Maaskofu Katoliki mnawaambia vijana wa Kitanzania waliopo Italia warudi nyumbani wakimaliza masomo, mna ajira za kuwapa?

Maaskofu Katoliki mnawaambia vijana wa Kitanzania waliopo Italia warudi nyumbani wakimaliza masomo, mna ajira za kuwapa?

Warudi makwao...
Wanarudije mkuu? Siulizi nauli la hasha. Nauliza Wanarudi kwa mkakati(Strategies) gani? Kusoma Italia sio yard stick kwamba utapata ajira hapa nchini. Je, wanarudi kujiunga kwenye foleni ya majina Ajira portal au..?
 
Watu hawalijui hili. Hata
Kuna ubaguzi wa rangi sana pia
Kanisani mapadre wanaoenda kusoma huko wanabaguliwa. Siyo Italy tu hata Marekani kuna watu wameshtukia kwa sasa ni mwendo wa kutafuta mtaji na kurudi bongo la sivyo utaishi kwa sifa eti niko Ulaya kumbe mtumwa
 
Kwani kuitwa mtakatifu ni kosa au ni kero kwako? Ni ruksa hata ww unaweza tu kujiita mtakatifu hakuna shida na wala sio tusi na wala hutoshtakiwa mahakamani.
BTW: Anaitwa mtakatifu kwa nafasi aliyonayo ndani ya Kanisa Katoliki.
Wewe kama ikikupendeza unaweza pia usimwite mtakatifu. Uwe na amani.
Kwani kuna mahali nimeandika nataka kujiita mtakatifu? Au nimeandika ni kosa au nakerekwa? Mnajikutaga kweli
 
Watu hawalijui hili. Hata

Kanisani mapadre wanaoenda kusoma huko wanabaguliwa. Siyo Italy tu hata Marekani kuna watu wameshtukia kwa sasa ni mwendo wa kutafuta mtaji na kurudi bongo la sivyo utaishi kwa sifa eti niko Ulaya kumbe mtumwa
Sio kubaguliwa tu mkuu, bali jinsi utakavyokuwa unatendewa na huduma utakazopewa hata kama unalipia kutoka mfukoni kwako ww mwenyewe, utajiona tu kwa kweli hapa sikubaliki bora tu niondoke zangu nirudi bongo.
 
Litake radhi Kanisa wewe!
Lakini kama kiongozi wenu ana wakaribisha mashoga kwenye kanisa lenu la roma tena sio kutubu lakini kusali kama waamini wengine basi huwezi tenganisha ushoga na kanisa la roma
 
Yeah, Maaskofu wanao uhalali wa kusema hivyo kama viongozi, lakini kwa Watanzania waishio Italia ambao ndo walikuwa kwenye kikao hicho wazingatie usemi "Akili za kupewa, ongezea na za kwako". Nimemaliza.
Warudi bhana tujenge nchi yetu
 
Mimi hata nkapata ishu sudani sirudii[emoji15]
Wewe unasema tu kwa vile huko Sudan hujafika,siku ukifika utaomba mwenyewe kurudi haraka sana.Nina Mfano wa dogo mmoja aliyewahi Kusema siku akifika Mamtoni hatarudi Bongo,Mungu ni mwema,dogo akapata fursa kwenda Israel(japo sio Mamtoni),Juzi naongea nae akaniambia anatamani tu kurudi Bongo Wakati amekaa km Miezi mitatu tu.Nyie hizi Mambo acheni tu.
 
Hivi mwanafunzi aliyolipiwa ada na wazazi wake kusoma Nchi kama Italy au nje ya Nchi nae alalamike suala la ajira si itakuwa utahira wa kiwango cha Phd.
 
Lakini kama kiongozi wenu ana wakaribisha mashoga kwenye kanisa lenu la roma tena sio kutubu lakini kusali kama waamini wengine basi huwezi tenganisha ushoga na kanisa la roma
Maishani ni bora ukose mali upate akili ya Kupambanua Mambo Kisomi.Hivi Kipindi kile Yesu alipokula na kunywa na wenye dhambi wakiwemo hao wazinzi,watoza ushuru,wafiraji,mashoga,wezi,nk,Kwa Kufanya hivyo alionyesha Kuwa anakubaliana na tabia zao?.
 
Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu.

Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi.

Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo yao.

Je. maaskofu mnajua kadhia ya ajira iliyopo Tanzania kwa sasa? Au mna ajira za kuwapa hao wasomi wetu pindi warudipo au baadaye mtawaambia ombeni Mungu atawasaidia?
c wanakuja kujiajiri
 
Kwani kuna mahali nimeandika nataka kujiita mtakatifu? Au nimeandika ni kosa au nakerekwa? Mnajikutaga kweli
Mkuu umesahau ulichouliza?
umeuliza hivi:
"Hivi ni Kwa nini huyo kiongozi wenu hua mnamuita mtakatifu ?"
Kwa manttiki ya swali lak ni kwamba 1. Humtambui/Humkubali kama kiongozi -ndo mana unasema kiongozi wenu i.e ww umejitoa.
2. Matumizi ya Neno mtakatifu yametumika isivyo wakati ww unajua kwamba yy sio mtakatifu. Inamaanisha matumizi ya neno mtakatifu mahali pasipostahili ni maudhi kwako.
Ninachojaribu kuweka mbele yako ni kwamba sio lazima utamke kila kitu lakini ukisoma between lines ndipo unagundua maneno yaliyojificha.
e,g, Hujaandika unataka kujiita mtakatifu; lakini unahoji kwa nini fulani mnamwita mtakatifu kana kwamba kuna aliyetakiwa aitwe hivyo sisi tumemwacha pembeni.
Hujaandika umekereka lakini umehoji (Umeibua swali) manake una maslahi(Interest) katika hoja hii.
 
Warudi tu, we huoni madhira wanayopata wale waafrika waliokuepo Ukraine na Urusi? Baada ya masomo warudi bongo kuhusu ajira zipo tu

Their safety is more important maana huko ni kama mkimbizi hauna haki/guarantee 100% ya kua protected ikifika vipindi vya emergencies
Ungejua Tanzania ndiko kuna risk kubwa usingesema hayo. Ni wangapi wanafungwa na mapka kuawa kwa sababu ya misimamo yao ya kisiasa Bongo? Yaani unafananisha haki za mtu aliye Italy na Bongo na kusema Bongo ndiko kwenye haki zaidi?
 
Back
Top Bottom