emt45
JF-Expert Member
- Jan 19, 2017
- 564
- 644
Pilau na kile wachokiita cjui biliani na kukuna nazi
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Sent from my itel it1556 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km na wewe upo singo ongea ukweli vijana wapate mpishi.solution ni kuoa tu..........
hahaha am taken
Ndiyo chakula rahisi mno labda tu useme gharama ya gesi au mkaaMakande ndugu ndio magumu kupika
Hata Ile ya kumimina huwezi!
Aiseeee!! Makande yanaugumuMakande ndugu ndio magumu kupika
Si utafute wafuaji uwalipe kidogo or upeleke laundryMimi kufua mablanket ndo tatzo
Tupoooooohahaha mabachela mpo?????????
Tambi nayo ndo changamotoKitu ambacho mabachela wengi wanachokiweza ni kuchemsha chai ya rangi na kupika tambi tu.
Kataeni au mkubali.
% kubwa ya wanaomudu kupika baadhi ya vyakula ni aidha wale waliokulia kwa dada zao au walioondoka kwenda kuanza maisha wakiwa wametoka makwao (kwa wazazi wao) wakiwa 22-25+.
Waliobaki wote ni tambi na chai ya rangi tu
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna siku nilipika wali aise chini mbichi juu mbichi katikati ndo umeiva
Usijali hubby jumapil nitakuja kwa ajili ya kazi hiyo tuAiseeee!! Pilau ndo ngor kwang yan nashiaga kuchemsha tu mchele na
Kupiga mboga pemben
Cjui lin ntawezana na pilau
Otherwise nifundishwe
Cc ukhuty
[Color= yellow]Triple A[/color]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku mother alisafiri tukabaki na mshua ilikuwa hatari. Tukalilia wali, mshua akazama jikoni. Mhmm kitu kilivokuja mezani balaaa.
hahaah!! hiyo hata sijawahi kufikilia kupika kwa kweli yaani hata jinsi ya kuandaa sijui!!