Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga


Umeongea pumba kabisa,

Yaani aache kukemea Rushwa Kwa watendaji wake kama hao polisi eti Kwa kuhofia wao watachukia??
 
Endeleeni kujipa moyo. Siku mtakapogundua kuwa mmebugi step itakuwa too late.
Saa ikifika hata maji unayodhani ni ya Baraka hugeuka kuwa Sumu.
 

Hayo mapambazuko mnayoyasema na nguvu ya kukosoa,why hatukuona during Magufuli Regime?

Mmepewa uhuru wa kuongea mnajiona mnajua kuongea sasa
 
Kinafichwa ndani ya dharau za kimyakimya
Alisema mkimpigia kura au msimpompigia kura ana uhakika wa kushinda uchaguzi.

Hii ni kauli ya kiburi kikubwa sana ambayo sikumbuki hata Magufuli kuitoa.

Mwanasiasa wakati wote anatakiwa kujiweka chini ya wapiga kura wake na kuwaomba kura.

Huyi anawaambia kura zenu si mali kitu, sijui alishajihakikishia uwezo wa kuiba kura?
 
Huyu rais huenda akawa na kiburi kuliko Magufuli, ila anajua kukificha vizuri tu.

Na watu hawajamstukia tu.
Kuna suala la jinsia yake pia.

Usikute anajihisi kuwa anapingwa kwa sababu yeye ni mwanamke.

Rejea kauli zake za kwamba yeye ni mwanamke, mama, n.k.

Pengine ana hicho ki complex cha kujiona anasakamwa kisa jinsia yake na matokeo yake anazidisha kiburi kwa kutumia hisia kuliko akili.

Angekuwa anatumia akili wala asingepata shida kujielezea.
 

Sasa Magufuli yeye alihitaj hata wewe ukampigie kura??

We vip?Ina maana umesahau kabisa Jins Magufuli alivyoshinda uchaguz ulipita na kutengeneza bunge la chama kimoja uchaguz uliopita??

Kumbe wagalatia mko na ajenda maalum sasa.
 
Magufuli lazima awalinde polisi si alikua anawatuma kudhibiti upinzani ? Huyu mama hakopeshi anawachana kwa sababu hawatumii kama toilet paper
 
Hapa umeongea kama vile akili zako umeziweka kwenye mfuko wa shati ili baadae uje uzitumie kuvukia Barabara,kwahiyo kama kuna mtu anafanya makosa kama vile kula rushwa asisemwe?
Empty set kabisa wewe.
 

Kwani ni uongo Africa hiyo notion ipo??

Hilo liko wazi Wala halihitaj mjadala,

Wapo wengi walimbeza na Bado wanambeza sababu tuh yeye ni mwanamke,na wengi hawakutaraji eti Magufuli anaweza kufika madarakan na Samia akawa president.

Ni wazi anangoza Kwa viging vingi sana,but so far ameprove Kwa kiwango kikubwa kuwa ni Rais Mahir kabisa.
 
Ukilijua KANISA au msikiti
huwezi beza wanachoshauri ,kanisa duniani nizaidi ya jeshi


Mziki wakanisa ,kamuulize rais DRcongo Kabila ,baada ya kumkataa

Akijikuta anamkabidhi taifa ,mtu asiyesahihi kwake
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya jana na leo na hata kesho pia.

Pia usije ukafananisha mtazamo na imani ya wananchi dhidi ya uongozi wa Magufuli na huu tulio nao.

Hilo liko wazi,Kwa Magufuli ilikua marufuku kukosoa,ilikua ni praise team tuh,na ukikosoa kesho yake kazi unayo,huwez fananisha serikali yenye freedom of speech na serikali ambayo Haina freedom of speech.

Samia akaribisha criticisms,bahati mbaya wengi wanajisahau na kukimbilia kwenye kukashifu,mnajisahau sana
 
Hizi kauli ulizozitumia hapa kama mtabiri,zinakufanya uonekana kama mtoto wa darasa la pili,

Mtu mzima hawezi kutumia vikauli vya kubahatisha,sijui eti "Pengine..." "Usikute.."

Rubbish.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…