Kwaiyo mimi ni Mwanachama wa CCM? Kwann wew huamini matendo juhudi za Raisi wako?.usitulazishe wote kuwa wanachama.wengine hatuna chama wala diniAlichopokea labda kina msuta! Ale tu hela zao! Ila CCM yake aina Mwisho mzuri! Tusisifie eti tu CCM! Tumia akili Sio Matako😃na sio Ushabiki,CCM 2o25 Aipo sawa kwenu
CCM wanajifanya wajanja😁Ila Wadanganyika wapo powa tu IPO Siku Yao! IPO CCM MAYDAY IPO Na sio mbaliInajua wamewasilianaje hadi yule askofu Liberatus Sangu akawa kwenye hafla?
Kuna majadiliano ambayo yamefanyika ambayo wewe layman huwezi kujua.Unadhani mama alienda kuonana na baadhi ya maaskofu burebure tu... hata kabla hajapitia kwa Cardinal mpya...?
Think big,to be the greatest.
Yeye yupo objective muda mrefu na mipango yake inahitaji maono kuweza kuifahamu vyema.😂😂😂
Muungeni mkono mama Samia mkiwa objective na sio subjective.
Lini uliona mkataba mahali palipokua pameandikwa miaka 100?Bila shaka, marekebisho yamefanyika,ndomaana unaona mambo ya mkataba wa miaka 100,yamekua miaka 30,bandari zote,imekua baadhi ya ghati n.k.
WEWE UMEUSOMA?MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
Hayo yote sio masharti yaliyotimizwa eti kwa sababu TEC walitaka yawemo, sio kweli.MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
TEC hawakuwa na nia nzuri na uwekezaji huu wa DP World tangu mwanzo na tuwe wakweli kwenye hili suala.MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…
1. Mkataba maximum miaka 30
2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria
3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5
4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida
5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote
6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
Samia kafunga goli la kisigino.Wagalatia hawakuuyaka ubia kabisa, walisema tubinafsishe vyote na sio bandari
Unalia lia ukiwa wapi?😁Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.
Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Kanisa letu limeingiliwa na baadhi ya maaskofu wenye maslahi mengi ya kidunia. Father Kitima alimletea mambo ya kipuuzi hayati JPM. Kwa huyu Mama ameshindwa tayari.When in Rome!¡........ this is Catholic church Awana haraka Wala mihemko.Lao mwisho wa Siku litatimia tu!CCM IPO Siku Wata Going to Canossa😁
Nakuachia hii story https://www.google.com/url?sa=t&sou...QQFnoECB8QAQ&usg=AOvVaw2SAIGGc3ln94StgC0v5NhY
Angekuwa hajatumwa na kanisa waraka usingesomwa makanisa yote kwa majuma 6 mfululizoFather Kitima ni kiongozi wa kamati ya kugombea urais wa Tundu Lissu mwaka 2020, hawezi kuwa na nia njema na mipango ya serikali ya CCM, hiyo habari ya kuandika waraka ni fitina ya kujaribu kuichonganisha serikali na wasomi wengi wa kikatoliki, hatujamtuma sisi wakatoliki aende kugombana katika masuala ya sheria za mikataba yenye kuhitaji uelewa mpana na upeo wa masuala ya kiuchu
Kanisa lilichemka kujadili masuala kwa hisia tu kwamba Samia na waarabu wenzake wanataka kuinunua hii nchi.Angekuwa hajatumwa na kanisa waraka usingesomwa makanisa yote kwa majuma 6 mfululizo
Huo ni uongo haukutoa muda ina maana milele ila Shelia za kimataifa mwisho 100Mkuu weka hapa mkataba uliosema ni miaka 100
Kanisa katoliki lilikataa mkataba kabisa, lilisema bandari iongozwe na wazawa lakini ccm chini ya mwenyekiti muislam ikakaza matokeo yake kanisa limetii mamlaka na kwenye utiaji saini mikataba limetuma muwakilishiKanisa katolic ni zaidi ya ccm
Hii comment yako inatia huruma sana,naona mmekua wabunifu wa kutafuta vikauli vya kujifariji,tuliwaambia humu mkakaza fuvu,haya sasa kiko wapi?Walishatoa tamko lao. Leo wameitilia with na kwenda Ikulu. Hainaanishi wamekubaliana.
Wana akili zaidi kuliko tunavyofukiria. Ni mwanzo wa vita ya chini chini na mshindi ni mmoja tu - wao.
Professor Shivji alitabili kuwa kwenda mbele mambo ya mikataba na DpWorld yatafichwa na yatafanywa kwa siri!! Hivi ndivyo Samia na genge lake wanavvohujumu nchi!Naona unaishi kwa imani na matumaini.
Laiti wangerekebisha wangetwambia!
Kasome tena tamko la kanisaKanisa katoliki lilikataa mkataba kabisa, lilisema bandari iongozwe na wazawa lakini ccm chini ya mwenyekiti muislam ikakaza matokeo yake kanisa limetii mamlaka na kwenye utiaji saini mikataba limetuma muwakilishi
You nailed itHakuna tunda la Roho linaitwa fitina. Kama wamejiridhisha kuwa changamoto zao zimefanyiwa kazi yanini kuwa na roho ya kukwamisha