Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Ulikuwa umelala then muda kama huu ndounaamka vyombo vya jana hujaosha hafu unataka utoe kitu.
 
asee mie chapati jamani daaa yaan siwez kabisaa
 
Hongera Mkuu, hii kitu mie na pilau sikutaka hata kujifunza kutokana na mlolongo mrefuuuu wa maandalizi.

 
Hakuna nisicho kijua kupika. Mwanamke akae pembeni kwanza nimpe training ya kupika. Sitaki mapishi ya mazoea. It is very simple ukiwa gheto kwa mambo haya. na pia iwe ni hobby yako kupata menu sahihi kwa muda muafaka. na pia usiwe bahili katika kuujenga mwili si kwa matofali ya udongo.
 
Hehe mbona tunapika kuzidi nyie mkuu.
Mfano mzuri selebonge anavotoa biryani la maana

brain is the beautiful part of the body.
 
Kuna siku mother alisafiri tukabaki na mshua ilikuwa hatari. Tukalilia wali, mshua akazama jikoni. Mhmm kitu kilivokuja mezani balaaa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wewe jamaaa

brain is the beautiful part of the body.
 
Tambi nayo ndo changamoto
Kwang kupika aiseee!!
Nazpenda lakin naishia tuu
Kudoea kwa ndugu zang
Waislam wakat wakiwa kwenye mfungo

[Color= yellow]Triple A[/color]
Hahaha na mfungo umeisha

brain is the beautiful part of the body.
 
Unanunua Fish wako wa kukaanga unarumangia na ugali utata ni kuosha vyombo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] brother brother hata kukaanga nyanya huwezi

brain is the beautiful part of the body.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…