THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
- Thread starter
- #21
Leo kawapiga Polisi kwamba ni wala rushwa, wakati hao hao Polisi ndio wanaombeba kudhibiti wapinzani.
Kajiamini sana, mwenzake Magufuli angalau aliwalinda Polisi na kusema rushwa wanayochukua ni hela ya kupiga brashi viatu tu.
Kama nawaona vile Polisi wanavyom mind kichinichini.
Siku kikiwaka atawatafuta.
Umeongea pumba kabisa,
Yaani aache kukemea Rushwa Kwa watendaji wake kama hao polisi eti Kwa kuhofia wao watachukia??