Kiberiti Kidogo
JF-Expert Member
- Jan 14, 2017
- 575
- 918
- Thread starter
- #101
Ila kuna wakati mwingine ata wadada wali unawashinda. Maana mara nyingi sana nikiingia mgahawani naborekaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi kuandaa Mboga hata kama ni mchicha tuu no shida. Mara zote huishia kusonga Ugali dona kisha natafuta mahala wanauza dagaa za kukaanga. Siku akikosekana basi kipande cha samaki, kachumbari nyingi ghetto natoa kitu cha dona.Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.
Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.
Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.
Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
[emoji106]Daaahhh binafsi Namshukuru Mama alinifanya nijue kupika sanaa,, kwakweli kwa vyakula vya kitanzania tuu najua kupika coz hata vitafunio najitengenezeaga mwenyewe ..
Nachukia kweli kula kwamama ntilie au ktk cafe izi ...basi tu .
Mimi kuandaa Mboga hata kama ni mchicha tuu no shida. Mara zote huishia kusonga Ugali dona kisha natafuta mahala wanauza dagaa za kukaanga. Siku akikosekana basi kipande cha samaki, kachumbari nyingi ghetto natoa kitu cha dona.
Zoote zikifeli basi natafuna karanga mbichi nashushia na Bia moja ya bariiiiid. Huwezi ukakuta vyombo vichafu ghetto!
Post sent using JamiiForums mobile app
Kuna jamaa yangu iliwahi mkuta geto anapiga bia na chapati asubuhi. Anadai kuchemsha chai hawezi.
Vya kumimina
Hahahaha jamaa hilo vivu balaaaKuna jamaa yangu iliwahi mkuta geto anapiga bia na chapati asubuhi. Anadai kuchemsha chai hawezi.
Sababu inayofanya n hitajBasi unamuda mrefu sana mpaka kuifikia ndoa ticha
Dunia inaraha hii[emoji12] [emoji12]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna jamaa yangu iliwahi mkuta geto anapiga bia na chapati asubuhi. Anadai kuchemsha chai hawezi.