahali nimeandika nataka kujiita mtakatifu? Au nimeandika ni kosa au nakerekwa? Mnajikutaga kweliKwani kuitwa mtakatifu ni kosa au ni kero kwako? Ni ruksa hata ww unaweza tu kujiita mtakatifu hakuna shida na wala sio tusi na wala hutoshtakiwa mahakamani.
BTW: Anaitwa mtakatifu kwa nafasi aliyonayo ndani ya Kanisa Katoliki.
Wewe kama ikikupendeza unaweza pia usimwite mtakatifu. Uwe na amani.
Sio kubaguliwa tu mkuu, bali jinsi utakavyokuwa unatendewa na huduma utakazopewa hata kama unalipia kutoka mfukoni kwako ww mwenyewe, utajiona tu kwa kweli hapa sikubaliki bora tu niondoke zangu nirudi bongo.Watu hawalijui hili. Hata
Kanisani mapadre wanaoenda kusoma huko wanabaguliwa. Siyo Italy tu hata Marekani kuna watu wameshtukia kwa sasa ni mwendo wa kutafuta mtaji na kurudi bongo la sivyo utaishi kwa sifa eti niko Ulaya kumbe mtumwa
Lakini kama kiongozi wenu ana wakaribisha mashoga kwenye kanisa lenu la roma tena sio kutubu lakini kusali kama waamini wengine basi huwezi tenganisha ushoga na kanisa la romaLitake radhi Kanisa wewe!
Warudi bhana tujenge nchi yetuYeah, Maaskofu wanao uhalali wa kusema hivyo kama viongozi, lakini kwa Watanzania waishio Italia ambao ndo walikuwa kwenye kikao hicho wazingatie usemi "Akili za kupewa, ongezea na za kwako". Nimemaliza.
Wewe unasema tu kwa vile huko Sudan hujafika,siku ukifika utaomba mwenyewe kurudi haraka sana.Nina Mfano wa dogo mmoja aliyewahi Kusema siku akifika Mamtoni hatarudi Bongo,Mungu ni mwema,dogo akapata fursa kwenda Israel(japo sio Mamtoni),Juzi naongea nae akaniambia anatamani tu kurudi Bongo Wakati amekaa km Miezi mitatu tu.Nyie hizi Mambo acheni tu.Mimi hata nkapata ishu sudani sirudii[emoji15]
Kichwa chako kimejaa makamasi yenye usaha,unawaza kuliwa jicho tu.Shame on you.Kabda wanakuja kuwarithirisha kazi zao za kishoga labda
Maishani ni bora ukose mali upate akili ya Kupambanua Mambo Kisomi.Hivi Kipindi kile Yesu alipokula na kunywa na wenye dhambi wakiwemo hao wazinzi,watoza ushuru,wafiraji,mashoga,wezi,nk,Kwa Kufanya hivyo alionyesha Kuwa anakubaliana na tabia zao?.Lakini kama kiongozi wenu ana wakaribisha mashoga kwenye kanisa lenu la roma tena sio kutubu lakini kusali kama waamini wengine basi huwezi tenganisha ushoga na kanisa la roma
c wanakuja kujiajiriMaaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu.
Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi.
Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo yao.
Je. maaskofu mnajua kadhia ya ajira iliyopo Tanzania kwa sasa? Au mna ajira za kuwapa hao wasomi wetu pindi warudipo au baadaye mtawaambia ombeni Mungu atawasaidia?
Mkuu umesahau ulichouliza?Kwani kuna mahali nimeandika nataka kujiita mtakatifu? Au nimeandika ni kosa au nakerekwa? Mnajikutaga kweli
Ungejua Tanzania ndiko kuna risk kubwa usingesema hayo. Ni wangapi wanafungwa na mapka kuawa kwa sababu ya misimamo yao ya kisiasa Bongo? Yaani unafananisha haki za mtu aliye Italy na Bongo na kusema Bongo ndiko kwenye haki zaidi?Warudi tu, we huoni madhira wanayopata wale waafrika waliokuepo Ukraine na Urusi? Baada ya masomo warudi bongo kuhusu ajira zipo tu
Their safety is more important maana huko ni kama mkimbizi hauna haki/guarantee 100% ya kua protected ikifika vipindi vya emergencies
Kwa sababu Ya, ukuu wa Kiti.Hivi ni Kwa nini huyo kiongozi wenu hua mnamuita mtakatifu ?🤔🤔🤔