Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Unakuta hawahawa chawa ndio mashoga lakini kwakua wanalipwa wanakuja kujipinga tena wenyewe humuhumu 🤣🤣🤣
Inawezekana kabisa mkuu , inaleta ukakasi mno mtu anawezaje kutajataja haya mambo kirahisi tu kama hayupo familia nayo🤔
 
Kweli wewe mjinga sana kwa hiyo ulichokiona ni ushoga tu
 
Il yeye point yake ni kuwa hayo mengine yote ni bure kama ushoga ukiwa na kipaumbele maana yake baadae hatutakuwa na wapiganaji wengi watakuwa mashoga
Na ndicho CCM inachoomba usiku na mchana nchi iwe na wajinga wengi ili iendelee kubaki madarakani.

Wanaona aibu tu kuwa taifa la kwanza Africa Mashariki kuruhusu ushoga ingekuwa tofauti na hivyo mapema sana wangeshatangaza kuunga mkono huo uchafu.
 
Waafrika sisi ni yatima wa akili.wazungu wanajua akili zetu ni ndogo na ni binadamu wakukurupuka bila mantiki ndo maana wanatupelekesha kwa ajili ya manufaa yao.Hawafanyi kwasababu wanatupenda bali ili agenda na malengo yao yatimie.Ukisikia wanaongelea kuhusu Haki iwe ni kwenye mambo ya wanawake,siasa au zakibinadamu au wanaongelea demokrasia lengo ni lile lile lakuendelea kumtawala mwafrika kwakumfanya dhaifu na tegemezi kwa namna moja au nyingine.Zitakuja agenda nyingi sana kwa mgongo wa Haki na demokrasia tusipokua makini miaka kadhaa mbele tutajuta na kusaga meno.Kama huna akili huwezi kuelewa kinachoendelea.
 
Mkimjaza upepo malkia wenu akaropoka kama safari iliyopita, mtazidi kumharibia. Haya mambo yanahitaji utulivu wa akili na sio uchama.
 
Ukuona mtu anatoa povu lote namna hiyo ujue jiwe limempata gizani. Kwa kweli mashoga mtupishe tu
 
Soma PDF hili hapa wewe bwabwa;- cc Tate Mkuu
 
Uganda alikataa mambo ya ushoga mwaka juzi wakati wa Joe Biden, je nini kimeipata nchi yake?
 
Hata sasa hivi hapa Dar watu wanafirana usiifanye issue

Ni uamuzi wa mtu na ****** wake.
Ika wenyewe wanataka mpka tuwe na pride day, tupandishe bendera za upinde na tuwafungishe ndoa za jinsia moja
 
Weka Azimio lote, badala ya kutafuta kichaka kidogo cha kujificha.
 
Nashukuru umeliona
 
Ukitetewa na watu wa ulaya unaweza chafuka maaana baadhi yao wanasapoti mambo yasiyo tamaduni zetu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…