THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
-
- #41
Kumbe haulifaham hilo??Kwa hiyo wakati wa Biashara ya utumwa Mashehe ndio walikuwa wapo kipaumbele kupigania Uhuru ?
MAASKOFU wanaona SIASA ni lelemama na kuongoza nchi ni kama kuongoza hao kondoo wao huko, Kila siku MATAMKO,wanataka Nini??Pepo la udini limekuvaa, kwanza elewa maana ya regime, unaandika tu kwa mhemko wa kidini, lini maaskofu wakaruhusiwa kusajili chama? Acha wakemee yasiyopendeza
Anatakiwa atoe maoni yake kama raia wa kawaida na sio atoe maoni akiwa amejivika koti la kiongozi wa dini unakuwa una wagawa watu.Kiongozi wa dini kwa kiapo cha imani yake, anastahili kukemea uovu wa aina yoyote, uwe wa kijamii, kisiasa, kiuchumi, kimaadili au kiroho. Ukemeaji wa uovu hauna mipaka.
Labda useme kuwa kudhulumu haki za watu za kisiasa siyo uovu. Kuwaua watu kwa sababu za kisiasa siyo uovu. Nje ya hapo waache viongozi wa dini watimize wajibu wao.
Soma historia, utapata orodha ndefu ya manabii waliowakemea wafalme, na wengine hadi waliuawa na wafalme kwa sababu ya ukweli wao dhidi ya watawala ambao hawakutenda haki.
Kusimamia haki Gani?Wanatumia haki yao ya kikatiba na kamwe hawez nyamaza
Ukristo umejengwa kwenye msingi wa kusimamia haki
fahamu kuwa ndio wenye ushawishi mkubwa kwa kuwa wananchi ndio waumini wao. Lazima serikali iwaogopeMAASKOFU wanaona SIASA ni lelemama na kuongoza nchi ni kama kuongoza hao kondoo wao huko, Kila siku MATAMKO,wanataka Nini??
Kama vipi waingie ulingoni tujue moja.
Wanafiki wakubwa hao.
Umeongea vizur sana,hakuna aliekatazwa kutoa maoni wala kukosoa,ila MAASKOFU wamekuwa kero shenzy Hawa,Kila siku kwenye vizimba vya dini mara serikali hiviii mara serikali vileee ...wanataka Nini??Anatakiwa atoe maoni yake kama raia wa kawaida na sio atoe maoni akiwa amejivika koti la kiongozi wa dini unakuwa una wagawa watu.
Walio tenganisha dini na siasa hawakuwa wapumbavu.
...na kwa kuongezea, muambie huyo mfia dini kwamba hao maaskofu kukemea uovu hawajaanza leo wakati wa Ustadhat, walifanya hivyo hata wakati wa mkatoliki Jiwe!.Bibilia inatutaka tusishuhudie uovu.Hivyo,Maaskofu wanakemea maovu Kwa watawala maana wakikaa kimya itaonekana wanaunga mkono maovu ya awamu hii ya sita inayoongoza Kwa ukatili
Wana ushawishi kwa nani hawa wezi tuh??fahamu kuwa ndio wenye ushawishi mkubwa kwa kuwa wananchi ndio waumini wao. Lazima serikali iwaogope
Unajizima data...ingia youtube....hawa wataendelea kusema na serikali haitawafanya lolote, haina jeuri hiyo. Na kkkt.nao watatoa tamko. Unafikiri hawa ni mhurula kama bakwata?Hukuwaskia Hawa nguchiro enzi za magufuli wakiwa wanaleta Fujo kama hizi,pamoja na kuminya kwake Demokrasia kanisa lilikaa kimya kabisa,Leo midomo mireefu kama kakakuona.
Kama mb kaweFriends and Our Enemies,
Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?
Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.
Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.
Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
serikali yenyewe inatumia dini kufanya mambo yake. Waumini huambiwa watii mamlaka maana yatoka kwa mungu, wanakuwa wapole na wenyenyekevu kwa serikali. Kwa hiyo kuna miingiliano ili kudhibiti nidhamu ya wananchi. Hata serikali hukemea viongozi wa dini wasioendana na matakwa yaoAnatakiwa atoe maoni yake kama raia wa kawaida na sio atoe maoni akiwa amejivika koti la kiongozi wa dini unakuwa una wagawa watu.
Walio tenganisha dini na siasa hawakuwa wapumbavu.
kukadiriwa😀Nchi inatumia mabilioni ya fedha kuwahesabu watu kama wewe bora mngekadiriwa tu aisee..
Lini MAASKOFU walisimama na kumkemea jiwe kwenye vizimba vya dini kama hivi?lisu alipopigwa Risasi ni askofu Gani alisimama kuinyooshe kidole serikali zaidi zaidi ya kuuma uma maneno??...na kwa kuongezea, muambie huyo mfia dini kwamba hao maaskofu kukemea uovu hawajaanza leo wakati wa Ustadhat, walifanya hivyo hata wakati wa mkatoliki Jiwe!.
Kinachomsumbua huyo mjinga ni udini tuu.
unaujua ukubwa wa serikali na nguvu zake? Serikali ikiamua kufanya mambo yake hufanya hakuna wa kuizuia ila wa kuikemea na kuitolea MATAMKO wapo na wataendelea kuikemea inapoonekana inafanya sivyoWana ushawishi kwa nani hawa wezi tuh??
MATAMKO yao juu ya DP World yamesaidia Nini?Serikali iliacha kuendelea na plan Ile eti kisa MAASKOFU hawataki?mbona wameendelea na wameufyata mkia?
MATAMKO yao juu ya vugu vugu la maasai ngorongoro yameishia wapi? serikali imerudi nyuma au imeendelea na plans zake,hao wapuuzi hakuna wa kumtishia nyau watambue.
Kelele walizopiga MAASKOFU mara ooh nchi imeuzwa,mara oooh waarabu wamepewa bandari na kadhalika,nani kawasikiliza hao wezi wenu??Yani serikali iache kufanya shughuli za maendeleo wawaogope wale wavaa magauni??Na hapo wewe ndie kwa hapo masjid kwenu.. ELIMU ELIMU ELIMU
Unayafumbia macho maovu kwa sababu aliyepo ni wa kwenuFriends and Our Enemies,
Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?
Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.
Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.
Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
MATAMKO yao wapeleke Vatican.unaujua ukubwa wa serikali na nguvu zake? Serikali ikiamua kufanya mambo yake hufanya hakuna wa kuizuia ila wa kuikemea na kuitolea MATAMKO wapo na wataendelea kuikemea inapoonekana inafanya sivyo
Pole sana maaskafu haswa wa katholic hawana uchawa na unafki, wanachosema ni ukweli always.Friends and Our Enemies,
Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?
Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.
Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.
Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Wewe ndie unasema,kumbe hao MAASKOFU kutwa kushinda kwenye vizimba vya kanisa kuleta fujo na taharuki nchini hapa kumbe kisa huyu mama siyo kondoo wao siyo??Unayafumbia macho maovu kwa sababu aliyepo ni wa kwenu