Maaskofu nyinyi sio Mungu wetu, Ukweli usemwe mmepotoka tokeni hadharani ombeni msamaha!

Je msamaha wanauomba kwa wale chinja chinja watekaji au kwa mkuu wao?Kwani inawezekana umewaacha njia panda,hata kama kwako wasaidie wajue!
 
Zile ni hasira tu wameshatubu kwa kauli zao natumai Mungu atawasamehe
Je msamaha wanauomba kwa wale chinja chinja watekaji au kwa mkuu wao?Kwani inawezekana umewaacha njia panda,hata kama kwako wasaidie wajue!
Wawaombe watanzania
 
Sasa buku yako unayotoa ndo utishe kanisa?
Kwan wangapi wamehama na kanisa bado lipo?
Jtahd kutumia akili zako vzr
 
Sasa buku yako unayotoa ndo utishe kanisa?
Kwan wangapi wamehama na kanisa bado lipo?
Jtahd kutumia akili zako vzr
Nyinyi vitoto vya 2000s hamjui dini wala hamna heshima tena heshima yenu ni ya kuungaunga na ya kufuata mkumbo
 
Unasubiri nini Umbwa wewe?

Hama haraka sana, tena kumpoteza muumini mpuuzi kama wewe ambaye unakumbatia na kuwatetea wauaji ni jambo jema sana kwa kanisa letu.

Wewe nenda kwa Arise and Shine au uanze kwenda Mskitini kabisa ubadilishe na jina ujiite Habiba au Amina ukaungane na wale mashekh waliahidi kukata watu vichwa, maana huko ndio panakufaa zaidi watu kama wewe
 
Nyinyi vitoto vya 2000s hamjui dini wala hamna heshima tena heshima yenu ni ya kuungaunga na ya kufuata mkumbo
Kwahy hizi ndo akili unazozitegemea kuendeshea familia yako?🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…