Wazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Kwani ukichangiwa mchango wa harusi, Huyo mke anakuwa mke wa wachangiaji?Si mnachukua hela zao mnatanua mjini na magari ya kifahari?... Kuweni tayari kuingiliwa sasa
Tupe official website ya Bunge la ulaya mlipokitoa kicho kipeperushi chenu uvccm kwa propaganda zenu uchwara.View attachment 3327816
Vingine vyote ni kisingizio tu. Sera Yao kwa Sasa ni ku support Watetezi wa Ushoga tu. Full stop.
Mbona kuna Mashekhe wako rumande siku nyingi, hawatetewi? Ni viongozi wangapi waliwekwa rumande na hatukusikia matamko Yao? Huyu Lissu yupo mbele ya vyombo vya Sheria kwanini watake aachiwe na sio awe dealt with according to the law?
Kama tatizo ni kuachiwa, basi watoe tamko mahabusu wote magerezani waachiwe!
Wao hawana uwezo wa kuingilia uhuru wa Nchi nyingine kwa matamko. Kama Wana Cha kushauri washauri tu Lakini mamlaka ya kupanga nini Nchi yoyote ifanye hawana. Watoe basi na matamko kwa Russia, India, Pakistan, Israel, Sudan, Mali na kwingineko.
Si mnachukua hela zao mnatanua mjini na magari ya kifahari?... Kuweni tayari kuingiliwa
Si mnachukua hela zao mnatanua mjini na magari ya kifahari?... Kuweni tayari kuingiliwa sasaKwa tz ya Leo Bado unazubaisha watu na propaganda ya ushoga ??Elim!elimu! elimu,,,alitamka lowassaView attachment 3327816
Vingine vyote ni kisingizio tu. Sera Yao kwa Sasa ni ku support Watetezi wa Ushoga tu. Full stop.
Mbona kuna Mashekhe wako rumande siku nyingi, hawatetewi? Ni viongozi wangapi waliwekwa rumande na hatukusikia matamko Yao? Huyu Lissu yupo mbele ya vyombo vya Sheria kwanini watake aachiwe na sio awe dealt with according to the law?
Kama tatizo ni kuachiwa, basi watoe tamko mahabusu wote magerezani waachiwe!
Wao hawana uwezo wa kuingilia uhuru wa Nchi nyingine kwa matamko. Kama Wana Cha kushauri washauri tu Lakini mamlaka ya kupanga nini Nchi yoyote ifanye hawana. Watoe basi na matamko kwa Russia, India, Pakistan, Israel, Sudan, Mali na kwingineko.
TL hawezi kutawala taifa hili ikiwa anashirikiana na mashoga.take my noteKwa hiyo wewe umeona ushoga tu?
Kama wewe ni Mungu sawaTL hawezi kutawala taifa hili ikiwa anashirikiana na mashoga.take my note
Ipo tena namba 2 baada ya issue ya lissu cheki website ya European parliamentHicho kipeperushi mlichokitengeneza nyie mbuzi wa CCM kinapatikana kwenye website ipi ya Bunge la Umoja wa Ulaya?
Hivi mnadhani Watanzania wote ni wapuuzi kama nyie CCM? Kwa taarifa yenu Watanzania wameangalia mijadala yote jana na wanajua hakuna suala la ushoga lililoamuliwa au kuzungumzwa kwenye mjadala wala maazimio ya jana.
Mnavyozidi kuishi kwa kutegemea propaganda hizi za kipuuzi zenye uongo wa wazi ndivyo mnavyozidi lujionesha kwa Watanzania ni namna gani mlivyo watu wajinga, wapuuzi na msiojitambua.
Inategemea kama michango inakuja na masharti kama hela mnazolipwa ninyi machawa.Kwani ukichangiwa mchango wa harusi, Huyo mke anakuwa mke wa wachangiaji?
Hakuna shida, Mungu bariki Bunhe la Ulaya na wape piho Makabulu wa Tanzania weusiWazungu husema "Nothing is free in this world." Kwanini Wakoloni watumie nguvu nyingi kumtetea Mtanzania??. Something is for something and nothing for nothing
Angalia azimio namba F2 hapa:-View attachment 3327694
TAFSIRI:-
2. Inasisitiza mamlaka za Tanzania kukomesha msako unaoendelea, ukamatwaji kiholela, vurugu, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa haki za binadamu, watu wa asili, wanaharakati wa LGBTIQ+, waandishi wa habari na mashirika ya kiraia, na kufanya uchunguzi huru kuhusu ukiukwaji wa polisi na matukio ya watu kupotea kwa kulazimishwa, kuheshimu utawala wa sheria, uhuru wa kujieleza, vyombo vya habari, vyama na mikutano, na uhuru wa mahakama, kulinganisha sheria za uhalifu wa mtandaoni na vyombo vya habari za Tanzania na sheria za kimataifa za haki za binadamu, kuheshimu haki za vyama vya siasa na kuhakikisha chaguzi huru na za haki;
LGBTIQ= Lesbian, Gay, Bisexual, Transsexuals, Intersexual, Queer
Weka official website ya Umoja wa Ulaya ulipotoa hiyo nyaraka mbuzi wa kijana wewe.Ipo tena namba 2 baada ya issue ya lissu cheki website ya European parliament
Weka official website ya Umoja wa Ulaya ulipotoa hiyo nyaraka mbuzi wa kijana wewe.
Mnafikiri JF wanapatikana wajinga humu mnaowarubuni kwa propaganda zenu z kipuuzi hizo?
Unakuta hawahawa chawa ndio mashoga lakini kwakua wanalipwa wanakuja kujipinga tena wenyewe humuhumu 🤣🤣🤣Mbona Tanzania mashoga wamejazana kila kona naona huko mitandaoni wapo huru tu ?
Kwa issue ya Lissu bunge la ulaya limeupiga mwingi ila hiyo ya mashoga wamezinguaUnakuta hawahawa chawa ndio mashoga lakini kwakua wanalipwa wanakuja kujipinga tena wenyewe humuhumu 🤣🤣🤣
Ashindwecna alegee, kama vipi awachukuectu wafuasi wake wa chadema waende ulaya huko wakaolewe bila bugudha. Lakini hapa, hapana!!Na lissu akishika madaraka hayo mambo yata ruhusiwa kabisa