Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,705
- 5,540
Bangi hizi duh
Je msamaha wanauomba kwa wale chinja chinja watekaji au kwa mkuu wao?Kwani inawezekana umewaacha njia panda,hata kama kwako wasaidie wajue!Nafikiri kuhama dhehebu toka katoliki na kwenda kwenye madhebu mengine kwasasabu kanisa katoliki kwasasa limeonesha kuacha mafundisho yake na kuhamia mafundisho ya kupinga amani ambayo kwasisi Wakristo tunaaamini ni moja ya nguzo kuu ya imani .
Lakini kwa hivi sasa kanisa limejipambanua kuegemea waziwazi sera za chama cha chadema ambacho kjna aamini ushoga ni sehemu ya haki ya Mtanzania.
IKumbukwe kuwa kuwa padre ama askofu hakumfanyi kuwa na mamlaka ya kufanyachochote juu ya waumini hata kama ni jambo la hovyo hiyo haikubaliki, inafikia viongozi wa dini tunaowaamini wanatukana kwenye madhabahu kwa hilo ningependa Serikali iwakamate na kuwafungulia mashitaka haoviongozi wanaotumia mamlaka yao vibaya kwani wao viongozi wa dini wanaendesha shughuli za dini kwa kufuata misingi ya sheria za nchi kama wananchi wwngine.
Kwakuwa hawa viongozi wa dini wameamua kushuapaza shingo zao kama twiga nafikiria kuhama kanisa hilo na kuwaacha wale wanaofurahishwa na mafusi ya hao viongozi wa dini wasioitakia amani nchi yetu.
Na kuanzia leo sitotoa sadaka na michango yoyote kwa kanisa katoliki mpaka pale watakapofanya vitubio
Wawaombe watanzaniaJe msamaha wanauomba kwa wale chinja chinja watekaji au kwa mkuu wao?Kwani inawezekana umewaacha njia panda,hata kama kwako wasaidie wajue!
Nyinyi vitoto vya 2000s hamjui dini wala hamna heshima tena heshima yenu ni ya kuungaunga na ya kufuata mkumboSasa buku yako unayotoa ndo utishe kanisa?
Kwan wangapi wamehama na kanisa bado lipo?
Jtahd kutumia akili zako vzr
Kwahy hizi ndo akili unazozitegemea kuendeshea familia yako?🤔🤔Nyinyi vitoto vya 2000s hamjui dini wala hamna heshima tena heshima yenu ni ya kuungaunga na ya kufuata mkumbo