kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
- Thread starter
- #61
Orodha ya watu wa dini waliiopoteza shingo zao na wanasiasa ni ndefu sana. Wanaoitwa watakatifu wengi wao walikatwa shingo zao na wanasiasa kwa viherehere vyao. Serikali Ina kazi nyingi sana za wazi, kweli na halisi za kuhudumia majeshi, walimu, watu wa afya,, kusambaza maji, umeme na kulipa madeni ya ndani na nje. Akitoa mtu anapiga kelele za eti kaoteahwa na Mungu anaikemea serikali lazima atakutana na hamaki na hasira za serikali.Kama tangu kale dini haijawahi kunyamaza dhidi ya uovu na Mungu hakuwahi kunyamaza basi hata sasa hakuna atakayemaza. Kazi ya viongozi wa dini ni kukemea uovu!
He who stands for nothing can fall for anything. Punguza cowardnes mjinga wewe
Dini sio vitu halisi visivyopimika Wala uhakikisho wa Moja kwa moja. Ndio maana waskristo, waislam, wahindu, na wapagani wote wanaishi, wana afya, wanaugua, wanzaa, ni maskini, ni matajiri na wanakufa, no safe zone kwa mweni dini na asiyekuwa na dini. Ni social construction tu, hivyo usilete ngebe kwa mwamvuli wa dini.