Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

MATAMKO yao wapeleke Vatican.

Sisi hatuna haja nayo,na waraka zao wakachambie mavi,sisi hatuna haja nazo...

Wakae wakitambua hizi siyo zama za kuungama kwa kanisa,tushatoka huko .
Vatican si cha serikali ya tz, matamko yanapelekea kwa muhusika na wahahusika period
No kufumbia macho upumbav
 
Pole sana maaskafu haswa wa katholic hawana uchawa na unafki, wanachosema ni ukweli always.
Isitoshe daily wanawachana waumini ukweli max pro iwe kanisani or jumuiya
Pole kama huwez ku take that, only waseminary wataelewa
Watawadanganya huko huko parokiani,sisi kwetu hao ni wahuni tuh kama wahuni wengine,

Mwanaume anakaa eti miaka na miaka bila kuoa kisha akili zake ziwe sawa?mwisho wake wanageuka kuwa machoko,hakuna mtu atakuwa na time nao,wanapoteza muda wao tuh.
 
Vatican si cha serikali ya tz, matamko yanapelekea kwa muhusika na wahahusika period
No kufumbia macho upumbav
Lengo lao limeshafahamika,hizo ni kelele za chura tuh,serikali inaendelea na kazi kama kawaida.
 
Kazi yetu ni kupambana na waizi wa Nchi kama ww
 
Sawa endeleeni kuua Wapinzani kwa raha zenu. Then mnywe kisusio cha damu zao kwa kutii kiu yenu.
 
Wewe ndie unasema,kumbe hao MAASKOFU kutwa kushinda kwenye vizimba vya kanisa kuleta fujo na taharuki nchini hapa kumbe kisa huyu mama siyo kondoo wao siyo??

Waambie hao nguchiro safari hii tutakula nao sahani moja.
Ule sahani moja na nani? Utaishia hapahapa kwenye keyboard
 
Mustakabali wa nchi ndiyo ataujuwa Padri Kitima? Mbona ya kwake yanamshinda!!

Aamue moja avue mavazi ya altareni kama Dr Slaa aje kwenye mapambano. Asitumie madhabahu kutetea itikadi yake kisiasa.

Nami pia ni MKATOLIKI kindakindaki na natoa zaka na sadaka kwa muujibu wa amri za kanisa. Nasali Parokia ya Msewe
 
Asante sana, MAASKOFU wavue magauni wavae magwanda....mbona simple tuuh.
 
Hayo ndo makosa yanayo endelea kufanywa na serikali ya nchi hii.
Katika nchi yenye mchanganyiko mkubwa wa kidini na kimadhehebu hutakiwi kurusuhu kivyovyote viongozi wa dini kupata ushawishi wa kisiasa.
 
Tatizo serikali inawalea sana hawa wapuuzi,kazi ya taasisi za kidini ni kulea watu kiroho na sio kutwa kurumbana na wana siasa.
 
TEC wamekuwa wakitoa waraka wa kukemea MAOVU ya serikali nyakati zote. Kukemea MAOVU ni wajibu wa Kila mwananchi mzalendo. WEZI siku zote hawapendi kuambiwa UKWELI.
 
Wewe kweli ni MJINGA na BUMUNDA,POPOMA MKUBWA.

Siku ikimwagika damu zaidi nchi ikawa kwenye machadfuko mtarudi kusema ,taasisi za dini KANISA limekaa kimyaa wakati viashiria vilipoanza.

Kanisa linakemea uvunjifu wa amani,udanganyifu kwenye uchaguzi,
Mauaji ya watu katika uchaguzi.

Siku akifa mamako au MUME WAKO ,ndiyo utaelewa maana ya matamko ya kanisa ya kuonya.

Wewe na SHOST wako Faiza Foxy,mnaaongozwa na UDINI,uislamu,kwa vile Rais ni muislamu,

Nakuambia siku mambo yakiharibika tunakufa wote, waislamu na wakristu!

Endelea kufurahia ujinga.Umewahi kujiuliza kwanini waislamu hawatoi matamko??

Wanaona hayawahusu yanayoendelea.

Siku itafika patakuwa hakuna mtu wa kutoa Tamko.
 
Bibilia inatutaka tusishuhudie uovu.Hivyo,Maaskofu wanakemea maovu Kwa watawala maana wakikaa kimya itaonekana wanaunga mkono maovu ya awamu hii ya sita inayoongoza Kwa ukatili
Mwambie ukweli huyu chawa hajielewi kabisa!
 
Umemaliza

TUNAWAUNGA MKONO HAWA WASOMI AMBAO WANASIMAMIA MASLAHI YA WATANZANIA. NI JUKUMU LAO KUKEMEA UOZO NA UHUNI WA SERIKALI BILA WOGA WALA KUPINDISHA MANENO. TAIFA LINATAKA WATU KAMA HAWA NA SIYO WALE WA UBWABWA NA NJAA WANAOHONGEKA.
Wasomi Gani?

We Toka lin msomi akapewa amri ya kutooa na yeye akakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…