Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Alichopokea labda kina msuta! Ale tu hela zao! Ila CCM yake aina Mwisho mzuri! Tusisifie eti tu CCM! Tumia akili Sio Matako😃na sio Ushabiki,CCM 2o25 Aipo sawa kwenu
Kwaiyo mimi ni Mwanachama wa CCM? Kwann wew huamini matendo juhudi za Raisi wako?.usitulazishe wote kuwa wanachama.wengine hatuna chama wala dini
 
Inajua wamewasilianaje hadi yule askofu Liberatus Sangu akawa kwenye hafla?
Kuna majadiliano ambayo yamefanyika ambayo wewe layman huwezi kujua.Unadhani mama alienda kuonana na baadhi ya maaskofu burebure tu... hata kabla hajapitia kwa Cardinal mpya...?
Think big,to be the greatest.
CCM wanajifanya wajanja😁Ila Wadanganyika wapo powa tu IPO Siku Yao! IPO CCM MAYDAY IPO Na sio mbali
 
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
 
Bila shaka, marekebisho yamefanyika,ndomaana unaona mambo ya mkataba wa miaka 100,yamekua miaka 30,bandari zote,imekua baadhi ya ghati n.k.
Lini uliona mkataba mahali palipokua pameandikwa miaka 100?

Hayo maneno ya miaka 100 ni yakina Mwabukusi & Slaa
 
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
WEWE UMEUSOMA?
 
Hayo yote sio masharti yaliyotimizwa eti kwa sababu TEC walitaka yawemo, sio kweli.

Ni sehemu ya michakato ya biashara yenyewe tangu mwanzo. Hayo yanayoitwa masharti ni sehemu tu ya project contracts zilizoandaliwa kule Belgium miezi miwili iliyopita.
 
Tangu nilipomwona bi-mkubwa akifunga safar toka DSM mpaka Tbr,nilijua kuna jambo.
 
MABORESHO YA MKATABA
Wamebadilisha vipengere vyote tata…

1. Mkataba maximum miaka 30

2. Watalipa kodi zote za Serikali kwa mujibu wa Sheria

3. Wamewekewa performance key indicators na watakuwa accessed kila baada ya miaka 5

4. Serikali itachukua 60% ya mapato ya faida

5. Serikali inauwezo wa kuvunja mkataba muda wowote

6. Mkataba huu sio wa gati zote za Bandari ya Dar es Salaam gati ambazo hazipo kwenye mkataba huu zinatafutiwa Mwekezaji mwingine (hata huyu wa sasa)
TEC hawakuwa na nia nzuri na uwekezaji huu wa DP World tangu mwanzo na tuwe wakweli kwenye hili suala.

Miaka 30 ya uwekezaji wao ni baada ya bunge kuridhia ile IGA ndio wanasheria wakakaa pamoja na hao waarabu wakaongea kwa kina juu ya uwekezaji wa kibiashara. Kusema kwamba miaka 100 ilikuwa ni lengo lililokubaliwa awali ni kupotosha ukweli wa makubaliano yaliyofikiwa.

Masuala ya kodi ni lazima ilikuwa walipe na haya ndio yamekuja kuandikwa kwa kina kwenye mikataba ya kibiashara, sisi wabongo kwa uelewa wetu wa mikataba tulitaka masuala haya kama ya kodi yaandikwe kwenye IGA suala ambalo kiutaratibu haliwezekani.

Hata suala la serikali kuweza kuvunja mkataba lilkuwemo kwenye IGA, kifungu namba 14 B.

Tangu mwanzo mkataba ni wa pale bandarini Dar hauhusishi eneo lingine lolote, tatizo letu ni tafsiri potofu za kila mtu kujifanya mwanasheria mwenye uwezo wa kutafsiri vifungu, kila mtu kujidai anajua nini kimeandikwa.

Elimu tuliichezea miaka ya nyuma kitaifa na masuala kama haya ya mikataba ya kimataifa yanakuja kututoa nishai.
 
Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.

Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Unalia lia ukiwa wapi?😁
 
When in Rome!”........ this is Catholic church Awana haraka Wala mihemko.Lao mwisho wa Siku litatimia tu!CCM IPO Siku Wata Going to Canossa😁
Nakuachia hii story https://www.google.com/url?sa=t&sou...QQFnoECB8QAQ&usg=AOvVaw2SAIGGc3ln94StgC0v5NhY
Kanisa letu limeingiliwa na baadhi ya maaskofu wenye maslahi mengi ya kidunia. Father Kitima alimletea mambo ya kipuuzi hayati JPM. Kwa huyu Mama ameshindwa tayari.

Father Kitima ni kiongozi wa kamati ya kugombea urais wa Tundu Lissu mwaka 2020, hawezi kuwa na nia njema na mipango ya serikali ya CCM, hiyo habari ya kuandika waraka ni fitina ya kujaribu kuichonganisha serikali na wasomi wengi wa kikatoliki, hatujamtuma sisi wakatoliki aende kugombana katika masuala ya sheria za mikataba yenye kuhitaji uelewa mpana na upeo wa masuala ya kiuchumi.
 
Father Kitima ni kiongozi wa kamati ya kugombea urais wa Tundu Lissu mwaka 2020, hawezi kuwa na nia njema na mipango ya serikali ya CCM, hiyo habari ya kuandika waraka ni fitina ya kujaribu kuichonganisha serikali na wasomi wengi wa kikatoliki, hatujamtuma sisi wakatoliki aende kugombana katika masuala ya sheria za mikataba yenye kuhitaji uelewa mpana na upeo wa masuala ya kiuchu
Angekuwa hajatumwa na kanisa waraka usingesomwa makanisa yote kwa majuma 6 mfululizo
 
Angekuwa hajatumwa na kanisa waraka usingesomwa makanisa yote kwa majuma 6 mfululizo
Kanisa lilichemka kujadili masuala kwa hisia tu kwamba Samia na waarabu wenzake wanataka kuinunua hii nchi.

Kanisa lilimnyanyapaa Samia likimuona ni mwanamama wa kiislam na likawa na hisia mbaya na serikali yake wakisahau kuwa ilani ya CCM inaongelea ushirikiano wa kibiashara na bandari ni mojawapo ya sekta husika.

Kanisa kwa maana ya uongozi wa juu kabisa lisirudie tena kosa kama hili walilolifanya kwenye suala la DP World, inapunguza sana heshima ya taasisi yenye kuheshimika.
 
Walishatoa tamko lao. Leo wameitilia with na kwenda Ikulu. Hainaanishi wamekubaliana.
Wana akili zaidi kuliko tunavyofukiria. Ni mwanzo wa vita ya chini chini na mshindi ni mmoja tu - wao.
Hii comment yako inatia huruma sana,naona mmekua wabunifu wa kutafuta vikauli vya kujifariji,tuliwaambia humu mkakaza fuvu,haya sasa kiko wapi?
 
Naona unaishi kwa imani na matumaini.
Laiti wangerekebisha wangetwambia!
Professor Shivji alitabili kuwa kwenda mbele mambo ya mikataba na DpWorld yatafichwa na yatafanywa kwa siri!! Hivi ndivyo Samia na genge lake wanavvohujumu nchi!
 
Kanisa katoliki lilikataa mkataba kabisa, lilisema bandari iongozwe na wazawa lakini ccm chini ya mwenyekiti muislam ikakaza matokeo yake kanisa limetii mamlaka na kwenye utiaji saini mikataba limetuma muwakilishi
Kasome tena tamko la kanisa
 
Back
Top Bottom