Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.

Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.

Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.

Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
Mboga ya mayai aisee kwangu ni shida[emoji12]

Sikiliza Toka Kwangu!
 
db92c3c232331b3ac105f568feaf7975.jpg
nyote wapenda pilau karibuni tule
Mate yanatudondoka kabisa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna chochote kinachonisumbua, sema uvivu tu sometime!
Vyakula vingi naweza kuvipika kwa ufasaha kabisa...

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app
 
[emoji3] [emoji2] ila mastering kina AY na prof jay washasalimu amri na nyie sooon inabidi m-surrender
Wale wamekwisha make mambo sawa sasa sasa wengine hapa ujasiriamali ndio kwanza tumeanza mwaka juzi.....ngoja tuwe mabachelor wakongwe kama wao...huku tunaendelea kuweka sawa mikakati ya hapa mjini

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Aisee mimi geto nashindwa kupika/kufanya vitu hivi,
makande,
maharagwe,
pilau, lakini naipenda balaa tena ni mkosoaji mkubwa kama haijapikwa vizuri.
biriani(kuna mtu kaitaja hapo juu hiyo hata sijui inafananaje)
vitu vyote vinavyotumia ngano,
kuosha vyombo, aisee!!

Geto naweza kufanya/kupika hivi,
kupika ugali
kupika wali
kupika mboga za majani
kupika dagaa
kupika nyama, samaki ila samaki wawe wale wa kukaangwa tayari sio ninunue kuja kutengeneza sijui.
kudeki.
 
mi sio bachelor, ila topic imenigusa kwasababu mpaka leo sijaweza kusonga ugali na kupika chapati ila kaukau naweza! ila vyakula vingine ni hatarious mpaka vya makinikia napika, ishu ugali na chapati za kusukuma. nimesalimu amri hapo.
 
bwana bwana kuna siku nilitamani kupika dagaa wale wenye mchanga...jamaa nikajikoki nikanunua makorokocho yote yanayohitajika ..kitu kichotoka utafikiri badala ya chumvi niliweka mchanga.......ilikuwa ni hatari zaidi hata ya hatari yenyewe

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Ukiona bachela amenunua hadi kibao cha chapati na akaweza kuzipika pekeyake ghetto basi sahau kuhusu kuoa
Tutaoa kwa sababu ya
Kufuliwa na kuosha,vyombo tu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom