Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

Wee Munga kwanza anza na mkataba kati ya makanisa na serikali uaokuwezesheni kuchota mihela ya serkali kila mwaka eti mnasaidia kutoa huduma za kijamii wezi nyie.
Wewe mbona ulipobakwa ulikimbilia hospitali ya kanisa ndio ikakuokoa!!??
 
Narudia tena kukwambia serikali inaheshimu dini zote lakini hakuna dini itaipanda serikali hii ya Tanzania kichwani kamwe. Tunajua namna ya kuwashughulikia watu wanaoleta hizi chokochoko za udini na hii siyo mara ya kwanza.
Tatizo linalojitokeza ni kuwa akiongoza rais mkristo ruksa kumkosoa iwe ni muislam au Baraza kuu la wakristo .
Lakini akishika madaraka muislam akifanya madudu watu waanze kumkosoa waumini mnajitokeza kumtetea na kuanza kuleta hoja kuwa Kuna udini .😂😂😂
 
Tatizo linalojitokeza ni kuwa akiongoza rais mkristo ruksa kumkosoa iwe ni muislam au Baraza kuu la wakristo .
Lakini akishika madaraka muislam akifanya madudu watu waanze kumkosoa waumini mnajitokeza kumtetea na kuanza kuleta hoja kuwa Kuna udini .[emoji23][emoji23][emoji23]
Huo ni mtazamo wako. Serikali ya Tanzania haina dini
 
Jiulize akina nyerere na unyerere walitokea wapi

Labda kama huijui history ya nchi hii hapo sawa.

Utilize sisi waislam eti Nyerere katokea wapi??

Nyerere kaacha ualim pugu ndug zake wengi hapo town walikuwa waislam,unamjua mshume kiyate wewe??

Unamjua Abdulwahid Sykes?

Nchi hii waislam tumetoka nayo mbali.

While kanisa linakumbatia wakoloni wazee wetu wako kwenye harakat za ukomboz long time.
 
Tatizo linalojitokeza ni kuwa akiongoza rais mkristo ruksa kumkosoa iwe ni muislam au Baraza kuu la wakristo .
Lakini akishika madaraka muislam akifanya madudu watu waanze kumkosoa waumini mnajitokeza kumtetea na kuanza kuleta hoja kuwa Kuna udini .😂😂😂

Teh teh teh,

Manake hapo kwanza ncheke,akiongoza Rais mkiristo Ruksa kumkosoa??

Mmesahau wagalatia mlivyomsumbua kikwete na PENGO wenu those days?TEC Kila siku waraka haziiish,kutwa kumsemea kikwete mdini kisa tuh muislam.

Had mkampa jina Rais Dhaifu,ila Kwa Mkapa mkaa kimyaa.

Kaja Magufuli ndiyo kabisa mkafunga mikia,Leo hii mnajifanya fyoko fyoko fyokoooo mnabana pua udini udiniii kisa Rais Muislam Samia,hovyo kbs nyinyi.
 
Daah usiniangushe bro hivi maandamano akidi inahitaji wafikie wangapi? Maana kiukweli mie niliona hawazidi sita askari waliwaita kwa mahojiano kuwauliza shida yao ni nini? Hata lupango hawakulala wale
Hujui unachoongelea.

Kwanza hata angekuwa mmoja, hiyo idadi si hoja.

Pili wamelala lupango na simu zao zimechukuliwa mpaka leo hawajarudishiwa.

Ulizia Desdedit Soka, ulizia Kaswahili, kuna watu kibao wamelala polisi.

Wametishiwa kupewa kesi za uhaini ambazo hazina dhamana wakiendelea na maandamano.

You don't know what you are talking about.
 
Uhuru wa kuongea kati kati ya utumwa bro!

Brother tupo kwenye issue ya leo, Magufuli sio marejeo yetu kwa sasa, sisi tuongee leo, jana haiji tena kamwe ila leo tunayo na kesho ni yetu pia ila jana sio yetu tena.

Uhuru kati kati ya utumwa?

Unajua utumwa wewe au unasema tuh??

And why unasema Magufuli isiwe marejeo,na wenzako wanamfanya kikwete kuwa ni marejeo??

Mnafanya compare and contrast against what??

Mnajizima data makusudi mnajifanya hamnazo eeh,mtapona safari hii.
 
Wakristo mna udini sana na mnamchukia Rais Samia kutokana na uislamu wake. Period.
Hata dini yake yenyewe inamkataza kuwa kiongozi katika nafasi aliyopo .
Kwa mujibu wa dini Yako unaruhusiwa kuongozwa na mwanamke? 🤣🤣🤣
 
Hata dini yake yenyewe inamkataza kuwa kiongozi katika nafasi aliyopo .
Kwa mujibu wa dini Yako unaruhusiwa kuongozwa na mwanamke? 🤣🤣🤣

Sasa Tanzania ni nchi ya Kiislam??

Kama alikuwa makamu wa Rais na ukakubaliana na Hilo,vip ushindwe kukubaliana na hili la kuwa Rais kamili??

Vumilia tunae had 2030 Inshallah..
 
Kwa hiyo huyu mkatoliki Nyerere ambaye katoka huko kisiwani musoma Hana mbele Wala nyuma anakuja kuwaongoza wapigania uhuru watoto wa town akina Abdul Sykes ? Sasa hapo nani mjanja kati yao🤣🤣🤣

Siyo suala la nani mjanja,

Ni suala la kukueleza kuwa hata huyo Nyerere kanisa halikumpa msaada katika kupigania uhuru wa nchi hii,

Msaada akipata kutoka Kwa waislam,na haikuwa tatizo Kwa hao wazee wa kiislam kushirikiana na mtu wa Iman yyte as long as lengo ni kupigania uhuru wa nchi.

Na lengo halikuwa kusimika serikali ya kiislam,sema wengi wenu mpo brainwashed huko makanisani.
 
Tukubali tu kwamba ni bahati mbaya kuwa na utawala uliopo sasa, ni utawala ambao kiongozi wake hakuwa vision, alipata nafasi pasipo matarajio!
Its ok,sio shida! Lakini why ametutweza, why unaenda kuwa mpasuko?
Kwanini hii tulilo nalo leo limekua hivi , kwa nini haikua jana?
Huoni kuna shida isiyokuwa ya kawaida?

Bahati mbaya kwako wewe,kwetu sisi ni Good luck kabisa

Kwani Magufuli pindi anamteua huyo mama awe makamu wake hakuweka akilini kwamba endapo akitokea akafariki president anakuwa ni huyo mama??

He knew it,and who told you that kufariki ni bahati mbaya??kwani nani ataishi milele??

Kufa ni Haki ya Kila Mtu,kifo Cha Magufuli siyo bahati mbaya,ni ahadi ilifika.

Au unataka kuishi Kwa uzima wa milele hapa ulimwengu???
 
Ulipaswa kwanza umkemee Jusa ,aliyeamsha hisia za watanganyika. Mbona swala la watu kutetea rasilimali za nchi yao manawaita wabaguzi,wagawa Taifa. Ukweli utanaki palepale kwamba Wakati fulani na maamuzi fulani huligawa Taifa. Maamuzi yeyote makubwa kama haya yanayohusu lango la biashsra Kwa nchi yetu lazima wanachi wasikilizwe ,wasipuuzwe wala kuzibiwa masikio.

Mkemee wewe Jusa,

Kwani lazima nimkemee Mimi??
 
DP WORLD kakutoa ngap mkuu, mbona imejivua koti la uzalendo.

Mali ya nchi inauzwa kwa mda usiojulikana, wenye kuona mbali wanapaza sauti, wew vipande 30 vya fedha vinakupofua.

Hela zitakuishia lakin mkataba hauishi. Ni kichaa tu anaweza kukubaliana na uchochez wako. Fala wew
 
Back
Top Bottom