Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

Hata dini yake yenyewe inamkataza kuwa kiongozi katika nafasi aliyopo .
Kwa mujibu wa dini Yako unaruhusiwa kuongozwa na mwanamke? 🤣🤣🤣
Hayo ni tukiwa na dola ya kiislamu ambapo kila kitu kinakwenda islamically.
 
Maaskofu wamumizwa sana na hili la bandari kuwekewa udhibiti.

Mama haingiliki.

Hivi Mpango roho inamuuma sana, hana la kufanya tu.
Mtanganyika yeyote mwenye akili timamu hawezi kufurahia kuona kiongozi mbatata akiuza rasilimari za nchi kama ufanyavyo hapa wewe ajuza 😭😭
 
Mtanganyika yeyote mwenye akili timamu hawezi kufurahia kuona kiongozi mbatata akiuza rasilimari za nchi kama ufanyavyo hapa wewe ajuza 😭😭
wacha kujaza watu ujinga uliojazwa nao.

Wewe hujauzwa?
 
Aliambiwa Tubu . Akaleta kiburi hatimaye tukafunika tuta . Then anatokea mtu anasema kufa ni ahadi wote tutakufa 😂😂😂

Kwahiyo wewe unadhani utaishi milele??

Umezaliwa Siku Moja,Utakufa siku Moja Dunia ilikungoja.

Ishi.
 
Bandari ni ya Watanganyika.. Msituondoe relini na haya ma Uzi ya kufunika nanl kupotosha ukweli kwamba wajomba wamepewa Bandari kiulaini....wamegawiwa

No to DPW No to Neo-Colonialism.
 
Bandari ni ya Watanganyika.. Msituondoe relini na haya ma Uzi ya kufunika nanl kupotosha ukweli kwamba wajomba wamepewa Bandari kiulaini....wamegawiwa

No to DPW No to Neo-Colonialism.

Sasa usaidiwe vip,kama ulichokiamini ni Hiko endelea kuamin Hiko unachokiamini, serikali inaendelea na taratibu zake.
 
Back
Top Bottom