Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Bila shaka, marekebisho yamefanyika,ndomaana unaona mambo ya mkataba wa miaka 100,yamekua miaka 30,bandari zote,imekua baadhi ya ghati n.k.
msibadili gia angani

TEC ilitamka wazi haitaki uwekezaji Bandari

angalau Chadema wao walipinga vipengele vya Mkataba, TEC wao hawakutaka Muarabu apewe Bandari na hilo walitamka wazi mchana kweupe
 
Sio TEC tu hata mimi mkataba wa DP WORLD wa zamani sikuupenda. Ila huu wa sasa sioni shida Mbona mzuri tu. Ala hata Rais wetu Samia ameusoma na kurekebisha, watu wengi ham Fahamu Dr Samia ni msikivu na anawapenda watanzania wote
 
Duh TEC, KKKT na Bakwata waliwekwa meza moja wakishuhudia utiaji saini wa Mikataba ya DP World

kuna watu waliamini vikundi vyao vya kidini vinaweza kuilazimisha Serikali

nadhan safari ijayo watadhibiti mihemko kabla ya kuendeshwa na wapiga dili kutoa Waraka
 
Katika hili la bandari TEC wakubali kuchutama,
Wasiingie kichwa kichwa tena kwenye masuala ya siasa, mnaishia kujiaibisha mwishoni kama hivi, mnasemwa mpaka na Mrisho Mpoto 💔

Wacheze kwa step za uangalifu zaidi
Tena na Kanzu zile vipedo😁
 
acha ubishi

kuruhusu Wanasiasa na wamiliki wa ICD kukodisha TEC kwny vita ya kupinga uwekezaji Bandari lilikuwa kosa kubwa kama lile la kuruhusu Benki ya kanisa kupitisha miamala ya Escrow 2014

Ujinga ujinga huu wa kupelekwa pelekwa ndio ulisababsha kanisa katoliki kuratibu mauaji ya Kimbari ya Rwanda 1994 na pia kushiriki kwny udhalimu waliofanyiwa wayahudi na Adolf Hitle 1939-1945

sio kila kinachofanywa na TEC ndio msimamo wa dini, hilo ni Baraza tu na wakati mwingine husukumwa kwa njia mbalimbali zenye .maslahi binafsi na njia ya kusaidia ni kuwapinga wanapokosea na mkikubali kuendelea kuwa Makondoo mtalishushia umaarufu sana kama lilivyoshuka huko Ulaya ukilinganisha na miaka ya nyuma
 
Basi tunampongeza Rais Samia kuheshimu maoni ya Kanisa na tunalipongeza kanisa kuridhia Uwekezaji Bandarini
Sio CATHOLIC NNALOJIWA MIMI! ITALY WAS SO RUDE,😁ILA WALIVAA SHANGA SIKU MOJA! TODATE VATICAN NDO HQ YA WAROMA! HAPA ATA PAEDI ZA WANAWAKE NI KWA HISANI YA WATU WA marekani!! Dubai wamewatemesha ! Mme wainamia😁Kanisa lipo na lilikuwepo na litakuwepo!! Rais wenu Akuna anejuwa Kesho kama saa hizi atakuwa wapi-NASADIKI KANISA KATOLIKI LA ROMA🙏
 
Sio TEC tu hata mimi mkataba wa DP WORLD wa zamani sikuupenda. Ila huu wa sasa sioni shida Mbona mzuri tu. Ala hata Rais wetu Samia ameusoma na kurekebisha, watu wengi ham Fahamu Dr Samia ni msikivu na anawapenda watanzania wote
TEC sambamba na Viongozi wengine wa kidini waliomba appointment kwa Rais na Rais akawakubalia na wakapeleka maoni yao na Rais akapokea tena mbele ya Kamati ya kupokea maoni ya marekebisho

wenzao wote wakiwemo KKKT wakaipa muda Serikali ifanyie kazi maoni waliyopeleka

wao kilichowafanya walete vitisho kilikuwa kitu gani?

zama zimebadilika sana lazima watu wajue
 
Kanisa KATOLIKI! Kama Makonda alikuwa Padre! Ata kama alikuwa anafufuwa wafu! Asingerudi Kundini!! Uwa tunamwomba MUNGU WETU atuletee mwingine😁Hilo ndo Kanisa. DP world !! Ni angamizo kwa CCM na ni Chukizo!! Paka rangi Sifia!! Ila kama ni Mauti ni Mauti tu! Kifo ni kifo ata kama jeneza lenu ni la dhahabu
 
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
 
Sio TEC tu hata mimi mkataba wa DP WORLD wa zamani sikuupenda. Ila huu wa sasa sioni shida Mbona mzuri tu. Ala hata Rais wetu Samia ameusoma na kurekebisha, watu wengi ham Fahamu Dr Samia ni msikivu na anawapenda watanzania wote
Alichopokea labda kina msuta! Ale tu hela zao! Ila CCM yake aina Mwisho mzuri! Tusisifie eti tu CCM! Tumia akili Sio Matako😃na sio Ushabiki,CCM 2o25 Aipo sawa kwenu
 
kwani kuna mtu kakwambia alikuwa anapinga Kanisa?

tulipinga tabia ya kikundi kimoja kwny Jamii kujipa Mamlaka ya kujifanya ndio Katibu Mwenezi wa Watanzania

unajikusanya kusanya unakuja kusema Watanzania sijui hawataki hiki sijui wanataka kile …umepata wapi Mamlaka ya kuwa .msemaji wa Watanzania, kama kuna ulazima sema kwa niaba ya kikundi chako

hili neno ' kwa niaba' limekuwa linatumika tumika tu bila ya uthibitisho

kuna siku nami ntakuja na msimamo kwa niaba ya wana Jf
 
Wewe umeiona na kuusoma?? Usilete Ushabiki! Huyu mama ni mzanzibar ! Atatuachia masala sisi tutabaki mwenyewe! Yeye kabaki na Madorali$huko kwake Kazimkazi
 
Hongera Rais Samia kwa kuwa Raia Msikivu kama ulivyoaahidi

toeni basi Waraka wa kujulisha Wafuasi wenu kuwa Rais kasikiliza madai yenu
 
Hongera Rais Samia kwa kuwa Raia Msikivu kama ulivyoaahidi

toeni basi Waraka wa kujulisha Wafuasi wenu kuwa Rais kasikiliza madai yenu
 

Attachments

  • 20231022_164223.jpg
    9.8 KB · Views: 2
msibadili gia angani

TEC ilitamka wazi haitaki uwekezaji Bandari

angalau Chadema wao walipinga vipengele vya Mkataba, TEC wao hawakutaka Muarabu apewe Bandari na hilo walitamka wazi mchana kweupe
Inajua wamewasilianaje hadi yule askofu Liberatus Sangu akawa kwenye hafla?
Kuna majadiliano ambayo yamefanyika ambayo wewe layman huwezi kujua.Unadhani mama alienda kuonana na baadhi ya maaskofu burebure tu... hata kabla hajapitia kwa Cardinal mpya...?
Think big,to be the greatest.
 

MCHAWI MPE MWANAO AKULELE
 
KATOLIKI awanaga unafiki! Wakishasema WAMESEMA! UKIJA KIVYAKO WATAKUITIKIA ILA AWAABATIKISHI KAULI YAO- HAO NDO WAKATOLIKI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…