kweli mtaji wa CCM ni aina hii ya MALOFA waliojazana Tanzania!Tz imejaa mamtu mapuuzi sana, imagine huyu hafurahishwi na Kanisa kupiginia haki ya kuishi

Huna haja ya kuaga we hama tu.Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua kuegemea waziwazi sera za chama cha chadema ambacho kjna aamini ushoga ni sehemu ya haki ya Mtanzania.
IKumbukwe kuwa kuwa padre ama askofu hakumfanyi kuwa na mamlaka ya kufanyachochote juu ya waumini hata kama ni jambo la hovyo hiyo haikubaliki, inafikia viongozi wa dini tunaowaamini wanatukana kwenye madhabahu kwa hilo ningependa Serikali iwakamate na kuwafungulia mashitaka haoviongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya kwani wao viongozi wa dini wanaendesha shughuli za dini kwa kufuata misingi ya sheria za nchi kama wananchi wwngine.
Kwakuwa hawa viongozi wa dini wameamua kushuapaza shingo zao kama twiga nafikiria kuhama kanisa hilo na kuwaacha wale wanaofurahishwa na mafusi ya hao viongozi wa dini wasioitakia amani nchi yetu.
Na kuanzia leo sitotoa sadaka na michango yoyote kwa kanisa katoliki mpaka pale watakapofanya vitubio
Wamepotoka kukemea ukosefu wa haki,kuteka na kuua,chaguzi za hovyo,uuaji wa waandamanji.Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua kuegemea waziwazi sera za chama cha chadema ambacho kjna aamini ushoga ni sehemu ya haki ya Mtanzania.
IKumbukwe kuwa kuwa padre ama askofu hakumfanyi kuwa na mamlaka ya kufanyachochote juu ya waumini hata kama ni jambo la hovyo hiyo haikubaliki, inafikia viongozi wa dini tunaowaamini wanatukana kwenye madhabahu kwa hilo ningependa Serikali iwakamate na kuwafungulia mashitaka haoviongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya kwani wao viongozi wa dini wanaendesha shughuli za dini kwa kufuata misingi ya sheria za nchi kama wananchi wwngine.
Kwakuwa hawa viongozi wa dini wameamua kushuapaza shingo zao kama twiga nafikiria kuhama kanisa hilo na kuwaacha wale wanaofurahishwa na mafusi ya hao viongozi wa dini wasioitakia amani nchi yetu.
Na kuanzia leo sitotoa sadaka na michango yoyote kwa kanisa katoliki mpaka pale watakapofanya vitubio
Lofa on the beat 😂😂Mmeitwa au mmelazimishwa? Si mkasali lumumba ya nini kujichosha?
Malofa yanatapatapa na hapo ni mvaa ushungi ila akili yake yote inamuwaza Askofu 😹😹😹Lofa on the beat 😂😂
Unaonaje ukawafuata hao maaskofu ofisini kwao uwambie.Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua kuegemea waziwazi sera za chama cha chadema ambacho kjna aamini ushoga ni sehemu ya haki ya Mtanzania.
IKumbukwe kuwa kuwa padre ama askofu hakumfanyi kuwa na mamlaka ya kufanyachochote juu ya waumini hata kama ni jambo la hovyo hiyo haikubaliki, inafikia viongozi wa dini tunaowaamini wanatukana kwenye madhabahu kwa hilo ningependa Serikali iwakamate na kuwafungulia mashitaka haoviongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya kwani wao viongozi wa dini wanaendesha shughuli za dini kwa kufuata misingi ya sheria za nchi kama wananchi wwngine.
Kwakuwa hawa viongozi wa dini wameamua kushuapaza shingo zao kama twiga nafikiria kuhama kanisa hilo na kuwaacha wale wanaofurahishwa na mafusi ya hao viongozi wa dini wasioitakia amani nchi yetu.
Na kuanzia leo sitotoa sadaka na michango yoyote kwa kanisa katoliki mpaka pale watakapofanya vitubio
Ndugu yangu phd inajibiwa na phd. Kitima hana tu phd ana phd ya sheria. Kama wewe una phd ya sheria mjibu kitima kwa hoja. Nenda kahame nenda kwa mwamposa ambako mnasali kwenye mahema wakati nabii ana hoteli mbeya. Katoliki lina mashule hospitali na vyuo wakati nabii hata zahanati hana.Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua kuegemea waziwazi sera za chama cha chadema ambacho kjna aamini ushoga ni sehemu ya haki ya Mtanzania.
IKumbukwe kuwa kuwa padre ama askofu hakumfanyi kuwa na mamlaka ya kufanyachochote juu ya waumini hata kama ni jambo la hovyo hiyo haikubaliki, inafikia viongozi wa dini tunaowaamini wanatukana kwenye madhabahu kwa hilo ningependa Serikali iwakamate na kuwafungulia mashitaka haoviongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya kwani wao viongozi wa dini wanaendesha shughuli za dini kwa kufuata misingi ya sheria za nchi kama wananchi wwngine.
Kwakuwa hawa viongozi wa dini wameamua kushuapaza shingo zao kama twiga nafikiria kuhama kanisa hilo na kuwaacha wale wanaofurahishwa na mafusi ya hao viongozi wa dini wasioitakia amani nchi yetu.
Na kuanzia leo sitotoa sadaka na michango yoyote kwa kanisa katoliki mpaka pale watakapofanya vitubio
Sentensi yako ya mwisho imekuumbua!Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua kuegemea waziwazi sera za chama cha chadema ambacho kjna aamini ushoga ni sehemu ya haki ya Mtanzania.
IKumbukwe kuwa kuwa padre ama askofu hakumfanyi kuwa na mamlaka ya kufanyachochote juu ya waumini hata kama ni jambo la hovyo hiyo haikubaliki, inafikia viongozi wa dini tunaowaamini wanatukana kwenye madhabahu kwa hilo ningependa Serikali iwakamate na kuwafungulia mashitaka haoviongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya kwani wao viongozi wa dini wanaendesha shughuli za dini kwa kufuata misingi ya sheria za nchi kama wananchi wwngine.
Kwakuwa hawa viongozi wa dini wameamua kushuapaza shingo zao kama twiga nafikiria kuhama kanisa hilo na kuwaacha wale wanaofurahishwa na mafusi ya hao viongozi wa dini wasioitakia amani nchi yetu.
Na kuanzia leo sitotoa sadaka na michango yoyote kwa kanisa katoliki mpaka pale watakapofanya vitubio
Huyu ambacho hajui na huyu aliyemtuma hajui ni kwamba Roman sio kanisa la jana au juzi(lipo toka enzi)Sentensi yako ya mwisho imekuumbua!
Wewe ni muislam!
Wakatoliki hawaachi kutoa sadaka kwa sababu ya kiongozi wa dini!
Kwao sadaka ni ya kuteketezwa!
Pili Kumbuka kupitia miradi yake kila Jimbo linap uwezo wa kujiendesha kwa miaka zaidi ya mitano!
Swali la kizushi, Usipotoa sadaka wewe SAUT itakufa?, Bugando je?
Wakatoliki hawaitegemei waumini kununua luku na kulipia bili za maji ya kutawadha
Ngoja tuwashutaki kwa papa hawa viongozi wanaotukana madhabahuni
Wewe Abduli SSH rudisha miili ya watu uliyowaua.Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua kuegemea waziwazi sera za chama cha chadema ambacho kjna aamini ushoga ni sehemu ya haki ya Mtanzania.
IKumbukwe kuwa kuwa padre ama askofu hakumfanyi kuwa na mamlaka ya kufanyachochote juu ya waumini hata kama ni jambo la hovyo hiyo haikubaliki, inafikia viongozi wa dini tunaowaamini wanatukana kwenye madhabahu kwa hilo ningependa Serikali iwakamate na kuwafungulia mashitaka haoviongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya kwani wao viongozi wa dini wanaendesha shughuli za dini kwa kufuata misingi ya sheria za nchi kama wananchi wwngine.
Kwakuwa hawa viongozi wa dini wameamua kushuapaza shingo zao kama twiga nafikiria kuhama kanisa hilo na kuwaacha wale wanaofurahishwa na mafusi ya hao viongozi wa dini wasioitakia amani nchi yetu.
Na kuanzia leo sitotoa sadaka na michango yoyote kwa kanisa katoliki mpaka pale watakapofanya vitubio
Unasubiri Nini si uhameNafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua kuegemea waziwazi sera za chama cha chadema ambacho kjna aamini ushoga ni sehemu ya haki ya Mtanzania.
IKumbukwe kuwa kuwa padre ama askofu hakumfanyi kuwa na mamlaka ya kufanyachochote juu ya waumini hata kama ni jambo la hovyo hiyo haikubaliki, inafikia viongozi wa dini tunaowaamini wanatukana kwenye madhabahu kwa hilo ningependa Serikali iwakamate na kuwafungulia mashitaka haoviongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya kwani wao viongozi wa dini wanaendesha shughuli za dini kwa kufuata misingi ya sheria za nchi kama wananchi wwngine.
Kwakuwa hawa viongozi wa dini wameamua kushuapaza shingo zao kama twiga nafikiria kuhama kanisa hilo na kuwaacha wale wanaofurahishwa na mafusi ya hao viongozi wa dini wasioitakia amani nchi yetu.
Na kuanzia leo sitotoa sadaka na michango yoyote kwa kanisa katoliki mpaka pale watakapofanya vitubio
Watumishi wa Mungu yupi hawa wanaotukuna kwenye mabahu takatifu ndo uwaite watumishi wa Mungu aliyehai ? Kwa hawa watumishi wanaotukana tena madhabahuni hawafai kuitwa watumishi wa Mungu tena laani za dunia hii ziwe juu yaoIbilisi na shetani mkubwa we, acha kungananga watumishi wa Mungu
Vipi kuhusu watumishi wa Mungu wanaotishia kukata watu vichwa na kukiwasha, hao hawastahili kulaaniwa?Watumishi wa Mungu yupi hawa wanaotukuna kwenye mabahu takatifu ndo uwaite watumishi wa Mungu aliyehai ? Kwa hawa watumishi wanaotukana tena madhabahuni hawafai kuitwa watumishi wa Mungu tena laani za dunia hii ziwe juu yao