Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

kipengele namba nane kinashusha heshima ya Rais aliyepo madarakani, ni kosa mbaya zaidi na jina lake limetajwa na hii ni taarifa rasmi ya chama, kuna namna ingweza kuwasilishwa kwa heshima na ikaeleweka.
hatumpendi na kumkubali lakini ndio Rais ameshika mpini. kama wakiamua kuwazingua kutokana na kipengele hicho mtamlaumu nani?
 
sasa kama utawala uliopo ni haramu, wakitenga fedha za Mabadiliko ya Katiba, wanaofanya hilo zoezi la kutenga hizo fedha, hawatakuwa wanafanya zoezi haramu ?
Je, Chadema wapo tayari kushiriki matumizi ya Bajeti iliyopitishwa na Bunge wanalosema limetokana na uchaguzi haramu?
na Je, Chadema watakapokuwa wanapewa ruzuku, watakubali kupokea fedha zilizokusanywa na watawala wanaoitwa watawala haramu

cc ShesRise_1
Ni maswali ya kipumbavu.
 
kipengele namba nane kinashusha heshima ya Rais aliyepo madarakani, ni kosa mbaya zaidi na jina lake limetajwa na hii ni taarifa rasmi ya chama, kuna namna ingweza kuwasilishwa kwa heshima na ikaeleweka.
hatumpendi na kumkubali lakini ndio Rais ameshika mpini. kama wakiamua kuwazingua kutokana na kipengele hicho mtamlaumu nani?
Yeye kuwa "Rais" kunabadili chochote kuwa yeye ni "Rais Haram"?

Unachochagiza wewe ni kwamba watumie uharam huo huo kunyanyasa CHADEMA kwa kutotoa hiyo heshima unayotaka apewe mtu asiyeistahili.
Ni yale yale tunayozoeshwa kuwa walaghai na wanafiki katika kila jambo.

Tueleze wewe sheria inayoelekeza kuwa CHADEMA watakuwa wameivunja kwa kuita haram kuwa haram.
 
lakini Rais ana mamlaka kwahiyo kwa namna moja au nyingine unapotoa taarifa rasmi ya chama inakuwa professional sio andiko tu la kihuni katika mazingira kama hayo sheria ipo itakayokubana sio lazima niingie huko ndani. CHADEMA wana hoja ya msingi na ndio jambo ambalo wanachi wengi tunahitaji katiba mpya. sasa uwasilishaji wa taarifa ya chama unatakiwa kuwa komavu sio namna hiyo ndio maana nasema kwamba wenye mamlaka wakiamua kukabia juu mtalalamika... si sahihi kumuita mtu haram tena kwa kumtaja jina kabisa.
 
lakini Rais ana mamlaka kwahiyo kwa namna moja au nyingine unapotoa taarifa rasmi ya chama inakuwa professional sio andiko tu la kihuni katika mazingira kama hayo sheria ipo itakayokubana sio lazima niingie huko ndani
"Sheria ipo", inayogeuza haram kuwa halali, au unayo maana gani?

Samia kafanya siyo jambo la "kihuni" tu kama unavyowasakazia CHADEMA; kauua waTanzania kabisa ili abaki madarakani, na wewe unataka watu wawe 'professional' na mtu wa aina hiyo!
 
sheria ipo lieile ambayo mwenyekiti yupo gerezani sipo hapa kumtetea Rais nipo hapa kupinga namna taarifa rasmi ya chama haijawa professional katika kuliongelea jambo la kupambania katiba likimuhusu mtu mwenye mamlaka ambaye ni Rais.
sasa hiyo itapitishwa na nani kama huyo ni haram? saini atatia mbowe au? hebu kuwa na akili familia...
 
Uliona kwa macho yako?
Sasa hapa utaona maana ya comment yangu usiwaamini sana wana siasa

Kusema Chadema are always clean
Hii inashaza sana anyway labda yeye anajua zaidi
Sio tu kuona kwa macho.
Niliwasikia kabisa washiriki wa huo mchakato.
 
sheria ipo lieile ambayo mwenyekiti yupo gerezani sipo hapa kumtetea Rais nipo hapa kupinga namna taarifa rasmi ya chama haijawa professional katika kuliongelea jambo la kupambania katiba likimuhusu mtu mwenye mamlaka ambaye ni Rais.
sasa hiyo itapitishwa na nani kama huyo ni haram? saini atatia mbowe au? hebu kuwa na akili familia...
Bahati mbaya akili ndio kitu alichonyimwa.

Angekuwa na akili wala asingejitapa kwamba siku ya 7 saba wanakwenda kuutoa utawala wa CCM.
 
Back
Top Bottom