LGE2024 Maazimio ya mkutano wa Kamati Kuu ya CHADEMA baada ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
MAAZIMIO YA KAMATI KUU

Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo;

1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na uchaguzi halali, huru na haki bali uporaji na uhalifu wa kiuchaguzi.

2. Kamati Kuu inalaani mauaji, vipigo/kujeruhi na ukamataji kwa wagombea, mawakala, viongozi na wanachama kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi.

3. Kamati kuu inawapongeza wagombea wote waliojitokeza kugombea kupitia Chadema.

4. Kamati kuu inawapongeza wadau wote ambao wamejitokeza hadharani na kulaani uchafuzi huu ambao ni hatari kwa uhai wa taifa letu, tunaendelea kutoa rai kwa wadau wengine kusema hadharani misimamo yao kuhusu uchaguzi huu; Aidha tumesikitishwa na baadhi ya taasisi na watu ambao wameendelea kupongeza uchaguzi huo ambao unahatarisha uhai wa taifa letu.

5. Kamati Kuu imethibitisha bila shaka yoyote kwamba hakuna utashi wa kisiasa (political will) kutoka kwa Rais, Viongozi na mfumo mzima wa Serikali ya CCM juu ya uboreshaji wa mifumo ya uchaguzi ili kuleta chaguzi huru, haki na zinazoaminika nchini. Imethibitika kuwa kauli zao haziaminiki tena hivyo ni lazima pawepo na maboresho ya kisheria juu ya mifumo ya uchaguzi nchini.

6. Kamati Kuu inatoa wito kwa wadau wote nchini wakiwemo vyama vya siasa, Taasisi za dini, makundi ya kijamii,Asasi za kiraia,wasomi,wakulima ,wafanyabiashara, watu mashuhuri katika jamii na wananchi wote kuunganisha nguvu zza pamoja ili kutafuta na kudai mifumo huru ya uchaguzi nchini.

7. Kwa kuwa, wananchi wanawafahamu viongozi waliotangazwa kwa wizi, bila kushinda; Kamati Kuu inawahimiza kwamba, wananchi wa maeneo hayo kuwanyima ushirikiano viongozi wote wa serikali za mitaa na watendaji wa mitaa/vijiji na kata walioshiriki kuharamisha uchaguzi wa tarehe 27 Novemba, 2024.

8. Kamati Kuu imeazimia kuendeleza vuguvugu la kudai Katiba Mpya na kushinikiza kufanyika maboresho ya sheria na mifumo ya Uchaguzi itakayowezesha uwepo wa Uchaguzi Huru na wa Haki kuelekea 2025.

9. Kamati Kuu itaendelea kushinikiza kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi na yenye watumishi wake walioajiriwa na Tume ambao watasimamia Uchaguzi wowote nchini kwa mujibu wa sheria badala ya kuendeleza mfumo uliopo sasa wa kuazima watumishi wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) kusimamia chaguzi.

10. Kamati kuu imeazimia kuwa Jumuiya ya kimataifa na taasisi zake wachukue hatua dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuminya Demokrasia na kutokuwepo kwa uchaguzi huru, haki na za kuaminika nchini.

11. Kamati kuu, imeazimia kuwa itafungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania ya kudai mifumo huru, haki na ya kuaminika ya uchaguzi nchini katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

Mhe. @freemanmbowetz

2E75ED9A-2BF5-49F9-A270-743F021AAD3D.jpeg
 
Mbowe ni mwanachama mtiifu wa CCM,believe it or not.Ni kama uhusiano uliopo baina ya wazazi Wenza, ukimtunza mtoto vizuri, unapewa unachotaka,
 
Ndio nini hiki?😂😂😂

Mbowe hana jipya yani it was predictable hii press atasema nini. As usual wapambe wake watendelea kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu wakiamini wanampenda sana na wanakipenda sana chama wanalinda chama.

Lakini ukweli unazidi kuonekana kuwa Mbowe kaishiwa kachoka chama kinahitaji fresh mind.
Ukimpenda mtu unapungukiwa nini?Acha roho chafu.
 
Mbowe ni mwanachama mtiifu wa CCM,believe it or not.Ni kama uhusiano uliopo baina ya wazazi Wenza, ukimtunza mtoto vizuri, unapewa unachotaka,Mbowe ni single mother,na CCM ni baba wa mtoto.
Siku nimesoma kitabu cha Prof. Issa Shivji cha PanAfricanism or Pragmatism nilishtuka sana..

Kuna sehemu anasema ''...vijana wawili wa idara ya usalama walioiba nyaraka toka ikulu ya zanzibar na kumpelekea Nyerere walikuwa ni Hassan na Maalim Seif Sharif Hamad''

So maalimu wa ana Agent till death, ila kwa Mbowe hapana, jamaa anapambana kikwelikweli.
 
Mbowe ana mikwala akiamua kuongea kama kiongozi hata kama unajua anawatepeli inabidi mwenyewe ukubali yaishe.

Basi baba gombea tena uenyekiti yaishe.
 
MAAZIMIO YA KAMATI KUU

Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo;

1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na uchaguzi halali, huru na haki bali uporaji na uhalifu wa kiuchaguzi.

2. Kamati Kuu inalaani mauaji, vipigo/kujeruhi na ukamataji kwa wagombea, mawakala, viongozi na wanachama kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi.

3. Kamati kuu inawapongeza wagombea wote waliojitokeza kugombea kupitia Chadema.

4. Kamati kuu inawapongeza wadau wote ambao wamejitokeza hadharani na kulaani uchafuzi huu ambao ni hatari kwa uhai wa taifa letu, tunaendelea kutoa rai kwa wadau wengine kusema hadharani misimamo yao kuhusu uchaguzi huu; Aidha tumesikitishwa na baadhi ya taasisi na watu ambao wameendelea kupongeza uchaguzi huo ambao unahatarisha uhai wa taifa letu.

5. Kamati Kuu imethibitisha bila shaka yoyote kwamba hakuna utashi wa kisiasa (political will) kutoka kwa Rais, Viongozi na mfumo mzima wa Serikali ya CCM juu ya uboreshaji wa mifumo ya uchaguzi ili kuleta chaguzi huru, haki na zinazoaminika nchini. Imethibitika kuwa kauli zao haziaminiki tena hivyo ni lazima pawepo na maboresho ya kisheria juu ya mifumo ya uchaguzi nchini.

6. Kamati Kuu inatoa wito kwa wadau wote nchini wakiwemo vyama vya siasa, Taasisi za dini, makundi ya kijamii,Asasi za kiraia,wasomi,wakulima ,wafanyabiashara, watu mashuhuri katika jamii na wananchi wote kuunganisha nguvu zza pamoja ili kutafuta na kudai mifumo huru ya uchaguzi nchini.

7. Kwa kuwa, wananchi wanawafahamu viongozi waliotangazwa kwa wizi, bila kushinda; Kamati Kuu inawahimiza kwamba, wananchi wa maeneo hayo kuwanyima ushirikiano viongozi wote wa serikali za mitaa na watendaji wa mitaa/vijiji na kata walioshiriki kuharamisha uchaguzi wa tarehe 27 Novemba, 2024.

8. Kamati Kuu imeazimia kuendeleza vuguvugu la kudai Katiba Mpya na kushinikiza kufanyika maboresho ya sheria na mifumo ya Uchaguzi itakayowezesha uwepo wa Uchaguzi Huru na wa Haki kuelekea 2025.

9. Kamati Kuu itaendelea kushinikiza kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi na yenye watumishi wake walioajiriwa na Tume ambao watasimamia Uchaguzi wowote nchini kwa mujibu wa sheria badala ya kuendeleza mfumo uliopo sasa wa kuazima watumishi wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) kusimamia chaguzi.

10. Kamati kuu imeazimia kuwa Jumuiya ya kimataifa na taasisi zake wachukue hatua dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuminya Demokrasia na kutokuwepo kwa uchaguzi huru, haki na za kuaminika nchini.
View attachment 3173665
Safi kabisa CDM!
 
Ni jambo jema.
 
Haya matamko yapo tangu 1995 enzi za NCCR MAGEUZI an CUF ya professor lipumba

USSR
 
Back
Top Bottom