Mmeshikwa pabaya, msiyemtaka yupo bandarini tayari. Meli zitaanza kupiga adhana badala ya honi pumbavuKasome tena tamko la kanisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeshikwa pabaya, msiyemtaka yupo bandarini tayari. Meli zitaanza kupiga adhana badala ya honi pumbavuKasome tena tamko la kanisa
Wewe huelewi nguvu ya hao jamaa!!Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.
Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Tunampongeza Rais Samia kuwaalika nao tunawapongeza kuhudhuriaKama vipengele vimebadilishwa na wameridhia hakuna sababu wasihudhurie TEC wote hawawezi kuwa wanafiki
Memorandum of understanding 🙏🙏🙏🤔Itakuwa ni U turn ya Mwaka,au labda Vipengele vya Mkataba vimebadilishwa.
Kazi ya Mwanasiasa makini sio kufoka foka hadharani, kama alienda chamber kuzungumza nao wakaelewa umuhimu wa Mkataba wa uwekezaji tofauti na awali walipopinga uwekezaji wa kutoka nje ya Nchi bado tunampongeza Rais kwa busara na weledi wakeInajua wamewasilianaje hadi yule askofu Liberatus Sangu akawa kwenye hafla?
Kuna majadiliano ambayo yamefanyika ambayo wewe layman huwezi kujua.Unadhani mama alienda kuonana na baadhi ya maaskofu burebure tu... hata kabla hajapitia kwa Cardinal mpya...?
Think big,to be the greatest.
Escrow haikutolewa waraka kwa kuwa walikuwepo kwny orodha ya MgaoKATOLIKI awanaga unafiki! Wakishasema WAMESEMA! UKIJA KIVYAKO WATAKUITIKIA ILA AWAABATIKISHI KAULI YAO- HAO NDO WAKATOLIKI
Nyie watu wa hii dini ni wapumbavu sana!Mmeshikwa pabaya, msiyemtaka yupo bandarini tayari. Meli zitaanza kupiga adhana badala ya honi pumbavu
Si ndio mlivyokuwa mnaaminishana upuuzi, mwarabu kapewa bandari uingereza na uchina halafu wafuasi wa papa wanaleta ujuaji, waambie maaskofu warudi chachi huku hakuwahusu, eti kanisa ni kubwa kuliko serikali "KIKOWAPI"Nyie watu wa hii dini ni wapumbavu sana!
Kwa akili yao unadhani maaskofu walikuwa wanapinga kupigiwa adhana?
Walikuwa wanatetea maslahi ya bibi babu na mama zako kule kijijini kwenu!
Yani uko tayari kula matope ili mradi unamuona mwarabu akipiga adhana hapo bandarini
Kamuulize hangaya kama ule uliosainiwa jana ndio ule upuuzi wake aliotaka kutuletea?Si ndio mlivyokuwa mnaaminishana upuuzi, mwarabu kapewa bandari uingereza na uchina halafu wafuasi wa papa wanaleta ujuaji, waambie maaskofu warudi chachi huku hakuwahusu, eti kanisa ni kubwa kuliko serikali "KIKOWAPI"
Kanisa ni upuuzi mtupu mnaaminishana ujinga tu, hakuna rais muislam atapelekeshwa na kanisa, NEVER. Subirini aingie mgalatia mwenzenu ndio mumpelekeshe. Mwarabu kaitwaa bandari subiri ufanisi sasaKamuulize hangaya kama ule uliosainiwa jana ndio ule upuuzi wake aliotaka kutuletea?
Dogo Kanisa ni zaidi ya hao shehe ubwabwa wako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] NakuhurumiaKanisa ni upuuzi mtupu mnaaminishana ujinga tu, hakuna rais muislam atapelekeshwa na kanisa, NEVER. Subirini aingie mgalatia mwenzenu ndio mumpelekeshe. Mwarabu kaitwaa bandari subiri ufanisi sasa
Rais mwenyewe alisema wamefanyiwa kazi maoni ya viongozi wa dini, viongozi wastaafu, wanasiasa, TLS, wananchi, na sie wa mitandaoni... Kama Mimi am very proud, niliandika thread humu mwanzo na nimeona Kuna vitu vimezingatiwa.Umejuaje? Ama wamejuaje? Hatuwahi kusikia TEC wakiitwa kutoa ushauri wao serikalini ama kupewa mrejesho wa marekebisho
Ndo MAANA Sasa unaona ni hayo tatu tuu ndo zinawekezwa na Hadi wale wafanyabiashara kule ndani hawaondolewi.. staff watachagua kinaki TPA ama kuingia DP.... Na Sasa unaskia zaidi emirata ya arabuni na kampuni ya DubaiLakini kwenye waraka wao walikuwa hawakubaliani na uwekezaji kabisa bali walisema wanaamini kuwa watz wanauwezo wa kuendesha bandari wenyewe.
Baraza linafanya kazi Kwa kuandika maoni yao na kuyatoa hadharanj Kwa waamini. Jana mwenye nguvu kakutumia barua ya mwaliko. Hekima inafundisha nenda lakini shauri lake usilikubali. Kama ukisikiliza Sala utaona kabisa huyu mtu hayupo nao ila mamlaka imemlazimu kuhudhuriaKama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.
Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Walikuwepo, walikuwepo lakini Dada FaizaFoxy anasema "wamechafua Dua" yakuombea tukio la Jana?Kama hawakuwepo,
Hakuna kujiridhisha wala nini wameumbuka tu.Hakuna tunda la Roho linaitwa fitina. Kama wamejiridhisha kuwa changamoto zao zimefanyiwa kazi yanini kuwa na roho ya kukwamisha
Kula rushwa hawa maaskofu co jambo geni.......refer EscrowUnaweza kuweka wazi ushahidi wa maaskofu kupewa hiyo milioni 100?, vinginevyo na wewe unatenda dhambi ya kusingizia watu kwa sababu tu unayo maumivu ya moyoni.
Walaka ulipendekeza bandari isibinafsishwe kwa watu kutoka nje isubiri mpaka wazawa watakapokuwa na uwezo.Kama vipengele vimebadilishwa na wameridhia hakuna sababu wasihudhurie TEC wote hawawezi kuwa wanafiki