Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.

Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Wewe huelewi nguvu ya hao jamaa!!

Unafikiri wanakurupuka!!?

Imeisha hiyo!
 
Kama vipengele vimebadilishwa na wameridhia hakuna sababu wasihudhurie TEC wote hawawezi kuwa wanafiki
 
Kama vipengele vimebadilishwa na wameridhia hakuna sababu wasihudhurie TEC wote hawawezi kuwa wanafiki
Tunampongeza Rais Samia kuwaalika nao tunawapongeza kuhudhuria

hoja ya Mkataba imeisha tunasonga mbele

Samia Suluhu mitano tena

Wilbroad Slaa anabaki na msimamo wake au anaunga mkono msimamo wa TEC?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Inajua wamewasilianaje hadi yule askofu Liberatus Sangu akawa kwenye hafla?
Kuna majadiliano ambayo yamefanyika ambayo wewe layman huwezi kujua.Unadhani mama alienda kuonana na baadhi ya maaskofu burebure tu... hata kabla hajapitia kwa Cardinal mpya...?
Think big,to be the greatest.
Kazi ya Mwanasiasa makini sio kufoka foka hadharani, kama alienda chamber kuzungumza nao wakaelewa umuhimu wa Mkataba wa uwekezaji tofauti na awali walipopinga uwekezaji wa kutoka nje ya Nchi bado tunampongeza Rais kwa busara na weledi wake
 
Mmeshikwa pabaya, msiyemtaka yupo bandarini tayari. Meli zitaanza kupiga adhana badala ya honi pumbavu
Nyie watu wa hii dini ni wapumbavu sana!

Kwa akili yao unadhani maaskofu walikuwa wanapinga kupigiwa adhana?

Walikuwa wanatetea maslahi ya bibi babu na mama zako kule kijijini kwenu!

Yani uko tayari kula matope ili mradi unamuona mwarabu akipiga adhana hapo bandarini
 
Si ndio mlivyokuwa mnaaminishana upuuzi, mwarabu kapewa bandari uingereza na uchina halafu wafuasi wa papa wanaleta ujuaji, waambie maaskofu warudi chachi huku hakuwahusu, eti kanisa ni kubwa kuliko serikali "KIKOWAPI"
 
Kamuulize hangaya kama ule uliosainiwa jana ndio ule upuuzi wake aliotaka kutuletea?

Dogo Kanisa ni zaidi ya hao shehe ubwabwa wako
 
Kamuulize hangaya kama ule uliosainiwa jana ndio ule upuuzi wake aliotaka kutuletea?

Dogo Kanisa ni zaidi ya hao shehe ubwabwa wako
Kanisa ni upuuzi mtupu mnaaminishana ujinga tu, hakuna rais muislam atapelekeshwa na kanisa, NEVER. Subirini aingie mgalatia mwenzenu ndio mumpelekeshe. Mwarabu kaitwaa bandari subiri ufanisi sasa
 
Kanisa ni upuuzi mtupu mnaaminishana ujinga tu, hakuna rais muislam atapelekeshwa na kanisa, NEVER. Subirini aingie mgalatia mwenzenu ndio mumpelekeshe. Mwarabu kaitwaa bandari subiri ufanisi sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuhurumia
 
TEC WAMEBANA HATIMAE WAMEACHIA,YA KAISARI WAMEAMUA KUMUACHIA KAISARI
 
Umejuaje? Ama wamejuaje? Hatuwahi kusikia TEC wakiitwa kutoa ushauri wao serikalini ama kupewa mrejesho wa marekebisho
Rais mwenyewe alisema wamefanyiwa kazi maoni ya viongozi wa dini, viongozi wastaafu, wanasiasa, TLS, wananchi, na sie wa mitandaoni... Kama Mimi am very proud, niliandika thread humu mwanzo na nimeona Kuna vitu vimezingatiwa.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Lakini kwenye waraka wao walikuwa hawakubaliani na uwekezaji kabisa bali walisema wanaamini kuwa watz wanauwezo wa kuendesha bandari wenyewe.
Ndo MAANA Sasa unaona ni hayo tatu tuu ndo zinawekezwa na Hadi wale wafanyabiashara kule ndani hawaondolewi.. staff watachagua kinaki TPA ama kuingia DP.... Na Sasa unaskia zaidi emirata ya arabuni na kampuni ya Dubai

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
 
Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.

Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Baraza linafanya kazi Kwa kuandika maoni yao na kuyatoa hadharanj Kwa waamini. Jana mwenye nguvu kakutumia barua ya mwaliko. Hekima inafundisha nenda lakini shauri lake usilikubali. Kama ukisikiliza Sala utaona kabisa huyu mtu hayupo nao ila mamlaka imemlazimu kuhudhuria
 
Kama vipengele vimebadilishwa na wameridhia hakuna sababu wasihudhurie TEC wote hawawezi kuwa wanafiki
Walaka ulipendekeza bandari isibinafsishwe kwa watu kutoka nje isubiri mpaka wazawa watakapokuwa na uwezo.

Unalikumbuka hilo au zile wiki sita zote mfululizo ulikuwa hausikilizi hapo kanisani kwenu?

Kusema vipengele vimebadilishwa wakati mwisho wa siku DP kapewa bandari hizo ni porojo za abunuasi. Ukweli ni kwamba TEC walikurupuka na wameumbuka
 
Back
Top Bottom