Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ndiyo matatizo ya kuwa na rais mke wa tatu haya.Kuna suala la jinsia yake pia.
Usikute anajihisi kuwa anapingwa kwa sababu yeye ni mwanamke.
Rejea kauli zake za kwamba yeye ni mwanamke, mama, n.k.
Pengine ana hicho ki complex cha kujiona anasakamwa kisa jinsia yake na matokeo yake anazidisha kiburi kwa kutumia hisia kuliko akili.
Angekuwa anatumia akili wala asingepata shida kujielezea.
Kila kitu anaona anadogoshwa na wakewenza, hata kama hawapo.