Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Pilau inanizingua sana. Napika wa kawaida tu.
Inabidi nitafute mkombozi wa tatizo hili

Sent using Jamii Forums mobile app
db92c3c232331b3ac105f568feaf7975.jpg
nyote wapenda pilau karibuni tule
 
namshurukuru nilupokuwa o level niliopt cookery aiseee imenisaidiaaa saaanaa coz hambaa chakulaaa nisichojuaa kupikaaa alafu good enough naenjoy kupikaa saana kuliko vitu vyoteee asante walimu Wang wa kibasilaaaa manake french ilinishindaaa now I'm a good cooker Nina mpngo wa kwendaaa kusomeaa zaidi mambo ya mapishi manake huu mdegreee nilionao nilisomaa tu ilaa mapenzi Yang ni kupika!!!!!!
Usiseme am a good cooker.. sema am a good cook, anyway kilikuja na meli [emoji2] [emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi kitu chapati aiseeh hii theory zake zote kichwani nimezipiga kinoma kwa Bi Mkubwa mara nyingi alikuwa ananianzishia kuchanganya madude mi namalizia kuzisukuma kwenye kibao chake na kuziweka kwa moto.


Kila day nataka kujilipua kigetogeto nikamate ngano toka mwanzo hadi mwisho.

Ila day tu soon nitajilipua mzazi.
chapati hata mimi majanga
 
Back
Top Bottom