Maslahi ya wengi wepi?Mtatimie kila kete lakini hamtashinda enyi mafisadi wa bandari. Mtamuibua kila mtu mkidhani atawasaidia lakini mama akiamua jambo kwa maslahi ya wengi Huwa harudigi nyuma never and ever again.
Mbona kama unasema kinyume chake?
Yaani wengi hawataki hata kuusikia huo mkataba, halafu utakuwaje na maslahi kwao?
Inamaana Watanzania ni wajinga kiasi hicho?