Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Mbowe must goNdio nini hiki?πππ
Mbowe hana jipya yani it was predictable hii press atasema nini. As usual wapambe wake watendelea kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu wakiamini wanampenda sana na wanakipenda sana chama wanalinda chama.
Lakini ukweli unazidi kuonekana kuwa Mbowe kaishiwa kachoka chama kinahitaji fresh mind.
NibsahihlNdio nini hiki?πππ

Jipya analo mamayenuNdio nini hiki?πππ
Mbowe hana jipya yani it was predictable hii press atasema nini. As usual wapambe wake watendelea kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu wakiamini wanampenda sana na wanakipenda sana chama wanalinda chama.
Lakini ukweli unazidi kuonekana kuwa Mbowe kaishiwa kachoka chama kinahitaji fresh mind.
Kisa wewe mpumbavu wa ccm umesema, chadema haiendeshwa na wapumbavu wa ccm nendeni tadea,nld,tlp na matakataka mengine.Aondoke yeye na wapambe wake wote anaoita kamati kuu ao si ndio alikuwa anaenda nao ikulu?
Jipya nenda kashangilie janabi anataka kurithi kitu Cha ntungulile.hakuna jipya lililoongelewa zaidi ya ku copy na ku paste ya nyma ameshachoka huyo awaachie wenye nguvu najuwa hata wewe unajuwa lakini kwakuwa ni chawa wake huwezi kukubali
Pididy kabisa lumumbaBure kabisa.
Ccm imejaa mabumunda ndio maana mmekuwa nyoronyoro bila polisi mnafurushwa mapema.Aondoke yeye na wapambe wake wote anaoita kamati kuu ao si ndio alikuwa anaenda nao ikulu?
Nyumbu kwa porojo tuu hamjambo. Sijui akili zitawajia lini kujua haya matamko ya miaka yote na hayana la maana zaidi ya vikao vya kugawana ruzuku tuu.MAAZIMIO YA KAMATI KUU
Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo;
1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na uchaguzi halali, huru na haki bali uporaji na uhalifu wa kiuchaguzi.
2. Kamati Kuu inalaani mauaji, vipigo/kujeruhi na ukamataji kwa wagombea, mawakala, viongozi na wanachama kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi.
3. Kamati kuu inawapongeza wagombea wote waliojitokeza kugombea kupitia Chadema.
4. Kamati kuu inawapongeza wadau wote ambao wamejitokeza hadharani na kulaani uchafuzi huu ambao ni hatari kwa uhai wa taifa letu, tunaendelea kutoa rai kwa wadau wengine kusema hadharani misimamo yao kuhusu uchaguzi huu; Aidha tumesikitishwa na baadhi ya taasisi na watu ambao wameendelea kupongeza uchaguzi huo ambao unahatarisha uhai wa taifa letu.
5. Kamati Kuu imethibitisha bila shaka yoyote kwamba hakuna utashi wa kisiasa (political will) kutoka kwa Rais, Viongozi na mfumo mzima wa Serikali ya CCM juu ya uboreshaji wa mifumo ya uchaguzi ili kuleta chaguzi huru, haki na zinazoaminika nchini. Imethibitika kuwa kauli zao haziaminiki tena hivyo ni lazima pawepo na maboresho ya kisheria juu ya mifumo ya uchaguzi nchini.
6. Kamati Kuu inatoa wito kwa wadau wote nchini wakiwemo vyama vya siasa, Taasisi za dini, makundi ya kijamii,Asasi za kiraia,wasomi,wakulima ,wafanyabiashara, watu mashuhuri katika jamii na wananchi wote kuunganisha nguvu zza pamoja ili kutafuta na kudai mifumo huru ya uchaguzi nchini.
7. Kwa kuwa, wananchi wanawafahamu viongozi waliotangazwa kwa wizi, bila kushinda; Kamati Kuu inawahimiza kwamba, wananchi wa maeneo hayo kuwanyima ushirikiano viongozi wote wa serikali za mitaa na watendaji wa mitaa/vijiji na kata walioshiriki kuharamisha uchaguzi wa tarehe 27 Novemba, 2024.
8. Kamati Kuu imeazimia kuendeleza vuguvugu la kudai Katiba Mpya na kushinikiza kufanyika maboresho ya sheria na mifumo ya Uchaguzi itakayowezesha uwepo wa Uchaguzi Huru na wa Haki kuelekea 2025.
9. Kamati Kuu itaendelea kushinikiza kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi na yenye watumishi wake walioajiriwa na Tume ambao watasimamia Uchaguzi wowote nchini kwa mujibu wa sheria badala ya kuendeleza mfumo uliopo sasa wa kuazima watumishi wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) kusimamia chaguzi.
10. Kamati kuu imeazimia kuwa Jumuiya ya kimataifa na taasisi zake wachukue hatua dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuminya Demokrasia na kutokuwepo kwa uchaguzi huru, haki na za kuaminika nchini.
View attachment 3173665
Shangaa mwenzangu !Anasema ukitaka mhuri wa mwenyekiti mtaani ususie kama ni dili uiache ππ
Ni kula ruzuku tu ! Nashauri ruzuku zifutwe kwenye vyama VYOTE ili tujengewe miundombinu kwa jamii tu.Nyumbu kwa porojo tuu hamjambo. Sijui akili zitawajia lini kujua haya matamko ya miaka yote na hayana la maana zaidi ya vikao vya kugawana ruzuku tuu.
Sasa hapo tamko jipya ni lipi?
Nyumbu hovyo kabisa.
Yaani jamaa Yuko vizuri sana kwa Hilo.Nimeamini mbowe msanii kweli
...... too late!!!MAAZIMIO YA KAMATI KUU
Baada ya kutafakari matukio hayo na mengine, Kamati Kuu ya Chama imeazimia mambo yafuatayo;
1. Kamati Kuu inatamka kwamba kilichotokea tarehe 27 Novemba, 2024 hakukuwa na uchaguzi halali, huru na haki bali uporaji na uhalifu wa kiuchaguzi.
2. Kamati Kuu inalaani mauaji, vipigo/kujeruhi na ukamataji kwa wagombea, mawakala, viongozi na wanachama kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliofanywa na Jeshi la Polisi.
3. Kamati kuu inawapongeza wagombea wote waliojitokeza kugombea kupitia Chadema.
4. Kamati kuu inawapongeza wadau wote ambao wamejitokeza hadharani na kulaani uchafuzi huu ambao ni hatari kwa uhai wa taifa letu, tunaendelea kutoa rai kwa wadau wengine kusema hadharani misimamo yao kuhusu uchaguzi huu; Aidha tumesikitishwa na baadhi ya taasisi na watu ambao wameendelea kupongeza uchaguzi huo ambao unahatarisha uhai wa taifa letu.
5. Kamati Kuu imethibitisha bila shaka yoyote kwamba hakuna utashi wa kisiasa (political will) kutoka kwa Rais, Viongozi na mfumo mzima wa Serikali ya CCM juu ya uboreshaji wa mifumo ya uchaguzi ili kuleta chaguzi huru, haki na zinazoaminika nchini. Imethibitika kuwa kauli zao haziaminiki tena hivyo ni lazima pawepo na maboresho ya kisheria juu ya mifumo ya uchaguzi nchini.
6. Kamati Kuu inatoa wito kwa wadau wote nchini wakiwemo vyama vya siasa, Taasisi za dini, makundi ya kijamii,Asasi za kiraia,wasomi,wakulima ,wafanyabiashara, watu mashuhuri katika jamii na wananchi wote kuunganisha nguvu zza pamoja ili kutafuta na kudai mifumo huru ya uchaguzi nchini.
7. Kwa kuwa, wananchi wanawafahamu viongozi waliotangazwa kwa wizi, bila kushinda; Kamati Kuu inawahimiza kwamba, wananchi wa maeneo hayo kuwanyima ushirikiano viongozi wote wa serikali za mitaa na watendaji wa mitaa/vijiji na kata walioshiriki kuharamisha uchaguzi wa tarehe 27 Novemba, 2024.
8. Kamati Kuu imeazimia kuendeleza vuguvugu la kudai Katiba Mpya na kushinikiza kufanyika maboresho ya sheria na mifumo ya Uchaguzi itakayowezesha uwepo wa Uchaguzi Huru na wa Haki kuelekea 2025.
9. Kamati Kuu itaendelea kushinikiza kupatikana Tume Huru ya Uchaguzi na yenye watumishi wake walioajiriwa na Tume ambao watasimamia Uchaguzi wowote nchini kwa mujibu wa sheria badala ya kuendeleza mfumo uliopo sasa wa kuazima watumishi wa Ofisi ya Rais (TAMISEMI) kusimamia chaguzi.
10. Kamati kuu imeazimia kuwa Jumuiya ya kimataifa na taasisi zake wachukue hatua dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuminya Demokrasia na kutokuwepo kwa uchaguzi huru, haki na za kuaminika nchini.
View attachment 3173665
Wenzio WanakupumuliaNdio nini hiki?πππ
Mbowe hana jipya yani it was predictable hii press atasema nini. As usual wapambe wake watendelea kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu wakiamini wanampenda sana na wanakipenda sana chama wanalinda chama.
Lakini ukweli unazidi kuonekana kuwa Mbowe kaishiwa kachoka chama kinahitaji fresh mind.
Haichekeshi
Wamekosa amani na chama chao kimewatema totally.Na ilivyokuwa hamkutoa ushirikiano wowote kwa hao wenyeviti wa mtaa , HAO WENYEVITI WALIDHURIKA AU KUPUNGUKIWA NINI KWA KUKOSA USHIRIKIANO WENU?!.
Hawakudhurika wala kupungukiwa chochote kwa sababu nchi inao raia wazalendo kama sisi ambao tuliwapa ushirikiano na tutaendelea kuwapa ushirikiano daima.
NYINYI ENDELEENI KUSUSA NA SISI TUTAENDELEA KUTOA USHIRIKIANO KWA VIONGOZI WA NCHI YETU.
Hakuna aliyesusia uchaguzi bali mbinu chafu za Magufuri,Mahera na Ndugai ndizo zilizotumika kuchafua uchaguzi.Unakumbuka mlisusia uchaguziπ€£π€£π€£ Maneno haya si mageni kwa CDM labda kwa mgeni....
Hili halijaanza leo, Tundu Lissu alishaishitaki serikali ya CCM mpaka UN so haya yanafanyika kila mara na hayana effect yoyoteKamati kuu imeazimia kuwa Jumuiya ya kimataifa na taasisi zake wachukue hatua dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuminya Demokrasia na kutokuwepo kwa uchaguzi huru, haki na za kuaminika nchini.ππ¨
Naunga Mkono hoja yakohakuna jipya lililoongelewa zaidi ya ku copy na ku paste ya nyma ameshachoka huyo awaachie wenye nguvu najuwa hata wewe unajuwa lakini kwakuwa ni chawa wake huwezi kukubali
Yaani hadi anatia hurumaNdio nini hiki?πππ
Mbowe hana jipya yani it was predictable hii press atasema nini. As usual wapambe wake watendelea kuimba nyimbo za kusifu na kuabudu wakiamini wanampenda sana na wanakipenda sana chama wanalinda chama.
Lakini ukweli unazidi kuonekana kuwa Mbowe kaishiwa kachoka chama kinahitaji fresh mind.
People expected more than thisMbowe anasoma Maazimio ya Kamati Kuu