Orodha ya watu wa dini waliiopoteza shingo zao na wanasiasa ni ndefu sana. Wanaoitwa watakatifu wengi wao walikatwa shingo zao na wanasiasa kwa viherehere vyao. Serikali Ina kazi nyingi sana za wazi, kweli na halisi za kuhudumia majeshi, walimu, watu wa afya,, kusambaza maji, umeme na kulipa madeni ya ndani na nje. Akitoa mtu anapiga kelele za eti kaoteahwa na Mungu anaikemea serikali lazima atakutana na hamaki na hasira za serikali.Kama tangu kale dini haijawahi kunyamaza dhidi ya uovu na Mungu hakuwahi kunyamaza basi hata sasa hakuna atakayemaza. Kazi ya viongozi wa dini ni kukemea uovu!
He who stands for nothing can fall for anything. Punguza cowardnes mjinga wewe
No reform no election
No Reform No ElectionDini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka.
Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la sivyo kwenye machafuko hakuna mahubiri, kusanyiko na sadaka. Au nakosea?
Vitabu vyetu vya dini vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu. Hivyo, kazi ya maaskofu na Masheikh ni kuziombea mamlaka zidumu na zitende haki na kutimiza matakwa ya wanadamu na sio kuzikosoa. Mlifanya hivyo wakati wa serikali za wakoloni fanyeni hivyo hata Sasa, miliziombea serikali za wakoloni zidumu, ziombeeni serikali za Africa zidumu. Maana kazi yenu ni sadaka na kuomba Mungu ili mazuri yatokee na mabaya yatoweke kwenye jamii. Kukosoa Mamlaka ni kazi ya wabunge na bunge na wanasiasa.
Kukosoa mamlaka ni chanzo kikuu cha aibu na mateso kwa watu wa Mungu tangu kale. Au nakosea?
Usheikh na uaskofu haukupi kinga yoyote pale unapoingilia mamlaka tangu enzi za akina Herode, Farao, Kaiser na Sultan. au nakosea?
Kama mnaona Kuna jambo haliendi vizuri kwa watawala kazi yenu ni kuomba Mungu na kufunga ili Mungu afanye jambo mamlaka itende haki na wakati huohuo wanasiasa nao wanafanya hivyo kwa kuikosoa mamlaka.
Kifupi kazi yenu ni kurekebisha kwa maombi na kazi ya wanasiasa ni kurekebisha kwa kukosoa serikali. Vinginevyo vueni tasbihi na rozali muwe wanasiasa.
Kazi ya Wahubiri ni kukemea maovu kama utekaji na Rushwa pamoja na matumizi mabaya ya madaraka.Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka.
Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la sivyo kwenye machafuko hakuna mahubiri, kusanyiko na sadaka. Au nakosea?
Vitabu vyetu vya dini vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu. Hivyo, kazi ya maaskofu na Masheikh ni kuziombea mamlaka zidumu na zitende haki na kutimiza matakwa ya wanadamu na sio kuzikosoa. Mlifanya hivyo wakati wa serikali za wakoloni fanyeni hivyo hata Sasa, miliziombea serikali za wakoloni zidumu, ziombeeni serikali za Africa zidumu. Maana kazi yenu ni sadaka na kuomba Mungu ili mazuri yatokee na mabaya yatoweke kwenye jamii. Kukosoa Mamlaka ni kazi ya wabunge na bunge na wanasiasa.
Kukosoa mamlaka ni chanzo kikuu cha aibu na mateso kwa watu wa Mungu tangu kale. Au nakosea?
Usheikh na uaskofu haukupi kinga yoyote pale unapoingilia mamlaka tangu enzi za akina Herode, Farao, Kaiser na Sultan. au nakosea?
Kama mnaona Kuna jambo haliendi vizuri kwa watawala kazi yenu ni kuomba Mungu na kufunga ili Mungu afanye jambo mamlaka itende haki na wakati huohuo wanasiasa nao wanafanya hivyo kwa kuikosoa mamlaka.
Kifupi kazi yenu ni kurekebisha kwa maombi na kazi ya wanasiasa ni kurekebisha kwa kukosoa serikali. Vinginevyo vueni tasbihi na rozali muwe wanasiasa.
Na ndiyo maana Biblia inakataa Wanawake kupewa madaraka kwa sababu ya mawazo kama yako.Sio Kila mtu anaetekwa, Kazi ya maaskofu ingekuwa kuwaombea wale wote wenye tabia na matendo yanayosababisha watekwe waokoke na kuacha tabia hizo kwa msaada wa mwenyezimungu. Huwezi kuzuia mwenye mke asimteke mgoni wake, aliedhulumiwa fedha zake asimteke aliyemdhulumu.
Askofu kukosoa wanasiasa ni dalili ya kuacha kumuamini Mungu tena kama anayo nguvu za kuwaadhibu watekaji na kubadilisha tabia za watekaji. Kazi yao imebakia kukusanya bahasha za mapesa kwenye jumuiya, madhabahuni, misibani, kwenye sherehe, kwenye ndoa, kwenye miradi, nk. Wanadhani hatujui?
Kazi ya kuondoa maovu ndani ya jamii ni kazi ya dola na vyombo vyake vya ulinzi na usalama. Kazi ya dini ni kuomba Mungu na kukusanya sadaka tu. Mtu anaejisaidia haja kubwa na ndogo kama mwingine hawezi kuwa na hadhi ya kukemea maovu kwa niaba yenu. Kazi ya kuomba Mungu ni kazi ya mtu binafsi kwa Mungu wake.Kazi ya Wahubiri ni kukemea maovu kama utekaji na Rushwa pamoja na matumizi mabaya ya madaraka.
Mbona hawakemei uzinzi na ulawiti miongoni mwa maaskofu na Masheikh? Hujui kama Kuna viongozi wa dini ni mashoga na wanatetea ushoga? Hujui kama kesi za watu wa dini wanaowalawiti watoto ndani ya nyumba za ibada ni kubwa sana, hujui kama wachungaji wanatembea na waumini wao? Kwanini wasikemee hayo kwanza?Kazi ya Wahubiri ni kukemea maovu kama utekaji na Rushwa pamoja na matumizi mabaya ya madaraka.
Hakuna mahali popote dola iliweza kuondoa uovu bali dola hutengeneza na kuongeza maovu ili ipate hela.Kazi ya kuondoa maovu ndani ya jamii ni kazi ya dola na vyombo vyake vya ulinzi na usalama. Kazi ya dini ni kuomba Mungu na kukusanya sadaka tu. Mtu anaejisaidia haja kubwa na ndogo kama mwingine hawezi kuwa na hadhi ya kukemea maovu kwa niaba yenu. Kazi ya kuomba Mungu ni kazi ya mtu binafsi kwa Mungu wake.
No Reform No ElectionNo reforms no erection
Privacy za watu huwa hatuziingilia.Mbona ninyi mnafira watu kwa kisingizio cha kukomesha uhalifu.Na mtu yeyote mfiraji ni shoga kwa hiyo jeshi letu la polisi lina mashoga wengi.Mbona hawakemei uzinzi na ulawiti miongoni mwa maaskofu na Masheikh? Hujui kama Kuna viongozi wa dini ni mashoga na wanatetea ushoga? Hujui kama kesi za watu wa dini wanaowalawiti watoto ndani ya nyumba za ibada ni kubwa sana, hujui kama wachungaji wanatembea na waumini wao? Kwanini wasikemee hayo kwanza?
Msingi mkuu wa dini ni kukusanya sadaka kwa Kila muumini wote bila kujali jinsia, kipato Wala hali ya afya yake. Hata kwenye msiba jamaa wanapitisha kapu. Nadhani jengo halifanyi makosa ila wanaosali ndani ya jengo ndio wanaokosea na kukiuka maagano kati ya serikali na msajiri/serikali. Hata dereva wa daladala akifanya makosa ya barabarani namba ya gari ndiyo lilihusika ndio inayonakiriwa na kupewa adhabu na hata abiria wanaweza kushushwa watafute usafiri mwingine na dereva anaulizwa leaeni yake, na Kuna wakati gari linapelekwa polisi na kuwa wakati dereva na gari wanafungiwa wote.Hakuna mahali popote dola iliweza kuondoa uovu bali dola hutengeneza na kuongeza maovu ili ipate hela.
Watumwa bahati mbaya walikosa hata nafasi ya kuomba mbele ya mabwanyenye wa kikoloni,sasa hao unataka waukubali utwamwa halafu iweje?Dini sio mhimili miongoni mwa mihimili kwenye taifa. Kazi kubwa kupita zote za dini ni kukusanya sadaka na kazi nyingine zitafuatia tu. Hakuna tukio Wala kusanyiko la dini lisilokuwa na utoaji sadaka.
Ili dini ziwe imara lazima usalama, utulivu na hali ya uchumi wa waumini viwe imara pia, la sivyo kwenye machafuko hakuna mahubiri, kusanyiko na sadaka. Au nakosea?
Vitabu vyetu vya dini vinasema tiini mamlaka na mamlaka zinatoka kwa Mungu. Hivyo, kazi ya maaskofu na Masheikh ni kuziombea mamlaka zidumu na zitende haki na kutimiza matakwa ya wanadamu na sio kuzikosoa. Mlifanya hivyo wakati wa serikali za wakoloni fanyeni hivyo hata Sasa, miliziombea serikali za wakoloni zidumu, ziombeeni serikali za Africa zidumu. Maana kazi yenu ni sadaka na kuomba Mungu ili mazuri yatokee na mabaya yatoweke kwenye jamii. Kukosoa Mamlaka ni kazi ya wabunge na bunge na wanasiasa.
Kukosoa mamlaka ni chanzo kikuu cha aibu na mateso kwa watu wa Mungu tangu kale. Au nakosea?
Usheikh na uaskofu haukupi kinga yoyote pale unapoingilia mamlaka tangu enzi za akina Herode, Farao, Kaiser na Sultan. au nakosea?
Kama mnaona Kuna jambo haliendi vizuri kwa watawala kazi yenu ni kuomba Mungu na kufunga ili Mungu afanye jambo mamlaka itende haki na wakati huohuo wanasiasa nao wanafanya hivyo kwa kuikosoa mamlaka.
Kifupi kazi yenu ni kurekebisha kwa maombi na kazi ya wanasiasa ni kurekebisha kwa kukosoa serikali. Vinginevyo vueni tasbihi na rozali muwe wanasiasa.
Kavulata kamekutwaamoo.
Mungu ametuumba ili tumjue,tumpende,tumtumikie na baadaye tufike mbinguni.Msingi mkuu wa dini ni kukusanya sadaka kwa Kila muumini wote bila kujali jinsia, kipato Wala hali ya afya yake. Hata kwenye msiba jamaa wanapitisha kapu. Nadhani jengo halifanyi makosa ila wanaosali ndani ya jengo ndio wanaokosea na kukiuka maagano kati ya serikali na msajiri/serikali. Hata dereva wa daladala akifanya makosa ya barabarani namba ya gari ndiyo lilihusika ndio inayonakiriwa na kupewa adhabu na hata abiria wanaweza kushushwa watafute usafiri mwingine na dereva anaulizwa leaeni yake, na Kuna wakati gari linapelekwa polisi na kuwa wakati dereva na gari wanafungiwa wote.
Akili Yako iongezee uwezo kwa kupunguza ugali Kila siku.