Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

Wasituletee agenda za ushoga, wangekuwa na uwezo wa mikataba, waache kwanza kuwadhalilisha watoto makanisani tumechoka kuwasikia maaskofu kwani wao ni akina nani? Enzi za roman empire zimekwisha, Dunia kwa sasa ina dini nyingi na mitazamo tofauti.THIS IS NEW ERA.
Umeonyesha kiwango dini sana Cha akili.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.

Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.

Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.

Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.

Mungu ni mwema.
[emoji83][emoji83]salamu Sa 100 umejaa laana ,umelaaniwa kuliko wanawake wote na abdul mzaliwa wa tumbo lako amelaaniwa , tokea sasa vizazi vyote watakuita mlaaniwa.[emoji83][emoji83]
 
[emoji83][emoji83]salamu Sa 100 umelaaniwa kuliko wanawake wote na abdul mzaliwa wa tumbo lako amelaaniwa , tokea sasa vizazi vyote watakuita mlaaniwa.[emoji83][emoji83]
Kulaani ni kazi ya Mungu, chunga sana chuki moyoni mwako kwani inakutafuna.
 
Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.

Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.

Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.

Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.

Mungu ni mwema.
Elezea vizuri. Wamekutana baada ya kupewa mikataba na nani, eleza vizuri. Hii ni habari nyeti sana
 
Katiba inaruhusu kufanya hivyo kwa hiyo hakuna tatizo kufanya hivyo.
 
Hawa wamedekeshwa miaka mingi na kujiona kichwa kikubwa kutaka kuingilia yasio wahusu.
Kama kuna tatizo la bandari, ni tatizo la watanzania wote na kuna njia na taasisi za dola kushughulikia ikiwamo bunge, mahakama, serikali au baraza la mawaziri n.k
Hii ta TEC kushupalia ni uchochezi ambao hauwezi kuvumilika.
Hao uliowaorodhesha kama ni mazezeta kipi kifanyike?
 
Kanisa waseme wazi kama kunamaslahi yao yamefutwa waache ulaghai mikataba mibovu mingi tumeingia nyuma huko mbona walikuwa kimya bandarini tunapigwa wao kimya
"Kuna mikataba mibovu mingi TUMEINGIA nyuma huko", ndiyo maana na bandari mnapigwa,maana hata akijitokeza mtu wa kuwasaidia mnamuuliza "ulikuwa wapi?"
 
Hawa wamedekeshwa miaka mingi na kujiona kichwa kikubwa kutaka kuingilia yasio wahusu.
Kama kuna tatizo la bandari, ni tatizo la watanzania wote na kuna njia na taasisi za dola kushughulikia ikiwamo bunge, mahakama, serikali au baraza la mawaziri n.k
Hii ta TEC kushupalia ni uchochezi ambao hauwezi kuvumilika.
Pumbavu, kuna tofauti gani kati ya serikali,bunge,na mahakama? Wakatoliki ni watanzania,kwa nini mambo yanayotokea Tanzania yasiwahusu? Yamuhusu nani sasa?
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Umeandika kama hujawahi kumiliki vidole.Pendelea kujifunza mambo.
 
Back
Top Bottom