Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Acha ujinga, tulimpiga Magufuli naye alikuwa ni muislamu?Wacha izo, ni vita dhidi ya dini tu hii
Acha ujinga, tulimpiga Magufuli naye alikuwa ni muislamu?Wacha izo, ni vita dhidi ya dini tu hii
Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka.
Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la sivyo kwenye machafuko hakuna mahubiri, kusanyiko na sadaka. Au nakosea?
Vitabu vyetu vya dini vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu. Hivyo, kazi ya maaskofu na Masheikh ni kuziombea mamlaka zidumu na zitende haki na kutimiza matakwa ya wanadamu na sio kuzikosoa. Mlifanya hivyo wakati wa serikali za wakoloni fanyeni hivyo hata Sasa, miliziombea serikali za wakoloni zidumu, ziombeeni serikali za Africa zidumu. Maana kazi yenu ni sadaka na kuomba Mungu ili mazuri yatokee na mabaya yatoweke kwenye jamii. Kukosoa Mamlaka ni kazi ya wabunge na bunge na wanasiasa.
Kukosoa mamlaka ni chanzo kikuu cha aibu na mateso kwa watu wa Mungu tangu kale. Au nakosea?
Usheikh na uaskofu haukupi kinga yoyote pale unapoingilia mamlaka tangu enzi za akina Herode, Farao, Kaiser na Sultan. au nakosea?
Kama mnaona Kuna jambo haliendi vizuri kwa watawala kazi yenu ni kuomba Mungu na kufunga ili Mungu afanye jambo mamlaka itende haki na wakati huohuo wanasiasa nao wanafanya hivyo kwa kuikosoa mamlaka.
Kifupi kazi yenu ni kurekebisha kwa maombi na kazi ya wanasiasa ni kurekebisha kwa kukosoa serikali. Vinginevyo vueni tasbihi na rozali muwe wanasiasa.
Watu wa dini katika historia hawajawahi kushinda dhidi ya mamlaka kakamavu. Bwana Yesu alisulubiwa na mamlaka sembuse Hawa wetuWewe dini huijui Bali unachojua ni kuchagua vifungu vinavyokufurahisha wewe na unavyowalamba!
Dini na washika dini wote daima walikuwa ama wapo kwenye migogoro na dola zinazopuuza na kunyanyasa raia!
Go read your Bible or Quran!
Sifa ya kwanza ya kutii Sheria ni kuwa wakweli,kumbe ukweli ndio Sheria ya kwanza kuliko zote na ninaamini viongozi wa dini wengi wanatekeleza ukweli huo ,ukiacha wale viongozi matapeli wanaoshiba kupitia siasa na kweli haipo ndani yao.Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka.
Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la sivyo kwenye machafuko hakuna mahubiri, kusanyiko na sadaka. Au nakosea?
Vitabu vyetu vya dini vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu. Hivyo, kazi ya maaskofu na Masheikh ni kuziombea mamlaka zidumu na zitende haki na kutimiza matakwa ya wanadamu na sio kuzikosoa. Mlifanya hivyo wakati wa serikali za wakoloni fanyeni hivyo hata Sasa, miliziombea serikali za wakoloni zidumu, ziombeeni serikali za Africa zidumu. Maana kazi yenu ni sadaka na kuomba Mungu ili mazuri yatokee na mabaya yatoweke kwenye jamii. Kukosoa Mamlaka ni kazi ya wabunge na bunge na wanasiasa.
Kukosoa mamlaka ni chanzo kikuu cha aibu na mateso kwa watu wa Mungu tangu kale. Au nakosea?
Usheikh na uaskofu haukupi kinga yoyote pale unapoingilia mamlaka tangu enzi za akina Herode, Farao, Kaiser na Sultan. au nakosea?
Kama mnaona Kuna jambo haliendi vizuri kwa watawala kazi yenu ni kuomba Mungu na kufunga ili Mungu afanye jambo mamlaka itende haki na wakati huohuo wanasiasa nao wanafanya hivyo kwa kuikosoa mamlaka.
Kifupi kazi yenu ni kurekebisha kwa maombi na kazi ya wanasiasa ni kurekebisha kwa kukosoa serikali. Vinginevyo vueni tasbihi na rozali muwe wanasiasa.
Sawa maaskofu hawana hiyo imani usemayo kuwalinda raia kwa maombi. Naama hawana imani,Sio Kila mtu anaetekwa, Kazi ya maaskofu ingekuwa kuwaombea wale wote wenye tabia na matendo yanayosababisha watekwe waokoke na kuacha tabia hizo kwa msaada wa mwenyezimungu. Huwezi kuzuia mwenye mke asimteke mgoni wake, aliedhulumiwa fedha zake asimteke aliyemdhulumu.
Askofu kukosoa wanasiasa ni dalili ya kuacha kumuamini Mungu tena kama anayo nguvu za kuwaadhibu watekaji na kubadilisha tabia za watekaji. Kazi yao imebakia kukusanya bahasha za mapesa kwenye jumuiya, madhabahuni, misibani, kwenye sherehe, kwenye ndoa, kwenye miradi, nk. Wanadhani hatujui?
Kama kwenye imani yako umejifunza hilo la Yesu kusulubiwa kwanini usishawishi serikali iwasurubishe haraka iwezekanavyo hao watumishi wa Mungu, ili tuendelee kuwa imara kiuchumi, kivita na kiintelenjensia?Watu wa dini katika historia hawajawahi kushinda dhidi ya mamlaka kakamavu. Bwana Yesu alisulubiwa na mamlaka sembuse Hawa wetu
Sasa mkuu kavuluta, hivi wew unadhani unaipenda serikali na rais SSH kuliko hao wanao hoji hayo?.Inamaana hiyo mistari haimo kwenye bibilia na msahafu? Wewe ni mwendawazimu usiyejua dini yako imekuamuru nini. Kama unataka kuhoji mamlaka vua kanzu na collar uwe mwanasisa, dini haina kichaka cha kujifichia na kutukana mamlaka, utachomelewa kwenye mimbari kama nguchilo kwenye shimo lake. Uliza wote waliowahi kufanya hivyo wakati wa akina sultan Balaghash, mfalme Kaiser, Herode, Nyerere, Magufuli, Mao, nk .
Mungu yupo na anazo nguvu nyingi sana, hivyo kuwaapisha kwa vitabu vya dini Kuna maana mbili; Mungu awape ulinzi, nguvu na hekima kwakuwa mamlaka imetoka kwako, pili ni kuwaita woga na hofu ya Mungu waapaji ili watende Yale yanayompendeza Mungu katika kuwahudumia raia.Sawa maaskofu hawana hiyo imani usemayo kuwalinda raia kwa maombi. Naama hawana imani,
Vipi serikali yenye jukumu hilo imeweza kuwalinda wanaanchi waliotekwa?.
Na kama hao maaskofu na mashehe wamekuwa si lolote yanini kuweka vitabu vya imani kuwaapisha hao viongoz waliowatakatifu kuliko hao watumishi wa Mungu?
Au kwanini mahakama (katiba) inawapisha mashahid mahakamani kwa hizo hizo imani zilipopungukiwa?
Hapo nmekupata,Mungu yupo na anazo nguvu nyingi sana, hivyo kuwaapisha kwa vitabu vya dini Kuna maana mbili; Mungu awape ulinzi, nguvu na hekima kwakuwa mamlaka imetoka kwako, pili ni kuwaita woga na hofu ya Mungu waapaji ili watende Yale yanayompendeza Mungu katika kuwahudumia raia.
Serikali Ina kazi kubwa na ngumu ya kulinda raia wake, kuwahudua kwa miundombinu, pembejeo, afya elimu , umeme, maji, nk. Sauti za huyooo huyooo mchinjeee mchinjeee kwa serikali ni sawa mtoto aliyebebwa mgongoni kung'ata meno mama yake mgongoni na shingoni; mama atafanya nn kwa jitoto lake hilo jehu?
Yesu anaendelea kuhubiriwa wakati huo akina Herode, Pilato na dola la warumi lishajifia!Watu wa dini katika historia hawajawahi kushinda dhidi ya mamlaka kakamavu. Bwana Yesu alisulubiwa na mamlaka sembuse Hawa wetu
Aaaah, kaka wamekufa hao wote. Hata bob Marley, mangwea, Nyerere, Haile Ras, Sembuli, Maladona bado wanavuma ingawa wamekufa. Mamlaka hazichezewi na watu wa dini kwakuwa historia yao sio nzuri, wanaishia kuitwa wafia dini na mashahidi tu mbele ya hukumu za mamlaka.Yesu anaendelea kuhubiriwa wakati huo akina Herode, Pilato na dola la warumi lishajifia!
Mtume Mohammed anaendelea kuheshimika wakati watesi wake washafutika kwenye historia!
Ushindi ni nini hasa??
Kifupi ni kwamba tawala dhalimu hazijawahi kushinda dhidi ya watu wa Mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema mwenye kurehemu!
AiseeeeeKazi ya kuhoji matendo ya mamlaka kwenye majukwaa ya wazi ni kazi ya wanasiasa tu baaasi! Bunge ndio chombo maalumu cha kusemea malalamiko yetu kwenda kwa mamlaka. Mfikishie mabunge wako hoja zako kuhusu mamlaka akusemee. Wewe unaweza tu kwenda kulalamikia mahakamani baasi. Mchungaji hawezi kutumia madhabahu kuhoji mamlaka zilizotoka kwa Mungu. Kazi ya Mungu haihojiwi.
Ni Serikali, bunge na mahakama, finito. Mengine yote kaa chonjo saa mbaya.Aiseeeee
Bado tuna safari ndefu sana kwenye ukombozi wa fikra
Maaskofu na masheikh (Ukiacha masheikh ubwabwa) kama ni raia kama raia wengine wanapaswa kuongea mawazo yao pia wakiwa madhabahuni. Wasikatazwe na huyo Samia na serikali yake ya mafisadi.Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka.
Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la sivyo kwenye machafuko hakuna mahubiri, kusanyiko na sadaka. Au nakosea?
Vitabu vyetu vya dini vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu. Hivyo, kazi ya maaskofu na Masheikh ni kuziombea mamlaka zidumu na zitende haki na kutimiza matakwa ya wanadamu na sio kuzikosoa. Mlifanya hivyo wakati wa serikali za wakoloni fanyeni hivyo hata Sasa, miliziombea serikali za wakoloni zidumu, ziombeeni serikali za Africa zidumu. Maana kazi yenu ni sadaka na kuomba Mungu ili mazuri yatokee na mabaya yatoweke kwenye jamii. Kukosoa Mamlaka ni kazi ya wabunge na bunge na wanasiasa.
Kukosoa mamlaka ni chanzo kikuu cha aibu na mateso kwa watu wa Mungu tangu kale. Au nakosea?
Usheikh na uaskofu haukupi kinga yoyote pale unapoingilia mamlaka tangu enzi za akina Herode, Farao, Kaiser na Sultan. au nakosea?
Kama mnaona Kuna jambo haliendi vizuri kwa watawala kazi yenu ni kuomba Mungu na kufunga ili Mungu afanye jambo mamlaka itende haki na wakati huohuo wanasiasa nao wanafanya hivyo kwa kuikosoa mamlaka.
Kifupi kazi yenu ni kurekebisha kwa maombi na kazi ya wanasiasa ni kurekebisha kwa kukosoa serikali. Vinginevyo vueni tasbihi na rozali muwe wanasiasa.
Kwa hiyo wewe unafahamu ibada za hizo dini kuliko viongozi wa hizo dini?Vitabu vyetu vya dini vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu. Hivyo, kazi ya maaskofu na Masheikh ni kuziombea mamlaka zidumu na zitende haki na kutimiza matakwa ya wanadamu na sio kuzikosoa.
Kwamba watawala waachwe tu, waendelee kuteka na kupoteza na kuua?Kukosoa mamlaka ni chanzo kikuu cha aibu na mateso kwa watu wa Mungu tangu kale. Au nakosea?
Shida yao ni kwamba mawazo yao wanataka yawe mawazo ya waumini wao pia. Hapa ndipo mateso yao yanapoanziaMaaskofu na masheikh (Ukiacha masheikh ubwabwa) kama ni raia kama raia wengine wanapaswa kuongea mawazo yao pia wakiwa madhabahuni. Wasikatazwe na huyo Samia na serikali yake ya mafisadi.
Malizana na hawa kwanzaNo reform no election
Kama tangu kale dini haijawahi kunyamaza dhidi ya uovu na Mungu hakuwahi kunyamaza basi hata sasa hakuna atakayemaza. Kazi ya viongozi wa dini ni kukemea uovu!Governor Twining alikuwa msafi kwa kiasi gani? Sultan Said Balaghash alikuwa msafi kiasi Gani? . Waliwakemea waache wizi wa rasilimali zetu?. Maaskofu na Masheikh hawakuwepo? Nani walimtesa Mtume Issa bin Mariam/Masià? Dini haijawahi kushinda dhidi ya mamlaka tangu kale.
Dini kazi yake ni kuomba kwa Mungu tu kisha kukusanya sadaka. Wameruhusiwa kukusanya sadaka (Kodi) hata baada ya waumini wao kulipa Kodi ya serikali. Yaani muumini analipa Kodi mara mbili. Washukuru kuruhusiwa kutoza Kodi na kuiita sadaka.