Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

sasa kama utawala uliopo ni haramu, wakitenga fedha za Mabadiliko ya Katiba, wanaofanya hilo zoezi la kutenga hizo fedha, hawatakuwa wanafanya zoezi haramu ?
Je, Chadema wapo tayari kushiriki matumizi ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge wanalosema limetokana na uchaguzi haramu?
na Je, Chadema watakapokuwa wanapewa ruzuku, watakubali kupokea fedha zilizokusanywa na watawala wanaoitwa watawala haramu

cc ShesRise_1
 
Ndg'angu, kuwaelewa nyumbu unajipa kazi tu....... endelea na mambo Yako ya msingi.
 
Ruzuku iko kisheria sio takwa la Rais mbona hamtumiii hakili
 
Kijana nipo hapa
 
Mwaka 2015 nilikuwa mkoa fulani ambao ni moja ya ngome za CCM. Kwa mara ya kwanza maishani mwangu, nilishuhudia baadhi ya wajumbe wa CHADEMA wakitembeza 'rupia' (fedha) ili kuondoa udhia. Ndiyo maana nimeshangazwa na mchangiaji mmoja anayedai kuwa 'Chadema are always clean. Sijajua hasa alimaanisha nini aliposema wana usafi huo.
 
Uliona kwa macho yako?
Sasa hapa utaona maana ya comment yangu usiwaamini sana wana siasa

Kusema Chadema are always clean
Hii inashaza sana anyway labda yeye anajua zaidi
 
Naisubiri hiyo tarehe 15 Sept. 2026 ya Baraza Kuu ije na maazimio yake.
Kwa ufupi sana, Kamati kuu imeazimia kwamba;
Baraza kuu la chadema litafanyika Tarehe 15/09/2026.

Nafasi zote za uongozi ndani ya chama zijazwe kwa kufanya uchaguzi wa nafasi husika.

Zuio la Mikutano la Katambi ni Batili. Operation ya #FreeLissu na #KatibaMpya itaendelea Kanda ya Pwani,Pemba na unguja na Kila Mkoa Kwa nchi Nzima.

Malimbikizo ya Ruzuku inayoyadai chadema ya Mwaka 2025 yalipwe mara Moja.

Wananchi waendelee Kuichangia chadema #tonetone ili iweze kufanya kazi bila mkwamo

Kamati kuu imebaini tatizo kubwa la Mafuta Nchini.
Ndugu Watanzania, naomba tuendelee kukiunga mkono chama chetu.
 
ok.🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…