Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Waliosema yamerekebishwa ndo maana wamehudhuria ikiwemo miaka na uwajibikaji ulitaka mikataba ifutwe upate faida gani?
 
Hakuna tunda la Roho linaitwa fitina. Kama wamejiridhisha kuwa changamoto zao zimefanyiwa kazi yanini kuwa na roho ya kukwamisha
Lakini kwenye waraka wao walikuwa hawakubaliani na uwekezaji kabisa bali walisema wanaamini kuwa watz wanauwezo wa kuendesha bandari wenyewe.
 
Mbona wa bongo tunauweza sana uchonganishi,fitina na majungu.siri ni ipi iliyofichika katika hili,wewe unaonaje iwapo wameshiriki,je hujasikia kama hakuna maoni ya yeyote yaliyopuuzwa.Je pia hujasikia kama upo ufafanuzi wa maswali magumu yaliyoulizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…